Chanzo Kikuu cha Watu walio kwenye mahusiano kuchepuka

Usemalo ni hakika....
 
Mambo ya wanawake mwechieni Mungu tu ,kwa uwezo wetu wa akili na maarifa hivi viumbe kwetu ni ngumu kuviridhisha kwa kila kitu
 
Mtu yeyote anayeijali nafsi yake hawezi kuchepuka awe mwanamke au mwanaume. Tamaa ya nafsi zetu kama binadamu inatushinda na hivyo kushindwa kuzithamini nafsi zetu
Ni kweli mkuu
 
Kuchepuka ni tabia na hulka ya mtu uloyataja hapo juu yanachangia kiasi chake lakini sio sababu tosha za kumfanya mwanamke achepuke.
 
9.ww unakibamia wakat yeye alishazoea big cassava since way back
 
People chepuka for no reason,hilo ndo naamin,mtua akiamua kuchepuka atachepuka,sio pesa,sio kupigwa mashine,sio maudh,sio nin,unaweza,ukawa ma mpingo na akachepuka,unaweza ukawa good boy church boy na akachepuka akatafta playbo,unaeza ukawa na hela akachepuka akaenda kwa mlala hoi,...so mi naona hil swala hakuna namna.cha msing ni kulindana tuu kwamba anapozingua adhab yake apate,kama kuachwa aachwe etc,..same applies to both sex.
 
(1)Akiwa na urafiki na mwanaume
(2)Kipindi mmekosana/mmenuniana
(3)kipato cha mwanaume kikipungua.
(4)uwepo/awapo amesafiri
(5)Akiwa kazini hasa kama ameajiriwa
hata shetani asilaumiwe
 
anapewa mume mzuri yeye anatafuta mchepuko
 
Mwanamke akichepuka malaya ila mwanaume kidume [emoji57] [emoji57] [emoji57] smh
 
Mkuukwahiyo mwanamke tumfananishe na bata ?
Lakini pia kuna wanaume wanatania kama hizo nao je???
 
Mkuukwahiyo mwanamke tumfananishe na bata ?
Lakini pia kuna wanaume wanatania kama hizo nao je???
 
Mwanamke hapaswi kuchepuka kwa namna yoyote kwa hari yoyote aliyonayo mumewe ni kosa halivumiliki na hukumu yake ni kutengana penzi haligawanyiki unamwachia mwingine

Sawa kabisa!! Hata katika vitabu vitakatifu sikuwahi kusikia mwanamke akiolewa Na wanamme wawili kwa wakati Mmoja.
 
Habari.

Hizi Ni sababu zinazomfanya mwanamme kuchepuka katika mahusiano/ ndoa

1. Kutoridhidhwa na mwanamke
2. Gubu ndani ya nyumba
3. Kubana bana papuchi bila mpangilio
4. Kutokuwa saafi
5. Nyingine ongezea wewe basi alaaa
6.
7.
8.
9.
10.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…