Chanzo cha kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

Nani umemsikia au kumuona akisema hapo nyuma watu walikuwa hawafi?
 
Wamegundua baada ya Magufuli kuhudhuria msiba.. Imeisha hiyoo..
Internal conflict.ndo inayosumbua watu ....mmeweka matarajio ya majibu ya vifo vyote vinavotokea kwa sasa,ndani ya bongo zenu.majibu yote yawe ni Yale mliyo feed kwa brain zenu.ikija tofauti mna conclude ni cooked info.

Can we keep concluding COVID for each & every death happens!!!?? u guys.!!!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Ninachotaka kujua ni kimoja tuu.
NANI ANAFUATA....
Nadhani baba yako au mama yako. Kati ya hao wawili mmojawapo itafaa akifuata.

Watu wapo kwenye majonzi unauliza upumbavuuu. Kama kufiwa ni jambo jema ngoja wafuate wazazi wako.
 
kiingereza kizuri hadi umemzidi mfalme !
 
Sawa, lakini kilichosababisha moyo kushindwa kazi ni corona!
Wewe na mimi hatuna hakika kuwa corona ndiyo imesababisha matatizo ya kufa kwake kwa moyo. Maelezo ya daktari ndiyo ya mwisho kama mtaalam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…