Chanzo cha kifo cha Mandojo ni mke wake, wanawake punguzeni midomo

Chanzo cha kifo cha Mandojo ni mke wake, wanawake punguzeni midomo

Kwavile ndo ilikuwa mara yake ya kwanza kunywa pombe

Afya ya akili je?

Ndo alikuwa anamvutisha na bangi

Ndiye alimtuma akafanye fujo kanisani

Ndiye aliwaagiza walinzi wampige.....
Kwahiyo walinzi wa kanisa wameua?
 
Itatafutwa sababu tu ilimradi lawama zimwangukie mwanamke!! Ukute hata chanzo cha huo ugomvi (kama kweli ulikuwepo) ni huyo huyo mwanaume.
Tuna kizazi cha hovyo kweli cha haw awanaojiita wanaume.
Hovyo kweli, wanatafuta pa kuangushia jumba bovu, tatizo la akili ni very complicated, mwenye tatizo kuwageuka hata kuwadhuru humo ndani ni dakika tu wanabadilikaga, kuishi nae tu anatakiwa apewe tuzo huyo mwanamke,

Kuishi nao ni km watoto kabisa kumuelekeza na kumzuia baadhi ya vitu yaweza kuwa alizuiliwa kitu akaondoka kwa kuzira yakamkuta yakumkuta
 
Habari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamuwa kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai.

Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke.

Tuishi nao kwa akili.
itabaki stori tu,
muungwana ameumaliza mwendo kwa style aliyomaliza nayo katika dunia hii,

na sasa apumzike kwa amani mahali panapomstahili Amen 🙏
 
Itatafutwa sababu tu ilimradi lawama zimwangukie mwanamke!! Ukute hata chanzo cha huo ugomvi (kama kweli ulikuwepo) ni huyo huyo mwanaume.
Tuna kizazi cha hovyo kweli cha haw awanaojiita wanaume.
Why do you generalize a whole group of men?

Kama ambavyo kuna Wanawake wa hovyo na Wanawake wenye hekima, vivyo hivyo kuna Wanaume wenye hekima na Wanaume wa hovyo.
 
Back
Top Bottom