Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Kamuulize msukuma mwenzio uliyekuwa unaimba mapambio ya kumsifu humu.Kwanini Katibu Mkuu wa CCM azungumzie na kuonya watendaji wa serikali? Katibu Mkuu Kiongozi kazi yake ni kutangaza watenguliwa na wateuliwa tu? Yeye siyo sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya watumishi wa umma?
Wakoloni (Wajerumani hasa) walitumia Sana huu utaratibu wa kuchapa watu wazima pale Bomani (kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya). Na watu wazima wanakubali vipi kuchapa na mtu mzima mwingine? Kwa sababu hawataki au wanaogopa kupoteza kazi?
Wewe ni mpuuzi sana. Karibu mkuu wa CCM ni msimamizi wa Ilani inayotekelezwa na Serikali? Kwaiyo ununuzi wa Midege ile na Ujenzi wa Uwanja wa ndege Chato uliogharimu mabilioni ya shilingi za walipakodi ambazo hazikuwa kwenye ilani Bashiru alifanya nini? Nilitegemea kama yeye ni msimamizi na kitu kimetekelezwa nje ya Ilani angewafukuza wote waliotekeleza hiyo miradi. Hana cha usimamizi wowote na yeye ni mteule tu wa Mwenyekiti muda ukifika ataondoka na kuacha historia yake. Hayo aliyoongea kule Bukoba ni kelele tu kama za kubweka kwa toothless dogKatibu mkuu( General Secretary) wa chama cha mapinduzi CCM, yeye ndie msimamizi mkuu wa ilani ya CCM( Chama tawala), ilani inayotumika kutoa muongozo wa utekelezaji wa shughuli za serikali kwa miaka mitano ijayo( 2020-2025)
Watendaji wote wa serikali kwa sasa wanatekeleza majukumu yao kutokana na muongozo wa ilani ya CCM( 2020-2025)
Endapo ilani hiyo itafeli au kushindwa kutekelezwa ipasavyo, mtu wa kwanza kuulizwa na kuwajibika kwa kufeli huko, ni latibu mkuu wa CCM, kwa nafasi yake kama msimamizi mkuu wa ilani hiyo
Kwa hiyo katibu mkuu wa CCM anayo haki ya kutoa onyo kwa mtendaji yeyote wa serikali, ikiwa anaona mtendaji huyo ni kikwazo kwenye kutekeleza ilani ya chama chake( chama tawala kwa wakati huo)
Isipokuwa sasa, katibu mkuu wa CCM hana mamlaka ya kisheria ya kumuadhibu mtendaji yeyote wa serikali, Watendaji wa serikali wanaadhibiwa na mamlaka yao ya nidhamu
Mkuu sidhani unakuwa sahihi kusema kuwa Katibu mkuu hana mamlaka ya kumuadhibu mtendaji wa serikali, mamlaka anayo kupitia ngazi za chama. Hasa ukizingatia yeye ni msimamizi wa ilani ya chama cha Ccm.Katibu mkuu( General Secretary) wa chama cha mapinduzi CCM, yeye ndie msimamizi mkuu wa ilani ya CCM( Chama tawala), ilani inayotumika kutoa muongozo wa utekelezaji wa shughuli za serikali kwa miaka mitano ijayo( 2020-2025)
Watendaji wote wa serikali kwa sasa wanatekeleza majukumu yao kutokana na muongozo wa ilani ya CCM( 2020-2025)
Endapo ilani hiyo itafeli au kushindwa kutekelezwa ipasavyo, mtu wa kwanza kuulizwa na kuwajibika kwa kufeli huko, ni latibu mkuu wa CCM, kwa nafasi yake kama msimamizi mkuu wa ilani hiyo
Kwa hiyo katibu mkuu wa CCM anayo haki ya kutoa onyo kwa mtendaji yeyote wa serikali, ikiwa anaona mtendaji huyo ni kikwazo kwenye kutekeleza ilani ya chama chake( chama tawala kwa wakati huo)
Isipokuwa sasa, katibu mkuu wa CCM hana mamlaka ya kisheria ya kumuadhibu mtendaji yeyote wa serikali, Watendaji wa serikali wanaadhibiwa na mamlaka yao ya nidhamu
Wewe dogo usitake kuwafanya watanzania ni wajinga. Yalipoitishwa maanadamano wewe uliandamana? Yaani Chadema kukosa wabunge ndio sababu ya wewe kutwa nzima kulia umeporwa uchaguzi?Kama wameingia madarakani kwa wizi wa kura na umwagaji damu, na wananchi wako kimya kwa hofu, kuwachapa fimbo makondoo wanaogopa nini? Viongozi wameshajua watanzania ni makondoo, hivyo wanawafanyia lolote watakalo.
Mkuu sidhani unakuwa sahihi kusema kuwa Katibu mkuu hana mamlaka ya kumuadhibu mtendaji wa serikali, mamlaka anayo kupitia ngazi za chama. Hasa ukizingatia yeye ni msimamizi wa ilani ya chama cha Ccm.
Ilani ya Ccm sura ya sita ukurasa wa 161,umesisitiza juu ya utawala bora,utwawala wa sheria na madaraka juu ya wananchi.kwa hiyo sidhani kama mwanaCcm akipotoka na kushindwa kuteleza hili chama chake hakitakiwi kumchulia hatua.
Kwa ufupi anayo mamlaka kutoa adhabu juu ya wanachama ambao ni viongozi wanaofeli kutekeleza ilani ya chama.
Ishu ya uchapaji viboko watuhumiwa imefanywa live na wanachama wa Ccm amabao ni wateule wa rais.Katibu mkuu wa CCM anayo mamlaka ya kutoa adhabu kwa wanachama wa CCM tu
Lakini hana mamlaka ya kisheria ya kutoa adhabu kwa watumishi/ watendaji wa serikali
Kumbuka sio kila mtendaji wa serikali ni mwanachama wa chama cha mapinduzi
Wapo watendaji wengi sana,wasio wana CCM na wasio na chama cha siasa kabisa
Ishu ya uchapaji viboko watuhumiwa imefanywa live na wanachama wa Ccm amabao ni wateule wa rais.
Rais wa JMT ni mwenyekiti wa Ccm,Dr Bashiru ndio mtendaji wake mkuu.
Ilani ya Ccm uk wa 161 ipo wazi juu ya utawala bora na utawala wa sheria. Sidhani kuna haja ya kupapasa macho juu ya hili,Dk Bashiru anatakiwa achukue hatua zaidi ya kuongea tu.
Wewe dogo usitake kuwafanya watanzania ni wajinga. Yalipoitishwa maanadamano wewe uliandamana? Yaani Chadema kukosa wabunge ndio sababu ya wewe kutwa nzima kulia umeporwa uchaguzi?
Watanzania sio makondoo,bali kuna ombwe la uongozi,watu wanataka sifa kuliko kutumikia wananchi,full stop.
Narudia tena,kama huu uchaguzi ungekuwa na dosari na watanzania hawajaridhika kila mtu angeandamana.Iddi Amin aliua watu Uganda hapo hadi akachoka, je watu waliandamana? Kutokuandamana kwao ilikuwa ni dalili kuwa waganda waliridhika na alichokuwa anawafanyia? Suali la kuwa ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura, hilo halina mjadala.
Ushahidi mzuri ni DC Mnali wakati wa awamu ya nne. Yeye aliamuru Polisi wachape walimu viboko, hawa wa awamu ya 5 wameshika fimbo wenyewe na kuvharaza watu viboko. Tena wengine kwa kupokezana Naibu Waziri na DC, halafu katika hali kama hiyo useme Katibu Mkuu anahusikaje? Nimemsikia AG akijipendekeza eti analifuatilia suala hilo, yaani unafuatilia watu mnaotoka mikono ya mtu mmoja? Wakikujibu tumeteuliwa kama wewe utarudi unalialia?Mkuu wa wilaya na Naibu waziri waliohusika kutandika bakora watu hadharani ni viongozi walioteuliwa na rais Magufuli mwenyewe tena kwa mbwembwe.
Kama aliyewateua (Rais Magufuli) angekuwa hajafurahishwa na hilo jambo, nina uhakika kwa 100% hao wateuliwa wasingedumu kwenye hizo nyanzifa hata kwa siku moja, wangekuwa wameshatumbuliwa within few hours.
Katika hali hii, Katibu mkuu afanye nini?
Watanzania wengi ni matahira,wajinga na wapumbavu hivi mtu mzima tena mwanaume unaanzaje kuchapwa fimbo mbele ya watu hadharani???
Karibu sana Mzee Mwanakijiji.Umepotea mno hasa kipindi ambacho tulikhitaji zaidi.Karibu.Kwanini Katibu Mkuu wa CCM azungumzie na kuonya watendaji wa serikali? Katibu Mkuu Kiongozi kazi yake ni kutangaza watenguliwa na wateuliwa tu? Yeye siyo sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya watumishi wa umma?
Wakoloni (Wajerumani hasa) walitumia Sana huu utaratibu wa kuchapa watu wazima pale Bomani (kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya). Na watu wazima wanakubali vipi kuchapa na mtu mzima mwingine? Kwa sababu hawataki au wanaogopa kupoteza kazi?
Kuna post ambayo tulijadili sana jambo hili lakini hebu fikiria "Uchapwe viboko au ukafunguliwe kesi isiyokuwa na dhamana na hata kama ina dhamana bado ule danadana na kuozea jela?"Naunga mkono hoja, kuna mijitu mipumbavu sana ivi mtu mzima mwenzangu unichape kabisa nakuangalia kisa waziri sijui naibu au DC/RC siku hiyo naandika historia mbona. Nakutia moja ambayo ikikupata lazima wasaidizi wako wakubebe kukupeleka kwenye gari au wakuitie ambulance kabisa ili wakati niko selo nisijute
Wachapwe tu maana bila viboko mambo hayaendi.Kwanini Katibu Mkuu wa CCM azungumzie na kuonya watendaji wa serikali? Katibu Mkuu Kiongozi kazi yake ni kutangaza watenguliwa na wateuliwa tu? Yeye siyo sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya watumishi wa umma?
Wakoloni (Wajerumani hasa) walitumia Sana huu utaratibu wa kuchapa watu wazima pale Bomani (kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya). Na watu wazima wanakubali vipi kuchapa na mtu mzima mwingine? Kwa sababu hawataki au wanaogopa kupoteza kazi?
Wakati huo huo msimamo wa Jiwe hauko wazi kwenye hili!Ishu ya uchapaji viboko watuhumiwa imefanywa live na wanachama wa Ccm amabao ni wateule wa rais.
Rais wa JMT ni mwenyekiti wa Ccm,Dr Bashiru ndio mtendaji wake mkuu.
Ilani ya Ccm uk wa 161 ipo wazi juu ya utawala bora na utawala wa sheria. Sidhani kuna haja ya kupapasa macho juu ya hili,Dk Bashiru anatakiwa achukue hatua zaidi ya kuongea tu.
Wakati mGerumani akichapa watu wazima viboko pale bomani, alijua watu wazima hao wanaovunjiwa heshima zao hawawezi kufanya lolote, kwa sababu mGerumani alikuwa na mitutu ya bunduki.Wakoloni (Wajerumani hasa) walitumia Sana huu utaratibu wa kuchapa watu wazima pale Bomani (kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya). Na watu wazima wanakubali vipi kuchapa na mtu mzima mwingine? Kwa sababu hawataki au wanaogopa kupoteza kazi?
Kivipi tena mkuu. Kuna watu wametuchelewesha sana. Bila bakora mambo hayaendi. Naona fursa, tuanzishe kiwanda cha kutengeneza bakora na kila kiongozi akabidhiwe bakora ya kuwachapa wale wanaotuchelewesha.Acheni uzandiki.
Usiwe mpumbavu???? Unaposhangaa kuchapwa watu kiboko kukumbuka alichosema raisi baada ya RC wa mbeya kuwachapa hadharani wale wanafunzi. Akili zako ulizipeleka kwa dr. Slaa akushikie????Kwanini Katibu Mkuu wa CCM azungumzie na kuonya watendaji wa serikali? Katibu Mkuu Kiongozi kazi yake ni kutangaza watenguliwa na wateuliwa tu? Yeye siyo sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya watumishi wa umma?