Mhhh, sawa mkuuWatu wanaingia kwenye siasa kwa sababu ya kutafuta kinga pia
Ova
Hahahaaaa sawa mkuu.Wewe huna uzalendo wala utu.
Kama ni mwizi basi mpeleke Polisi tu mkuuUtampamba sana lkn ukweli unabaki kuwa ni mwizi wa kura. Hii haitafutika milele na milele
Okay bro....Una Hoja Inayofikirisha sana Mkuu. He Mhusika atapita humu na kuiona??
Well exposed to world (financial) affairsMost exposed?Una maanisha?
Kwani kuajiriwa ni dhambi? Wewe unataka kuleta ubishi wa kujiajiri Vs kuajiriwa ndio lengo lako na kama unataka kufanya hivyo anzisha mada yako.Mbona naye aliajiriwa?maneno kama hayo yanatakiwa yatoke kwa watu kama akina shabiby,msukuma,Abooud ,sylvester koka na wabunge wengine ambao mi wamefanikiwa katika biashara zao wenyewe. Hilo la kusema fundi simu nalo ni nadharia kama nadharia zingine.
Nijihusishe na watu wanaofanya mauaji kwani mimi ni Polisi?Wewe huna uzalendo wala utu.
Ungekuwa na uzalendo ungechukia kila anayeharibi taifa hili na
Ungekuwa na utu ungechukia kila anayefanya mauaji ya Raia wasio na hatia.
Upo nje kabisa ya mada mzee baba. Kajipange upya kisha ndio uje humu kuandika.Mbona naye aliajiriwa?maneno kama hayo yanatakiwa yatoke kwa watu kama akina shabiby,msukuma,Abooud ,sylvester koka na wabunge wengine ambao mi wamefanikiwa katika biashara zao wenyewe.Hilo la kusema fundi simu nalo ni nadharia kama nadharia zingine.
amimi namshauri Raisi angeteua baadhi ya hawa matajiri kwenye wizara zile zinazihusika na uwekezaji,biashara na viwanda .Hata wakiwa wana negotiate mikataba wanakuwa wanaelewa kitu wanasema.siyo kutumia elimu ya darasanu waliosoma miaka 20 iliyopita.Trust me ukiwaweka profesor wa uchumi pamoja na Aboud yule wa Morogoro ,Aboud yuko mbali zaidi ki uelewa wa biashara.
Tukitaka mapinduzi ya kweli tuwaweke watu wenye uzoefu wa kukuza uchumi wa biashara zao katika nafasi za maamuzi.watakuwa na mchango mkubwa nakwambia. Hata kwenye madini naona kama yule waziri Doto ni kama anatosha tosha hivi huenda alishafanyabiashara ya madini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Exposure maybe....Most exposed?Una maanisha?
Ni wivu tuu unakusumbua wewe. Mnyonge mnyongeni but the guy changed CRDB big time, he will be remembered for that. Wewe itakumbukwa na nini? Kijiba cha roho siyo?Mleta uzi amempamba sana Kimei kuwa ni mbobezi wa mambo ya kibenki Tanzania na Afrika Mashariki nzima; cha kushangaza ni kwamba huyo Kimei hajajitambua na ndio maana akakubali kwenda kudhalilishwa wakati wa kuusaka ubunge na kwenda kwa Sangoma!!!! Unajua kiasi gani cha mikopo chefuchefu Kimei aliiacha alipostaafu CRDB? Unajua kuwa hiyo mikopo chefu chefu aliitoa kwa hao wanaoitwa mafisadi wakina Manji? Je hakufaidika na hiyo mikopo chefu chefu kwa wakina Manji?
Huyo Kimei wenu hakuingia ccm kwa bahati mbaya bali aliingia huko kama njia ya kujikinga na uchafu alioufanya akiwa huko CRDB!!! CCM ni kichaka cha wahalifu.
Kimei hana Integrity yeyote nakumbuka Bonus alizokuwa anajizawadia kila baada ya robo mwaka yaan 37,800,0001. Charles Kimei kama Mtanzania yeyote ana haki ya kikatiba ya kujiunga na chama chochote cha siasa, au kutojiunga,ana haki ya kuchagua kiongozi anayemtaka, au kuomba kuchaguliwa.
2. Charles Kimei kwangu mimi hakuwa na integrity yoyote ya maana. Alisema anamuogopa Magufuli sana na atafanya chochote Magufuli atakachosema.
Kauli hii kutoka kwa mtu mume inawekea shaka utu wake na uanaume wake. Kutoka kwa CEO wa Benki, inatilia shaka integrity ya benki hiyo.
Maana ni kama alisema kwamba Magufuli angetaka kuiba hela za CRDB aende kuzitumia kwenye uchaguzi, Kimei angekubali tu.
Hivyo sioni Kimei atapoteza integrity gani, wakati alikuwa hana integrity tangu mwanzo.
Mhhh...Uzoefu wa wengi waliokuwa wafanyakazi wa mashirika na taasisi za umma, hujiunga na siasa na hasa na chama tawala kama kinga ya kutoweza kutakiwa kuwajibika
Yani kama BAMIA, huaribikia ukubwani.Nchi yetu watu wengi huchanganyikiwa uzeeni.