Chapati ya Kichina, mmea unaoishi kwenye maji, Kombucha/tea mushroom

Miaka ya 19... huu mmea ulikuwa pale nyumbani.

Ukifika unapewa juisi yake.

Ulitunzwa kwenye kopo la lita nne kwetu tunaita kisado.

Ulikuwa unabadilishwa maji yake.

Sijui ulienda wapi.

Nahisi ulikuwa na uwezo wa kutibu magonjwa mengi, nilitaka kusema na nguvu za kiume nikajua mtasema ulijuaje.
 
Niliwahi kuhudhuria mafunzo ya kuutengeneza from the scratch

Miaka ya 2000s kuna wadau walikua wafundisha ngoja nitafute kile kidaftari kama ntabaini mawili matatu
 
Huo mmea alikuwa nao mjomba wangu ...tulikuwa tunauita Tee treza, kinywaji kina uchachu flani
 
Ni mmea mzuri sana mkuu,

Na juice yake ni tamu sana, ina ladha ya kusisimua sana! Pia nasikia ni dawa inatumika sana kule China na barani Asia.

Na una staajabisha sana huu mmea!
Nilianza kuutumia 1996 kwa anko.
Ni mzuri una uchachu flani hivi.
Lakini ukiutazama umekaa kama konokono mkubwa😂
 
Lete Maneno....
Ulifanikiwa Vp Yule Ndugu Yako Aliyekupa Wewe Hana Mbegu
 

Haya Makampuni Yenu Sijui Allybaba Hawawezi Kukuletea

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…