Chanzo cha kifo cha Mandojo ni mke wake, wanawake punguzeni midomo

Chanzo cha kifo cha Mandojo ni mke wake, wanawake punguzeni midomo

Kwavile ndo ilikuwa mara yake ya kwanza kunywa pombe

Afya ya akili je?

Ndo alikuwa anamvutisha na bangi

Ndiye alimtuma akafanye fujo kanisani

Ndiye aliwaagiza walinzi wampige.....

Kuna mmoja wa rafiki zake ,nimeona kwenye clip alisema kwamba alizuiliwa kunywa pombe kwasababu zinamuathiri na alikuwa na file mirembe.(Hapo nikawa sijalewa maana yake).
 
Kwavile ndo ilikuwa mara yake ya kwanza kunywa pombe

Afya ya akili je?

Ndo alikuwa anamvutisha na bangi

Ndiye alimtuma akafanye fujo kanisani

Ndiye aliwaagiza walinzi wampige.....
Itatafutwa sababu tu ilimradi lawama zimwangukie mwanamke!! Ukute hata chanzo cha huo ugomvi (kama kweli ulikuwepo) ni huyo huyo mwanaume.

Tuna kizazi cha hovyo kweli cha hawa wanaojiita wanaume.
 
Kwavile ndo ilikuwa mara yake ya kwanza kunywa pombe

Afya ya akili je?

Ndo alikuwa anamvutisha na bangi

Ndiye alimtuma akafanye fujo kanisani

Ndiye aliwaagiza walinzi wampige.....
Kuna wengine hatujui hayo je, unaweza kufafanua zaidi ?
 
vyovyote itakavyokuwa, aliyesababisha au kuchochea kifo cha huyu bro lazima ataweweseka sana hasa kama atakuwa ni mtu wa mitandao na msikiliza radio
Hawa mawakala wa shetani waweseke vipi?

Jackline anagombea mali za Reginald Mengi mpaka mahakama ya rufaa kote huko anapigwa kibuti na bado yumo tu.
 
Back
Top Bottom