Chanzo cha kuvimba uume siku moja baada ya tendo la ndoa ni kiashiria cha nini?

Usikute uume wako umepata mimba
 
Duu hiyo ni live wire yaani umechimba mgodi kavukavu, nenda hospitali ukapimwe
 
Je nikichoma power safe tatu kwa mbadala wa hii je

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Ndugu wahi kamuone daktari una maambukizi makali,,eti uvimbe tu mboo kwa kuingiza kwenye nyuchi we uliwahi ona wapi? Basi tungevimba weng sana
 
HIYO TEGO MZEE WAZEE KWA VIJANA wa upande wa pwani wanawatega sana mabint na wake ili wapate mchele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ