Chanzo cha kifo cha Mandojo ni mke wake, wanawake punguzeni midomo

Chanzo cha kifo cha Mandojo ni mke wake, wanawake punguzeni midomo

Habari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamuwa kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai.

Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke.

Tuishi nao kwa akili.
ni kweli kabisa kuwa shetani yuko kazini. Tuyakabidhi maisha yetu kwa Bwana Yesu ayamiliki Yeye ili tushinde na zaidi ya kushinda, kwa Yeye aliyetupenda.

YESU NI BWANA&MWOKOZI
 
Wakati Mwana FA anaimba na AY ulikuwa la ngapi? Kuna YP na YDash, kuna Pingu na Deso, kuna Juma Nature na Inspector Haroun, halafu kuna Mandojo na Domo kaya.
Sasa wewe umejivika vyeo vya ujuaji kumbe huna unalolijua. Mimi nimetaka kujua kuhusiana na sababu iliyopelekea umauti wa Mandojo na si kuhusiana na historia au makundi uliyoorodhesha.

Mambo mengine ni bora kukaa kimya 🔇 kuliko kudandia dandia.
 
Sisi ma MC tunapinga kabisa hii kampeini ya kataa ndoa, ina mlengo wa kukwamisha jitihada za maendeleo za serikali ya awamu ya sita
 
Habari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamua kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai.

Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke.

Tuishi nao kwa akili.
Kwaiyo mdomo wa mwanamke ukufanye ukajialibie maisha Kwa mwanaume u must have ability to withstand with no pressure
 
Hovyo kweli, wanatafuta pa kuangushia jumba bovu, tatizo la akili ni very complicated, mwenye tatizo kuwageuka hata kuwadhuru humo ndani ni dakika tu wanabadilikaga, kuishi nae tu anatakiwa apewe tuzo huyo mwanamke,

Kuishi nao ni km watoto kabisa kumuelekeza na kumzuia baadhi ya vitu yaweza kuwa alizuiliwa kitu akaondoka kwa kuzira yakamkuta yakumkuta
Huyo mwanamke tu alikuwa jasiri sana.
 
Back
Top Bottom