Kama upo Dar nenda Wild flour organic shop Masaki. Wanauza kombucha...ndiyo hiyo. Omba mbegu watakupa.Mkuu naomba mbegu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama upo Dar nenda Wild flour organic shop Masaki. Wanauza kombucha...ndiyo hiyo. Omba mbegu watakupa.Mkuu naomba mbegu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa sisi tuliuita mkate wa Mecca. Miaka ya nyuma wengi waliotoka Hijja walirudi nao, na ukizaa/ totoa unampatia na mwenzio, ukweli ni kwamba mmea ule ulikuwa ni Tiba. Sasa hivi mahujaji wengi waakiridi waanarudi na vitu vya kippuuzi zikiwemo simu na dildo.
Naomba maelekezo ya kuupanda uwe tayari kwa kunywaKama upo Dar nenda Wild flour organic shop Masaki. Wanauza kombucha...ndiyo hiyo. Omba mbegu watakupa
Upo sahihi dah umenikumbusha mbali ngoja nimuliize mama wapi unapatikana.Daa zamani sana huo mmea niliuona. Kuna jamaa alikuwa nao kama sikosei alikuwa anauita "mybao/mibao/maibao". Si na hakika na matamshi ya hilo jina ila mnaweza kuanzia hapo. Enzi hizo kila tukimuona jamaa ametoka kazini akiingia tu kwake kabla hajakaa tumeshafika na vikombe vyetu vya plastiki kujimiminia ilikuwa kama chai ya rangi hivi.
Chombo kikubwa kisafi.Naomba maelekezo ya kuupanda uwe tayari kwa kunywa
Wakuu kwa hapa ilipo inasiku kama 13 hivi.. Je kwa hii rangi ni tayari imeiva ?View attachment 2140258
View attachment 2140259
Mkuu kwahiyo rangi inaonyesha kuiva, lakini Mimi nilikuwa natumia maji tu sio chai nyeusi,
Sema ukitaka kujua kwa uhakika hebu ichote kidogo na kijiko alafu onja, ukiona imekuwa na ladha ya uchachu basi ujue imeshaiva tayari, Mara nyingi maji huwa yanachukua week 2 au tatu ili kuwa juice tayari.
Nimefanya hivyo.. ladha ya kauchachu fulani hivi.. Kwakweli ni tamu tofauti na inavyoonekana.. It’s like Juice ya embe iliyoanza kupata uchachu hivi
Dah ndio ilikuaga juice yetu hii udogoni! Tulikuwa tunaiita tea treasure au fungus.. Ilikuwa ikiwekwa kwenye kona gizani gizani, ole wako usogelee au ukatikise!😂
Nadhani nayo imechangia sana kutukuza wenye nguvu na afya njema
Mkuu nitapata wapi? Hiyo kitu maana hata mimi nilitumia sana ni nzuri kwa vidonda vya tumboNakumbuka tulikuwa kunaweza chai ya rangu sio maji
Ndo wenyewe mkuu
👍Ndo wenyewe mkuu