ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mie kuna mwanamke eti alipenda meno,anadai yanafanana na ya AY,sasa kama sio ujinga ni mini,so they are complex,even me nachepuka sababu ni tamaa tu kubadili ladha so huwa sijiumizagi kuhangaika na mke ila ntajitahidi kutimiza yanayonihusu na chochote ntakaxhojiskia kumfanyia otherwise sina mda wa kuwa za mwanamke, atiwe au asitiwe sijali kikubwa nisijue tuYaan tutaumiza kichwa sna kuhusu mwanamke anaweza penda kucha za mwanaume tu mpka anatoa penzi
Umri wangu unatosha niseme kitu wanawake hawatosheki na WANAWAKE WOTE hasa wa Africa ni MALAYA hawana tajiri au maskini malaya tu hata umpe nini hata umgegede kila saa bure tu(1)Akiwa na urafiki na mwanaume
(2)Kipindi mmekosana/mmenuniana
(3)kipato cha mwanaume kikipungua.
(4)uwepo/awapo amesafiri
(5)Akiwa kazini hasa kama ameajiriwa
Hii ina ukweli kwa 99%8. Mazoea ya mke kuwa na waume wengi kabla ya kuolewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimejikuta nacheka utadhani mazuri. Sikutegemea kukutana na comment ya aina yako mkuu.Mie I don't care achepuke au asichepuke sina mda wa kufuatilia mambo ya mwanamke wangu,kwani ukigonga inaisha,cha msingi nisijue baaaasi
[emoji134] [emoji134] Maneno yako ni makali mkuu. Umri wako unatosha pia kujua kuwa kuna exceptionUmri wangu unatosha niseme kitu wanawake hawatosheki na WANAWAKE WOTE hasa wa Africa ni MALAYA hawana tajiri au maskini malaya tu hata umpe nini hata umgegede kila saa bure tu
Even if lakini wanawake wote ni malaya na huwa hawatosheki na mme mmoja mpaka wawe na kinjemba cha nje kinacho mtwanga magoli mengi, kama ni uongo ajitokeze mmoja akanushe tumuanike[emoji134] [emoji134] Maneno yako ni makali mkuu. Umri wako unatosha pia kujua kuwa kuna exception
Ewa nàye si kila mara mara moja moja tu sio mbayaMwanaume ruksa au sijakuelewa?
Hahhhaahaa!!!nilikuwa sitaki kucheka ila imebidi tu.Kurithi toka kwa mama yake,
kama mama alikua limalaya na litoto lake la kike litakua hivyo tu
Ukijifanya unajua sana kupenda unaweza ishia kama huyo jamaa,tafuta pesa achana na mambo ya wanawake,they are complex sana.Ukitake easy utaishi kwa amani mustarehe,what u do is just bit ndogo ndogo za hapa na pale just kuonyesha kwamba mwenye mali upo mtu asije jiachia kivile akasahau kuwa ni mke wa mtu,but nikijua nashit mtu on the spot so kama ni wa kujitambua atafanya kwa tahadhari na kwa kujificha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimejikuta nacheka utadhani mazuri. Sikutegemea kukutana na comment ya aina yako mkuu.
Kabisa, na tabia ya mtu ni kama Ngozi, kamwe huwezi kuibadilisha...Kuchepuka ni tabia HUSIKA ya mtu. . Hata umpatie vyote kama nitabia yake atagawa tu nje
Umenikumbusha mikakati mitatu ya Shetani (Lucifa) ambayo ameamua kuitumia hivi Leo ili kuhakikisha kwamba anapata wafuazi wa kutosha.Sababu za kuchepuka ziko mbili tu,:mwanamke kama alivyo mwanaume anachepuka kwa sababu anataka kustarehe, tendo la ndoa ni starehe nzuri kuliko starehe zote.Anatoka ili kuona utamu mwingine kwingine ukoje.Sababu ya pili ni uchumi, mwanamke atabadilisha wanaume ili kujiongezea kipato.Sababu zingine zote ni ndogo na hazina uzito.Hata hao wanaume wanaowalipa wanawake wanataka kuona starehe ya mwingine ikoje hata kama nyumbani ana bonge la mwanamke.Kwa kifupi kinachosumbua ni starehe,starehe na si kingine.
Sawa,Ewa nàye si kila mara mara moja moja tu sio mbaya
Acheni kunyanyasa wanawake!Ukijifanya unajua sana kupenda unaweza ishia kama huyo jamaa,tafuta pesa achana na mambo ya wanawake,they are complex sana.Ukitake easy utaishi kwa amani mustarehe,what u do is just bit ndogo ndogo za hapa na pale just kuonyesha kwamba mwenye mali upo mtu asije jiachia kivile akasahau kuwa ni mke wa mtu,but nikijua nashit mtu on the spot so kama ni wa kujitambua atafanya kwa tahadhari na kwa kujificha
BTW sitakaki mazoea sana na mke,nimeweka na hali fulani awe ananiogopa,I just enjoy that,ukicheka hovyo anakuchukulia poa just kama mtoto.mojawapo ya kanuni ya kuwa na nguvu na sauti ni kuepusha mazoea ya kijinga,sio vibaya siku ukamnasa kibao,kwa akili za wanawake hiyo ni care kwao
Wewe ndio mbembeleze mkuu,utabembeleza na utachapiwa kama kamaAcheni kunyanyasa wanawake!
Umnase kibao ,eti ndio care[emoji51]
Tabia za kikurya hizo!
Ishini nao kwa akili sio kwa mateso ,dharau ,viburi na jeuri!
Mwanamke anataka raha sio karaha!
Mtaibiwa sana tu kwa ujeuri wenu!
Yaani wewe naona hata chumbani huna romance kisa atajidai na kuona unamtetemekea !
Full kubaka!
Ishini Leo! Kesho majaliwa!
Utajidai tu kama unatawala!Wewe ndio mbembeleze mkuu,utabembeleza na utachapiwa kama kama
Afu hukuwahi sikia utafiti wa mtandao wa jinsia Tanzania kuhusu wanawake kupigwa kiaina,kwa taarifa yako mwanaume walisema sio tabia nzuri lakini wanawake waliunga mkono kwamba ni sehemu ya mwanaume kujali,huku sio kwa wazungu mkuu,hizo fair play zitawaponza
Kanuni ya kumtawala ndio hiyo,unavyomuongoza mtoto na yeye ndio hivyo hivyo
Hakuna uhusiano wowote wa kufika kileleni na Ku enforce the law of nature ya kumtawala,mtoto ukijifanya hutaki kufuata kanuni za mm mtawala lala mbele( in magu' s voice)Utajidai tu kama unatawala!
Lakini hamna kitu! Kama una mawazo hayo pole sana!
Hata mtoto wako inafika mahali huwezi kumtawala!
Kwa hiyo ukimbembelezwa na wewe hutakuwa nampango kando?[emoji51]
Ndio nyie wake zenu miaka 10 ya ndoa hawajawahi kupanda Kilimanjaro[emoji34]
Nawachukia sana wanaume ambao ndoa ni uwanja wa vita! Hasa wanaotoka familia za kibabe/ kibeberu!
Maisha raha si karaha!
Hata kama unaishi nyumba ya udongo/ miti bora upate anaejua kubembeleza! Wallah utainjoi[emoji23]