Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Ninachelesa kusema kuwa mwandishi wa uzi huu hajui namna watu wenye big minds namna walivyo. Hawa watu wakikaa idle, akili yao ina matatizo makubwa sana ambayo yanaweza kusababisha hata yakapelekea wakaenda jela.
Huyu mtu akiamua kukaa idle, atafanya vile ambavyo ukivisikia utadhani kuwa amesingiziwa, kumbe hapana. Hawa watu akili yao hairuhusu kukaa idle, lazima iwe busy muda wote. Mwacheni awatumikie wananchi, mpeni hongera nyingi badala ya criticisms