Ikibidi kufanya hivyo......
Kuna nyumba ndogo tayari sijui ina vyumba vingapi ila ipo...concluded!!!
Mtu mnunaji namuogopa kama ukoma.....bora mtu awe mkali sio ananuna
Na nikijaribu kujishusha ananinanga wee mpaka naumia. Siku zote ananifanya nionekane tatizo liko kwangu. Najishusha ili maisha yasonge lakini analazimisha mgogoro unakuwepo. Miaka 13 sasa ya ndoa , mwendo ndo huo. Nisaidie nifanye nini maana tumezaa watoto watatu.
Kununa ni suluhisho?hii inawezekana kabisa, hasa ukizingatia ikiwa wana ugomvi....
Ninavyisema miezi mitano ni kama mfano tu. Ila jamaa anaweza kununa hata mwaka na zaidi. Ndo maana nikalileta huku. Na anafanya chini juu nisipate hata jinsi ya kuchepuka kwa sababu anajua ukame nnaopata
Na nikijaribu kujishusha ananinanga wee mpaka naumia. Siku zote ananifanya nionekane tatizo liko kwangu. Najishusha ili maisha yasonge lakini analazimisha mgogoro unakuwepo. Miaka 13 sasa ya ndoa , mwendo ndo huo. Nisaidie nifanye nini maana tumezaa watoto watatu.
Mimi ni mgeni jamvini lakini ni muuini mzuri mzuri wa jf. Nawataka mnisaidie katika hili. Inawezekana mume akamnunia mkewe kwa miezi mitano na zaidi? Wanalala kitanda kimoja na kuishi nyumba moja bila mgegedo? Nisaidieni jamani.
hii inawezekana kabisa, hasa ukizingatia ikiwa wana ugomvi....
duh, tutaongelea hili ....
Mpendwa M/gandaMimi ni mgeni jamvini lakini ni muuini mzuri mzuri wa jf. Nawataka mnisaidie katika hili. Inawezekana mume akamnunia mkewe kwa miezi mitano na zaidi? Wanalala kitanda kimoja na kuishi nyumba moja bila mgegedo? Nisaidieni jamani.