Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

Chanzo cha kuchokana, kununiana katika mahusiano/ndoa na jinsi ya kukabiliana na tatizo hili

Pole sana...Jaribu kuongea naye kwa upole, ukimweleza jinsi unavyoumia kwa sababu yake. Asipokuelewa tafuta ndugu zake wenye akili ingawainaweza kuleta matatizo zaidi. Zaidi ya hapo mnatakiwa mkamwone mwanasaikolojia bingwa. Kununiana miezi mitano mnajadili muda mambo ya maendeleo?
 
Kununua kununa kabisa?
Miezi mitano?
Duh! Yataka moyo , hata ile chemistry kati yenu itapotea.
 
mmmhh
1:nahisi mumeo ana ugonjwa wa kutokujiamini
Huko kununa kwake ndio silaha yake!!!!

2:ana mchepuko anatumia mwanya huo kufanya mambo yake

Endelea kuvumilia ndio shida na raha zenyewe hizo!!!

nenda kalikizo ukirudi yameisha!!!!
 
.......miezi 5 mbona cha mtoto! Kuna wanandoa mume alinuna miaka 5 bila mgegedo. Ndoa hizi nyie acheni, ukiwaona nje huwezi dhania.....kumbe ndani hakuna kitu.
 
Huko kununa kulianza lini, maisha yenu awali yalikuwaje, inakuaje anaanza kununa ni baada ya ugomvi au, tafakari hayo na uchukue hatua.

Mtu ambaye haongei ni hatari sana katika mahusiano mana anakuwa anajiuliza maswali na kujijibu mwisho wa siku na hukumu atatoa kulingana na majibu yake mwenyewe. Kaa chonjo.
 
Na nikijaribu kujishusha ananinanga wee mpaka naumia. Siku zote ananifanya nionekane tatizo liko kwangu. Najishusha ili maisha yasonge lakini analazimisha mgogoro unakuwepo. Miaka 13 sasa ya ndoa , mwendo ndo huo. Nisaidie nifanye nini maana tumezaa watoto watatu.

Nimeogopa!!
Hivi alianza ghafla tu vya kununa au hata kabla ya ndoa alikua na hizi tabia?
Kuna tatizo hapo, hakuna ndoa.
na inaonesha hamna urafiki, vinginevyo msingeweza kununiana hata siku mbili zingekua nyingi.

Mnaishije kama maadui?
Pole sana,
 
Kwanza mi nawachukia hao vinuni kina kununa nuna. Eti sipo kwenye mood, hiki sijisikii... chaaa!!!

Nashukuru kwa nilichojaaliwa maana nina roho nyepesi, kwa mnuno wa miezi mitano ningeshakua mteja wa Dr Godman pale GODAPET
 
Umeshawahi kumwambia, "Baba nanihii genye zimenizidi naomba unigegede" au wakati mmelala ukapeleka mkono kuanza kuchezea gegedo? Usikute labda gegedo limeishiwa nguvu hivyo anatafuta visingizio vya kuficha tatizo kwa kununa. Pole zako nyingi.

Ninavyisema miezi mitano ni kama mfano tu. Ila jamaa anaweza kununa hata mwaka na zaidi. Ndo maana nikalileta huku. Na anafanya chini juu nisipate hata jinsi ya kuchepuka kwa sababu anajua ukame nnaopata
 
Na nikijaribu kujishusha ananinanga wee mpaka naumia. Siku zote ananifanya nionekane tatizo liko kwangu. Najishusha ili maisha yasonge lakini analazimisha mgogoro unakuwepo. Miaka 13 sasa ya ndoa , mwendo ndo huo. Nisaidie nifanye nini maana tumezaa watoto watatu.

Pole sana mummy!Unatia huruma aisee.
Kusameheana ni jambo la msingi sana ili maisha yaendelee.MUNGU amsaidie mumeo abadilike kwani hali hiyo inaweza kutengeneza matatizo mengine hasa kuchepuka.
 
Miezi mitano?Aiseee ni mingi sana jaribu kuongea hata na viongozi wenu wa dini au wazazi mtatue yanayowasibu ili muendeleze familia yenu maana mmeishakaa mda mrefu
 
Mimi ni mgeni jamvini lakini ni muuini mzuri mzuri wa jf. Nawataka mnisaidie katika hili. Inawezekana mume akamnunia mkewe kwa miezi mitano na zaidi? Wanalala kitanda kimoja na kuishi nyumba moja bila mgegedo? Nisaidieni jamani.

kwa kuanzia ulimkosea nini mpaka akaanza kununa?,jibu lako litanipa mwangaza nikushauri vipi
 
Tukinuniana miezi 5 ina maana kwenye tendo la ndoa inakuaje?
 
Mimi ni mgeni jamvini lakini ni muuini mzuri mzuri wa jf. Nawataka mnisaidie katika hili. Inawezekana mume akamnunia mkewe kwa miezi mitano na zaidi? Wanalala kitanda kimoja na kuishi nyumba moja bila mgegedo? Nisaidieni jamani.
Mpendwa M/ganda
Pole sana , ila nitakupa msaada wa maombi/duaa (bila kujali imani gani) ambayo yatarekebisha na kumweka sawa mumeo ili ajirudi na awekaribu nawe na familiya yenu.

Dawa hii ni mawasiliano na Mwenyeezzi Mungu kila siku alfajiri na jioni. useme hivi :- " Rabanaa HabLanaa min Azwajinaa wa Dhuriyatinaa Quraat ayun, Wajaali LiLmutaqeena Imama "

Hongera
 
Back
Top Bottom