Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
- Thread starter
-
- #41
Wakati Mwana FA anaimba na AY ulikuwa la ngapi? Kuna YP na YDash, kuna Pingu na Deso, kuna Juma Nature na Inspector Haroun, halafu kuna Mandojo na Domo kaya.Kuna wengine hatujui hayo je, unaweza kufafanua zaidi ?
ni kweli kabisa kuwa shetani yuko kazini. Tuyakabidhi maisha yetu kwa Bwana Yesu ayamiliki Yeye ili tushinde na zaidi ya kushinda, kwa Yeye aliyetupenda.Habari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamuwa kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai.
Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke.
Tuishi nao kwa akili.
Nyie kama wazazi na walezi mnachangia hili pakubwa sana.Tuna kizazi cha hovyo kweli cha haw awanaojiita wanaume.
NA MIMI NAKANDAMIZIA πNAKAZIA
Sasa wewe umejivika vyeo vya ujuaji kumbe huna unalolijua. Mimi nimetaka kujua kuhusiana na sababu iliyopelekea umauti wa Mandojo na si kuhusiana na historia au makundi uliyoorodhesha.Wakati Mwana FA anaimba na AY ulikuwa la ngapi? Kuna YP na YDash, kuna Pingu na Deso, kuna Juma Nature na Inspector Haroun, halafu kuna Mandojo na Domo kaya.
Kwaiyo mdomo wa mwanamke ukufanye ukajialibie maisha Kwa mwanaume u must have ability to withstand with no pressureHabari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamua kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai.
Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke.
Tuishi nao kwa akili.
Alienda Dubai na kambuzi dume kake akamrusha roho Mzee baba ikawa R.I.P Mungu tupe nguvu kumaliza mitihani hii ya maisha.Hawa mawakala wa shetani waweseke vipi?
Jackline anagombea mali za Reginald Mengi mpaka mahakama ya rufaa kote huko anapigwa kibuti na bado yumo tu.
Huyo mwanamke tu alikuwa jasiri sana.Hovyo kweli, wanatafuta pa kuangushia jumba bovu, tatizo la akili ni very complicated, mwenye tatizo kuwageuka hata kuwadhuru humo ndani ni dakika tu wanabadilikaga, kuishi nae tu anatakiwa apewe tuzo huyo mwanamke,
Kuishi nao ni km watoto kabisa kumuelekeza na kumzuia baadhi ya vitu yaweza kuwa alizuiliwa kitu akaondoka kwa kuzira yakamkuta yakumkuta
"Nyie" akina nani?Nyie kama wazazi na walezi mnachangia hili pakubwa sana.
Shule mmefunga!? Watoto wa 2000 mtamfahamia wapi Mandojo?Ndio nani huyo mtu?
Akina mama, wazazi"Nyie" akina nani?
Kwahiyo tumerudi kule kule "akina mama"!!!!Akina mama, wazazi