Charles Darwin 3rd Degree MM aliefanikiwa kuupotosha ulimwengu kwa Illuminati agenda

Niliwahi kumuuliza mwalimu wa history inakuaje tena manyani hayageuki na kuwa binadamu alishindwa kujibu wote tukaangua kicheko.

Ajabu upuuzi huu bado unafundishwa tuu.
Mkuu Darwinism ni nadharia kama zilivyo nadharia zingine kama nadharia za kusema kiswahili ni krieoli au pijini, au kiswahili ni kibantu au ni kiarabu. Sioni tatizo ikiwa na mapungufu.

Tatizo walimu wakifundisha wanafundisha theory kama principle that's why bright leaners wanapofanya upembuzi wanayaona makosa. Wakati makosa hayo yalitakiwa yasemwe kama mapungufu tu.
 
Evolution haisemi hivyo mkuu..Nyani hakubadilika na kuwa binadamu ila binadamu unae mwona leo ndiye alifanyika evolution.
Na kwa hili hadi leo linathibitika binadamu wa zamani chukulia tu babu zetu kuna tofauti na sisi japo ni mere kuiona
Theory gani hiyo ya Darwinism inasema hivyo?

Hapo kwenye picture kilicho undergone evolution change ni kipi from the first place?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mkuu Redeemer ulikua sawa inabidi nijeuke lecturer sasa siona muona tena huyu[emoji115] [emoji115]
 
Niliwahi kumuuliza mwalimu wa history inakuaje tena manyani hayageuki na kuwa binadamu alishindwa kujibu wote tukaangua kicheko.

Ajabu upuuzi huu bado unafundishwa tuu.
Mkuu Darwinism ni nadharia kama zilivyo nadharia zingine kama nadharia za kusema kiswahili ni krieoli au pijini, au kiswahili ni kibantu au ni kiarabu. Sioni tatizo ikiwa na mapungufu.

Tatizo walimu wakifundisha wanafundisha theory kama principle that's why bright leaners wanapofanya upembuzi wanayaona makosa. Wakati makosa hayo yalitakiwa yasemwe kama mapungufu tu.
 
Zaidi ya yote nimeshindwa kuelewa lengo ni nini la kuileta hii theory tuijadili. Maana kama ni mapungufu nadharia karibia zote duniani zina mapungufu kama ilivyo hii ya Darwin.
Philosophical theories zina weakness
Psychological thoeries zina weaknesses ..
Language's theories zina weaknesses.

Sioni tatizo hiyo nayo ikiwa na mapungufu mkuu
 
Umeulizwa swali. Jibu swali acha kuingi vichakani nenda moja kwa moja kwenye jibu.
 
Thanks now you are coming to my 10 billion dollar questions.

7. Why is an unproven theory used as fact?
 
Jibu ni kwamba ni mapungufu.
Eeh lengo la jibu langu kwenu ni lipi
Asante kwa kukiri kwamba Darwinism ni delusional na irrelevant theory.

Welcome back.
 
 
Thanks now you are coming to my 10 billion dollar questions.

7. Why is an unproven theory used as fact?
Swali lako linamajibu mengi saana.

Theory is a body of framework or accepted assumptions attempted to provide plausible and rational blah blah......lengo ni kudraw conclusion

Used as fact where? In schools au na wapinga biblia katika kuelezea original ya binadamu?

Swali halipo specific tho.

Kama ni katika shule ina haki ya kutumika maana katika ku draw conclusion lazima tuwe na body of frame works(theories) na tunachagua moja iliyo na ahuweni kuzidi zingine maana theory zote zinamapungufu.

Pia inatumika kama foundation for further scientific researchs kwa wanafunzi.

Kuhusu wanaoitumia kupinga biblia labda wameona ndiyo yenye ahuweni ukilinganisha na nadharia zilizopo kwenye biblia.
 
Nzuri mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Naendelea kushuhudua production ya pumba tu kuanzia reply ya kwanza.

Umesema:

" Jibu ni kwamba ni mapungufu.
Eeh lengo la jibu langu kwenu ni lipi"

Unajua nini maana ya factual theory??

Theory inayotumika as a prominent doctrine kama the cradle of mankind it is 100% proved and satisfied real without doubt then inatumika kwenye education institutions.

Simple question mwalimu wako alivyokuuliza the last transitioning man was homo habilis ulimjibu YES au NO?
 
Asante kwa kukiri kwamba Darwinism ni delusional na irrelevant theory.

Welcome back.
Not delusional or irrelevant. If it's delusional we wouldn't have this foundation bro. By then, will you criticize what? Nothing?

Kaongelea masuala ya time and evolution. Still ni kitu kinachooneka mpaka now.
 
The problem of African people is that, the always start from nowhere. The white people brought the religions and Africans accepted it wholesale at the expense of the mother religions. Be it the white comes with lie or truth, an African will carry it wholesale. Just see for example, when the white came with the stories in the bible, you unquestionably accepted everything and you left yours. You even dare to wear their hairs.
Reasonable Africans know that there is truth in both bible and theory of evolution. Don't you remember that Galileo was excommunicated due to saying the truth that the earth revolves around the sun?
 
Not delusional or irrelevant. If it's delusional we wouldn't have this foundation bro. By then, will you criticize what? Nothing?

Kaongelea masuala ya time and evolution. Still ni kitu kinachooneka mpaka now.
Dah no delusion hivi unajua maana ya hilo neno delusion?
Mapungufu uliyokiri yalitokea wapi?

Nini kinafanya kitu che mapungufu ambayo asante umekiri mwenyewe kidiwe delusional?

Ukiwa unaendelea kunitafutia majibu hayo naomba unipe maelezo haya mkuu chongchung aliyoyaleta.

1. Which came first? Time, Space,Matter or energy?



2.Where did the necessary materials to create the universe come from and

where did they exist if there was no space?



3. Where did life originally come from if it can not appear spontaneously?



4. Which came first? Male or Female?



5. Why do we find petrified trees standing up through supposedly “millions” of years worth of geological layers?



6. What were the first elements to be formed?



7. When and how did the stars come to be?



8. When did the laws of nature(i.e. Gravity) first come into effect?



9. Why is an unproven theory used as fact?



10. How did the universe start(please provide specified details)?
 


Mkuu shida ni kwamba wewe unataka tu erase hii theory kwenye kueleza chimbuko la binadamu. Hiki ni kitu ambacho ni kigumu saana. nilisema hii theory kutumika katika education institutions kama mwanzo wa kuelezea na kudadisi chimbuko la binadamu na sio hitimisho la kumwelezea binadamu.

Hata institution ulizosema zimeipinga hii theory japo hujaweka data still wataitumia kama foundation . (Mapungufu ya nadharia ndiyo mwanzo na mwendelezo wa chunguzi mbalimbali ili kuvumbua vitu vipya )

Nilikuuliza who use it hukunijibu?

Haya swali lako. Simple question mwalimu wako alivyokuuliza the last transitioning man was homo habilis ulimjibu YES au NO?

Hahaha. Yes kwa mujibu wa theory.

By that answer who to blame? Darwin? Au theory yake? Curriculum developer na mwalimu wa nchi husika ndiyo wa kulaumu kwa kutokufanya updates. Na huenda wamefanya na hiyo theory ikakubalika kuwa ndiyo framework ya kuelezea chimbuko la binadamu.
 
Kitendo cha yeye kufa kinathibitisha uongo wake,sasa kwanini mwili wake haukufanya evolution awe kiumbe mwingine ili aendelee kuishi.WANASAYANSI MAANDAZI WANASHIDA SANA
 
Sasa mbona hata haujielewi mwenyewe?

Be it the white comes with lie or truth, an African will carry it wholesale. Just see for example, when the white came with the stories in the bible, you unquestionably accepted everything and you left yours
Wewe ni mzungu?

Reasonable Africans know that there is truth in both bible and theory of evolution.
Duh! Yani umewacrash waafrika kwa kuamini Bible yet hapa unawaita tena reasonable kwa kuiamini Bible????

I won't quote you anymore.
 
Delusion ni udanganyifu mkuu.

Nitawaunga mkono na mwenzako kama mtaniambia theory isitumike kama conclusion ya chimbuko la binadamu kwasababu theory fulani inajitosheleza kuizidi. Hasa katika education institutions.

Vinginevyo mchana mwema. Naenda MMU
 
Unajaribu kujitutumua kuongelea mambo yaliyokuzidi hata upeo wako yaani ni kwa hii pumba unayoiandika unaonekana na standard seven graduate lakini unaongelea vitu vizito ambavyo vinakuaibisha.

Ulishawahi kufanya dissertation yoyote kwenye maisha yako ya kielimu hapa duniani?

Hii theory hujui kama ilifata procedures zote za research formation zikawa acknowledged na chuo cha Christ's College UK kwamba ni accurate without letting a single doubt.

Unasema hatuwezi kuiacha wangapi? Unao uhakika kiasi gani kwamba hakuna wenye akili timamu walioundoa huu upuuzi kwenye enrolments za institutions zao huko first world?

Siongelei Africa sababu sisi hatuna chochote katika educational firms zetu zaidi ya somo la kiswahili yote mengine ni western curriculum.

Unasema hii theory haijakamilika kutayarishwa kwa mujibu wa maelezo yako niambie ipo kipengele no ngapi katika hizi procedures na kama imefuate procedures zote za dissertation iweje iwe na mapungufu?

Dissertation Procedures


1. Choose a problem

2. Review the literature

3. Evaluate the literature

4. State the research question or hypothesis

5. Select the research approach

6. Determine how the variables are going to be measured

7. Select a sample

8. Select a data collection method

9. Collect and code the data

10. Analyze and interpret the data

11. Write the report

12. Disseminate the report
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…