Charles Kimei: One of the most exposed and reputable banking top executives in East & Central Africa. Hakupaswa kujiingiza katika siasa hizi za vyama

Mimi intergrity yake mzee Kimei nimeiona ila kama wewe haujaiona sawa baki na mtazamo wako huo huo mkuu.
 
Mzee ubishi kama kawaida yako
Bila ubishi hakuna maendeleo.

Hata waliovumbua taa za umeme walibishia jamii kukubali kuishi kwa mishumaa.

Chuoni darasani nishawahi kupewa A+ darasa la falsafa, nikaambiwa sihitaji kwenda kufanya mtihani wa mwisho wa semeseter, kwa sababu ya ubishi.

Hakuna elimu bila ubishi.Kitendo cha kutaka kujifunza tu ni ubishi dhidi ya ujinga.

Ubishi si tatizo.

Tatizo labda uniambie wenye ubishi usio na tija.

Katika ubishi huu nimejifunza kwamba huyu Kimei anayesifiwa kuwa role model, alishiriki kwenye kupiga hela za EPA.

Role model kaangaliwa kwenye darubini, kapwaya.

Bila ubishi, nisingejua hilo.
 
Ubishi wako hauna tija
 
Ubishi wako hauna tija
Tija kwako si sawa na kwangu, kwa hiyo ubishi wako kwamba ubishi wangu hauna tija, nao hauna tija.

Kuna watu walikuwa hawamjui Kimei vizuri, kupitia mabishano ya uzi huu wamemjua.

Huyo ni mbunge.

Sasa ukisema wananchi kuelimishana kuhusu wabunge wao ni jambo lisilo na tija, inawezekana kwako wewe mambo yenye tija ni yale ambayo mimi pia nayaona hayana tija.

Kama vile kuja hapa na kuniparata.

Usiniparate.
 
Sasa ndio umeandika nini hapa?
 
Sasa ndio umeandika nini hapa?
Sijaandika tu, nime brainstorm.

Kama una ubongo wa sisimizi, hilo si tatizo langu.

Kama hujaelewa sehemu, uliza ueleweshwe.

Kama unabisha, weka ubishi wako kwa facts and figures.

Kama unataka ku troll, get off my dilsnick.
 
Bulesii, peleka taarifa hizi Takukuru sio hapa, kama unaushahidi na taarifa zako. Kinyume cha hapo kaa kimya.
 
Bulesii, peleka taarifa hizi Takukuru sio hapa, kama unaushahidi na taarifa zako. Kinyume cha hapo kaa kimya.
Nyie mataga mmezoea kunyazishwa na Jiwe , mimi sio mmoja wenu hivyo siwezi kukaa kimya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…