Chanzo cha kifo cha Mandojo ni mke wake, wanawake punguzeni midomo

Wakati Mwana FA anaimba na AY ulikuwa la ngapi? Kuna YP na YDash, kuna Pingu na Deso, kuna Juma Nature na Inspector Haroun, halafu kuna Mandojo na Domo kaya.
Kuna zay b na sister P, kuna langa(RIP) na wengineo wa enzi hizo
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kwavile ndo ilikuwa mara yake ya kwanza kunywa pombe

Afya ya akili je?

Ndo alikuwa anamvutisha na bangi

Ndiye alimtuma akafanye fujo kanisani

Ndiye aliwaagiza walinzi wampige.....
Umecomment haraka sana bila kutafakari
 
Habari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamua kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai.

Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke.

Tuishi nao kwa akili.
Upuuzi wake mtu timamu ukasirike ndo ukalewe??
 
Habari ndio hiyo, kama Mandojo asingekerwa na mke wake na kuamua kwenda kunywa pombe basi leo hii angekuwa hai.

Hii si kazi ya Mungu, ni kazi ya shetani iliyoratibiwa na mwanamke.

Tuishi nao kwa akili.
Huna hata aibu.
 
Sad
 
Sahihi kabisa kuna siku baada ya kelele za mwanamke nolienda sehemu.. Nikalewa sana.
Mwishowe kidogo nifanye mambo ambayo yangenigharimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…