Chapa Chapa: Katibu Mkuu Kiongozi yuko wapi?

Kwanini Katibu Mkuu wa CCM azungumzie na kuonya watendaji wa serikali? Katibu Mkuu Kiongozi kazi yake ni kutangaza watenguliwa na wateuliwa tu? Yeye siyo sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya watumishi wa umma?

Wakoloni (Wajerumani hasa) walitumia Sana huu utaratibu wa kuchapa watu wazima pale Bomani (kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya). Na watu wazima wanakubali vipi kuchapa na mtu mzima mwingine? Kwa sababu hawataki au wanaogopa kupoteza kazi?
Kamuulize msukuma mwenzio uliyekuwa unaimba mapambio ya kumsifu humu.
 
Katibu mkuu( General Secretary) wa chama cha mapinduzi CCM, yeye ndie msimamizi mkuu wa ilani ya CCM( Chama tawala), ilani inayotumika kutoa muongozo wa utekelezaji wa shughuli za serikali kwa miaka mitano ijayo( 2020-2025)

Watendaji wote wa serikali kwa sasa wanatekeleza majukumu yao kutokana na muongozo wa ilani ya CCM( 2020-2025)

Endapo ilani hiyo itafeli au kushindwa kutekelezwa ipasavyo, mtu wa kwanza kuulizwa na kuwajibika kwa kufeli huko, ni latibu mkuu wa CCM, kwa nafasi yake kama msimamizi mkuu wa ilani hiyo

Kwa hiyo katibu mkuu wa CCM anayo haki ya kutoa onyo kwa mtendaji yeyote wa serikali, ikiwa anaona mtendaji huyo ni kikwazo kwenye kutekeleza ilani ya chama chake( chama tawala kwa wakati huo)

Isipokuwa sasa, katibu mkuu wa CCM hana mamlaka ya kisheria ya kumuadhibu mtendaji yeyote wa serikali, Watendaji wa serikali wanaadhibiwa na mamlaka yao ya nidhamu
Wewe ni mpuuzi sana. Karibu mkuu wa CCM ni msimamizi wa Ilani inayotekelezwa na Serikali? Kwaiyo ununuzi wa Midege ile na Ujenzi wa Uwanja wa ndege Chato uliogharimu mabilioni ya shilingi za walipakodi ambazo hazikuwa kwenye ilani Bashiru alifanya nini? Nilitegemea kama yeye ni msimamizi na kitu kimetekelezwa nje ya Ilani angewafukuza wote waliotekeleza hiyo miradi. Hana cha usimamizi wowote na yeye ni mteule tu wa Mwenyekiti muda ukifika ataondoka na kuacha historia yake. Hayo aliyoongea kule Bukoba ni kelele tu kama za kubweka kwa toothless dog
 
Hii ndio ilani ya Chama cha Mapinduzi.
FB_IMG_1609858163643.jpg
 
Katibu mkuu( General Secretary) wa chama cha mapinduzi CCM, yeye ndie msimamizi mkuu wa ilani ya CCM( Chama tawala), ilani inayotumika kutoa muongozo wa utekelezaji wa shughuli za serikali kwa miaka mitano ijayo( 2020-2025)

Watendaji wote wa serikali kwa sasa wanatekeleza majukumu yao kutokana na muongozo wa ilani ya CCM( 2020-2025)

Endapo ilani hiyo itafeli au kushindwa kutekelezwa ipasavyo, mtu wa kwanza kuulizwa na kuwajibika kwa kufeli huko, ni latibu mkuu wa CCM, kwa nafasi yake kama msimamizi mkuu wa ilani hiyo

Kwa hiyo katibu mkuu wa CCM anayo haki ya kutoa onyo kwa mtendaji yeyote wa serikali, ikiwa anaona mtendaji huyo ni kikwazo kwenye kutekeleza ilani ya chama chake( chama tawala kwa wakati huo)

Isipokuwa sasa, katibu mkuu wa CCM hana mamlaka ya kisheria ya kumuadhibu mtendaji yeyote wa serikali, Watendaji wa serikali wanaadhibiwa na mamlaka yao ya nidhamu
Mkuu sidhani unakuwa sahihi kusema kuwa Katibu mkuu hana mamlaka ya kumuadhibu mtendaji wa serikali, mamlaka anayo kupitia ngazi za chama. Hasa ukizingatia yeye ni msimamizi wa ilani ya chama cha Ccm.

Ilani ya Ccm sura ya sita ukurasa wa 161,umesisitiza juu ya utawala bora,utwawala wa sheria na madaraka juu ya wananchi.kwa hiyo sidhani kama mwanaCcm akipotoka na kushindwa kuteleza hili chama chake hakitakiwi kumchulia hatua.

Kwa ufupi anayo mamlaka kutoa adhabu juu ya wanachama ambao ni viongozi wanaofeli kutekeleza ilani ya chama.
 
Kama wameingia madarakani kwa wizi wa kura na umwagaji damu, na wananchi wako kimya kwa hofu, kuwachapa fimbo makondoo wanaogopa nini? Viongozi wameshajua watanzania ni makondoo, hivyo wanawafanyia lolote watakalo.
Wewe dogo usitake kuwafanya watanzania ni wajinga. Yalipoitishwa maanadamano wewe uliandamana? Yaani Chadema kukosa wabunge ndio sababu ya wewe kutwa nzima kulia umeporwa uchaguzi?

Watanzania sio makondoo,bali kuna ombwe la uongozi,watu wanataka sifa kuliko kutumikia wananchi,full stop.
 
Mkuu sidhani unakuwa sahihi kusema kuwa Katibu mkuu hana mamlaka ya kumuadhibu mtendaji wa serikali, mamlaka anayo kupitia ngazi za chama. Hasa ukizingatia yeye ni msimamizi wa ilani ya chama cha Ccm.

Ilani ya Ccm sura ya sita ukurasa wa 161,umesisitiza juu ya utawala bora,utwawala wa sheria na madaraka juu ya wananchi.kwa hiyo sidhani kama mwanaCcm akipotoka na kushindwa kuteleza hili chama chake hakitakiwi kumchulia hatua.

Kwa ufupi anayo mamlaka kutoa adhabu juu ya wanachama ambao ni viongozi wanaofeli kutekeleza ilani ya chama.

Katibu mkuu wa CCM anayo mamlaka ya kutoa adhabu kwa wanachama wa CCM tu

Lakini hana mamlaka ya kisheria ya kutoa adhabu kwa watumishi/ watendaji wa serikali

Kumbuka sio kila mtendaji wa serikali ni mwanachama wa chama cha mapinduzi

Wapo watendaji wengi sana,wasio wana CCM na wasio na chama cha siasa kabisa
 
Ishu ya uchapaji viboko watuhumiwa imefanywa live na wanachama wa Ccm amabao ni wateule wa rais.

Rais wa JMT ni mwenyekiti wa Ccm,Dr Bashiru ndio mtendaji wake mkuu.

Ilani ya Ccm uk wa 161 ipo wazi juu ya utawala bora na utawala wa sheria. Sidhani kuna haja ya kupapasa macho juu ya hili,Dk Bashiru anatakiwa achukue hatua zaidi ya kuongea tu.
 
Kwa kitendo cha katibu mkuu wa CCM,kukemea hadharani na kuonyesha msimamo wake wa kutokuridhishwa na baadhi ya viongozi wa serikali kujichukulia sheria mkononi, kinyume cha sheria na utawala bora

Hiyo ni hatua tosha kabisa kuchukuliwa na katibu mkuu wa CCM, ambaye ndie mtendaji mkuu wa chama na msimamizi mkuu wa ilani ya CCM( 2020-2025)

Kama kuna hatua zaidi ya kuchukuliwa dhidi yao, basi mamlaka ya uteuzi ndio yenye mamlaka ya kufanya hivyo kama itaona kuna haja ya kufanya hivyo
 
Wewe dogo usitake kuwafanya watanzania ni wajinga. Yalipoitishwa maanadamano wewe uliandamana? Yaani Chadema kukosa wabunge ndio sababu ya wewe kutwa nzima kulia umeporwa uchaguzi?

Watanzania sio makondoo,bali kuna ombwe la uongozi,watu wanataka sifa kuliko kutumikia wananchi,full stop.

Iddi Amin aliua watu Uganda hapo hadi akachoka, je watu waliandamana? Kutokuandamana kwao ilikuwa ni dalili kuwa waganda waliridhika na alichokuwa anawafanyia? Suali la kuwa ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura, hilo halina mjadala.
 
Narudia tena,kama huu uchaguzi ungekuwa na dosari na watanzania hawajaridhika kila mtu angeandamana.

Waganda hawakuridhika na Amin ndio maana walichukua siraha na kumg'oa. Usichanganye mada boss/ kamanda.
 
Mkuu wa wilaya na Naibu waziri waliohusika kutandika bakora watu hadharani ni viongozi walioteuliwa na rais Magufuli mwenyewe tena kwa mbwembwe.

Kama aliyewateua (Rais Magufuli) angekuwa hajafurahishwa na hilo jambo, nina uhakika kwa 100% hao wateuliwa wasingedumu kwenye hizo nyanzifa hata kwa siku moja, wangekuwa wameshatumbuliwa within few hours.

Katika hali hii, Katibu mkuu afanye nini?
Ushahidi mzuri ni DC Mnali wakati wa awamu ya nne. Yeye aliamuru Polisi wachape walimu viboko, hawa wa awamu ya 5 wameshika fimbo wenyewe na kuvharaza watu viboko. Tena wengine kwa kupokezana Naibu Waziri na DC, halafu katika hali kama hiyo useme Katibu Mkuu anahusikaje? Nimemsikia AG akijipendekeza eti analifuatilia suala hilo, yaani unafuatilia watu mnaotoka mikono ya mtu mmoja? Wakikujibu tumeteuliwa kama wewe utarudi unalialia?
 
Watanzania wengi ni matahira,wajinga na wapumbavu hivi mtu mzima tena mwanaume unaanzaje kuchapwa fimbo mbele ya watu hadharani???

Naunga mkono hoja, kuna mijitu mipumbavu sana ivi mtu mzima mwenzangu unichape kabisa nakuangalia kisa waziri sijui naibu au DC/RC siku hiyo naandika historia mbona. Nakutia moja ambayo ikikupata lazima wasaidizi wako wakubebe kukupeleka kwenye gari au wakuitie ambulance kabisa ili wakati niko selo nisijute
 
Kwanini Katibu Mkuu wa CCM azungumzie na kuonya watendaji wa serikali? Katibu Mkuu Kiongozi kazi yake ni kutangaza watenguliwa na wateuliwa tu? Yeye siyo sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya watumishi wa umma?

Wakoloni (Wajerumani hasa) walitumia Sana huu utaratibu wa kuchapa watu wazima pale Bomani (kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya). Na watu wazima wanakubali vipi kuchapa na mtu mzima mwingine? Kwa sababu hawataki au wanaogopa kupoteza kazi?
Karibu sana Mzee Mwanakijiji.Umepotea mno hasa kipindi ambacho tulikhitaji zaidi.Karibu.
Usisahau kuna Waziri Mkuchika pia,naye kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Naunga mkono hoja, kuna mijitu mipumbavu sana ivi mtu mzima mwenzangu unichape kabisa nakuangalia kisa waziri sijui naibu au DC/RC siku hiyo naandika historia mbona. Nakutia moja ambayo ikikupata lazima wasaidizi wako wakubebe kukupeleka kwenye gari au wakuitie ambulance kabisa ili wakati niko selo nisijute
Kuna post ambayo tulijadili sana jambo hili lakini hebu fikiria "Uchapwe viboko au ukafunguliwe kesi isiyokuwa na dhamana na hata kama ina dhamana bado ule danadana na kuozea jela?"
Hata mie ningekubali nichapwe tu kwa ajili ya familia yangu na wanaonitegemea.
 
Kwanini Katibu Mkuu wa CCM azungumzie na kuonya watendaji wa serikali? Katibu Mkuu Kiongozi kazi yake ni kutangaza watenguliwa na wateuliwa tu? Yeye siyo sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya watumishi wa umma?

Wakoloni (Wajerumani hasa) walitumia Sana huu utaratibu wa kuchapa watu wazima pale Bomani (kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya). Na watu wazima wanakubali vipi kuchapa na mtu mzima mwingine? Kwa sababu hawataki au wanaogopa kupoteza kazi?
Wachapwe tu maana bila viboko mambo hayaendi.
 
Ishu ya uchapaji viboko watuhumiwa imefanywa live na wanachama wa Ccm amabao ni wateule wa rais.

Rais wa JMT ni mwenyekiti wa Ccm,Dr Bashiru ndio mtendaji wake mkuu.

Ilani ya Ccm uk wa 161 ipo wazi juu ya utawala bora na utawala wa sheria. Sidhani kuna haja ya kupapasa macho juu ya hili,Dk Bashiru anatakiwa achukue hatua zaidi ya kuongea tu.
Wakati huo huo msimamo wa Jiwe hauko wazi kwenye hili!
Nakumbuka kuna kipindi mama Samia Suluhu alisimama na kusema serikali itatoa fursa ya watoto watakaopata ujauzito kuendelea na masomo katika mfumo rasmi kama ilani ya CCM ya 2015-2020 inavyosem,JPM alivyoibuka aliponda sana na kusema chini ya utawala wake hakuna mtoto atakayejifungua na kurudi shule!!!
Hapo ndio naona kigugumizi cha mamlaka za kinidhamu,kuna mkuu wa mkoa alishapongezwa na JPM kwa kuwachapa wanafunzi!Sasa hapo bado watu wanategeana maana hawajui msimamo wa mkuu wa nchi uko vp!
 
Wakoloni (Wajerumani hasa) walitumia Sana huu utaratibu wa kuchapa watu wazima pale Bomani (kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya). Na watu wazima wanakubali vipi kuchapa na mtu mzima mwingine? Kwa sababu hawataki au wanaogopa kupoteza kazi?
Wakati mGerumani akichapa watu wazima viboko pale bomani, alijua watu wazima hao wanaovunjiwa heshima zao hawawezi kufanya lolote, kwa sababu mGerumani alikuwa na mitutu ya bunduki.
Hawa watu wazima wanaochapwa viboko sasa hivi mbele za wake na watoto zao wakati huu, na wao wanajua hawana lolote wanaloweza kumfanya mtawala wao, kwa sababu anazo bunduki zote na mabomu ya machozi.

Hakuna tofauti yoyote kati ya tawala hizi mbili.

Huyo 'Katibu Kiongozi', kwani yeye hana familia inayomtegemea kwa kazi na kipato kinachotokana na kazi yake?
 
Acheni uzandiki.
Kivipi tena mkuu. Kuna watu wametuchelewesha sana. Bila bakora mambo hayaendi. Naona fursa, tuanzishe kiwanda cha kutengeneza bakora na kila kiongozi akabidhiwe bakora ya kuwachapa wale wanaotuchelewesha.
 
Kwanini Katibu Mkuu wa CCM azungumzie na kuonya watendaji wa serikali? Katibu Mkuu Kiongozi kazi yake ni kutangaza watenguliwa na wateuliwa tu? Yeye siyo sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya watumishi wa umma?

Wakoloni (Wajerumani hasa) walitumia Sana huu utaratibu wa kuchapa watu wazima pale Bomani (kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya). Na watu wazima wanakubali vipi kuchapa na mtu mzima mwingine? Kwa sababu hawataki au wanaogopa kupoteza kazi?
Usiwe mpumbavu???? Unaposhangaa kuchapwa watu kiboko kukumbuka alichosema raisi baada ya RC wa mbeya kuwachapa hadharani wale wanafunzi. Akili zako ulizipeleka kwa dr. Slaa akushikie????
 
Back
Top Bottom