Chapati ya Kichina, mmea unaoishi kwenye maji, Kombucha/tea mushroom

Chapati ya Kichina, mmea unaoishi kwenye maji, Kombucha/tea mushroom

Hivi hii ladha yake ndiyo iko kama juice ya ukwaju

Ova
 
Kombucha inatibu hata ukimwi pia ina mambo mengi someni hicho kitabu cha Kombucha
Screenshot_20221220_055829_Chrome.jpg
Screenshot_20221220_055758_Chrome.jpg
Screenshot_20221220_041130_Google.jpg
 
Nilishawahi kuona nakumbuka nilikunywa maji yake the rest sikumbuki
 
Daah bi mkubwa alikuwa anauficha mbali sana
 
Eewaaah!! Swadaktaa!!

Hongera sana mkuu!! Nakupa kongole sana kwa kufanikisha hili...!

Kiukweli umenitia hamu sana ya kuionja kama sio kuinywa juice hiyo!

Miaka mingi sana imepita tangu niinywe kwa Mara ya mwisho miaka ya 97-98 but still nakumbuka vizuri ladha yake ya kusisimua mdomoni..!!
Mkuu mzigo tyr nnao karibu.
 
Back
Top Bottom