David Ben Gurion
JF-Expert Member
- Nov 1, 2018
- 868
- 1,384
Bob Bora kufa umesimama.. Nadhani Familia yako ingekuwa imara Zaid.. na ingekuheshimuKuna post ambayo tulijadili sana jambo hili lakini hebu fikiria "Uchapwe viboko au ukafunguliwe kesi isiyokuwa na dhamana na hata kama ina dhamana bado ule danadana na kuozea jela?"
Hata mie ningekubali nichapwe tu kwa ajili ya familia yangu na wanaonitegemea.