Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini?

Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini?

Ndo ivoo mkuu ni kama duara ambavo huwezi kujua chanzo chake ni wapi kama halikuwekwa alama
Wewe unakula mchicha unakua na kuishi ipo siku na mchicha utakukula wewe ili uishi pia, wewe na mchicha mpo sawa katika mzunguko wa uhai katika maumbile tofauti tu ,ila ni kitu kimoja katika mduara.
 
At least umeanza kuniaelewa nataka nini ? Mtu anatakiwa kujibu on his/her own free mind, ndio tutapata chanzo
Boss, hilo swali lina umri mkubwa sana kukushinda. Limekuwepo karne na karne. Hapa unachofanya ni kupokea majibu yaleyale yaliyokwishatolewa na waliozaliwa na kuishi miaka mingi nyuma kabla wewe hujazaliwa.
 
Tunakusubiria mkuu, Ahsante sana
Ila swali hilo kupata jibu sahihi linahitaji first hand experience ya source/God ambayo hata kwa kusoma vipi sidhani kama kuna definition itaelezea kama mdau mmoja alivyosema hapo juu,

Watakao weza kujibu spirituality wapo vizuri pia
 
Kwahiyo tutaliwa na michicha jamani
😁😁😁😁Ukifa kuna virutubisho mchicha utavipata kutoka kwako ambavyo wewe ulivipata kwa kula mchicha ,pia manii na yai vimetengenezwa na nishati za mimea na wanyama tunavyokula kama chakula. .
 
Napenda mijadala ya hivi na nondo ninazo za kutosha,ila tukipeana elimu hapa jf,kuna vivuruga wataharibu mjadala,..weekend moja tuunde group chat PM watu kumi tu,hadi mtu atoke damu,.timu yenu watu watano na kiranja wenu,nami ni add watu watano...najua hautakua mjadala wa Nani Bingwa, ila tutajua kipi ni kipi...
Swali rahisi tu nimekuuliza eleza na thibitisha chanzo cha ulimwengu, chanzo chake ni kipi?

Unaanza kuzunguka zunguka kusema una nondo, Kama hicho chanzo kipo unashindwa nini kukitaja hapahapa Sasa hivi?

Tukichambue.
 
Swali: Ukitoa princliple zote za kisayansi unazozijua na usizojijua na Ukitoa imani zote za Dini zote unazozijua na usizozijua Je, Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini ?

NB; Uzi huu utawekwa kwenye record za Dunia kwamba ndio uzi pekee uliotaja chanzo cha Dunia, Uhai na ulimwengu bila kutaja principle zozote za Kisayansi au Imani (Dini)

Nawasilisha.
Sio kila kitu mwanadamu ni lazima akijue

Wewe ulijikuta umezaliwa, huwajui hata mababu zako generation 5 nyuma, utazaa utakufa, ulio wazaa nao watazaa watakufa........... mlolongo utaendelea hivyo to infinity

Aliyekuzaa hajui na walio mzaa walikua hawajui
Na wewe hujui na utakao wazaa hawajui kama ambavyo watakao zaliwa nao watakua hawajui

No body knows
Relax and enjoy life
 
😁😁😁😁Ukifa kuna virutubisho mchicha utavipata kutoka kwako ambavyo wewe ulivipata kwa kula mchicha ,pia manii na yai vimetengenezwa na nishati za mimea na wanyama tunavyokula kama chakula. .
Hatari
 
Back
Top Bottom