Badala ya kusaidia Ndugu zake pesa nyingi alielekeza kwenye michepuko yake A/C zake Sasa zimefungwa kupisha Uchunguzi michepuko yake inapiga miayo Hatari .huyo Lugumi mwenyewe ana mahekalu mbweni pembeni na jkt na majumba kibao kibao dar ikiwemo tandale,jengo la ATC pale posta 70% kapanga yeye,faniture zake hanunui keko anaagiza nje ni jipu hatari sana huyu jamaa eti usalama wa taifa
Mkuu ni mfumo ambayo ccm wametujengea wengine walipenda tuuondoe mfumo huo lakini wenye mfumo walizidi mbinu najua watanzania wengi hawataki mfumo huo tushirikiane tuondoe ccm na mfumo wakemimi naamini 90% ya watanzania ama uchumi wao ulikuwa unategemea ufisadi au walikuwa wanahaha kutafuta opportunities za ufisadi na hawajapata.
hii ni kutokana na utamaduni tulioujenga wenyewe. kuanzia nyumbani mtume mfanyakazi sokoni ataongeza bei ili apate chake cha mfukoni.
ni mtanzania yupi leo hii utampa fedha akafanye manunuzi akuletee risiti za bei halali? ni mtanzania yupi leo hii ataona nafasi ya ajira aitangaze kwa umma kupata mtanzania mwenye sifa kama si kuita nduguze na marafikize?
ni mtanzania yupi leo hii ataona mtu anafedha anatafuta kitu amuelekeze vizuri kama si kuona kuna nafasi ya kupata? hata wenye nyumba ukifika kwake bila kupitia kwa dalali yeye anatafuta dalali kumuingiza kati.
inastaajabisha kuwa hata walio mstari wa mbele katika kugeuza meli hii kutoka ilikokuwa inaelekea kwenda sehemu sahihi bado wanajaribu kubadilisha wengine huku wao wakifanya yaleyale.
cha msingi ni kutokata tamaa uchumi wa tanzania unaweza kubadilika kutoka kwenye kutegemea ufisadi na kuwa wa kutegemea kuchapa kazi.
watanzania waanze kuwaza jinsi gani wataweza kuwa wabunifu katika kazi ili kupata vipato halali na sio kuwaza kuajiriwa sehemu zenye mirija ya ufisadi.
Thibitisha mtu aliyebeba zile dola milion 75 za Escrow pale stanbic bank kisha uje na hiyo porojo ya kutaka uthibitisho.ukawa ni mabingwa wa kutunga stori si ajabu kushindwa kuthibitisha.
Sawa funza. Utafurukuta sana lakini Kitwanga anawanyima usingizi. Na nimtetee kwa lipi? Hayo ni maneno tu na yatapita.Atakuwa anakunyima wewe Kwa kuwa umekula pesa zake na bado umeshindwa kumtetea unahofu utadaiwa Kwa kazi hewa uliyofanya.
UnatekenywaSawa faiza foxy, una ID zaidi ya 60 humu
Ali Mufuruki anamiliki Infotech. Nakumbuka kwamba Infosys ni kampuni kongwe ya IT na ilikuwa ikimilikiwa na watumishi fulani hivi wa BOT hapo zamani. Sijui kama ndi yo ilivyo hadi sasaSorry, might be wrong, but I thought mmiliki wa Infosys ni Ali Mfuruki au nimechanganya kitu???
Labda South Korea, huko China si nasikia Panama papers zimewavua nguo!!!Jpm kuna tetesi ataenda china,sio mbaya akajifunza jinsi ya kuwashunghulikia mafisadi one and for all! Akitoka china aenda south Korea kuna mengi saana ya kujifunza kutoka huko kwa Raisi wao.
mkuu kitwanga mwenyewe alikuwa BOT huko huko.Ali Mufuruki anamiliki Infotech. Nakumbuka kwamba Infosys ni kampuni kongwe ya IT na ilikuwa ikimilikiwa na watumishi fulani hivi wa BOT hapo zamani. Sijui kama ndi yo ilivyo hadi sasa
sio kwa ccm,,umesahau ya muongo???mbona bado anaedelea na uwaziri mpaka awamu hii.Akibainika ni kweli kahusika aachie hiyo nafasi atakuwa amekosa sifa haijalishi alifanya kabla ya kuwa waziri pale au laa
Mkuu pamoja na mapicha yoooote hayo wewe ndio mbumbumbu!! Huenda uko India na wala si Tanzania.nimeamini watanzania sie ni MBUMBUMBU kweli INfosys ni ya kitwanga?? mnanichekesha kwa hiyo hata
apple ni ya ridhiwani
microsoft ni ya jakaya
klm ni ya pinda
Kitwanga awe anamiliki Infosys angeutaka kijiuwaziri chenu hicho
JF ya watu ambao ni great thinkers iko wapi?? vi thread vya kipuuzi kama hivi vinajadiliwa kweli??
watu ambao ni ma NYUMBU wanajadili bila hata kuthink twice... okaya hata kama hujui kitu jaribuni ku google tatizo letu google tunakazi ya kufungua PORNHUB
infosys ni ya BILIONAIRE NARAYAN MURTHI na makao makuu yake ni Bangalore India na revenue ya $8 BILLIONS per year
una matatizo wewe huyo mo dewji ni tajiri na bado ubunge aliutaka hao kina shabiby na abood matajiri na bado ubunge wanagombea..nimeamini watanzania sie ni MBUMBUMBU kweli INfosys ni ya kitwanga?? mnanichekesha kwa hiyo hata
apple ni ya ridhiwani
microsoft ni ya jakaya
klm ni ya pinda
Kitwanga awe anamiliki Infosys angeutaka kijiuwaziri chenu hicho
JF ya watu ambao ni great thinkers iko wapi?? vi thread vya kipuuzi kama hivi vinajadiliwa kweli??
watu ambao ni ma NYUMBU wanajadili bila hata kuthink twice... okaya hata kama hujui kitu jaribuni ku google tatizo letu google tunakazi ya kufungua PORNHUB
infosys ni ya BILIONAIRE NARAYAN MURTHI na makao makuu yake ni Bangalore India na revenue ya $8 BILLIONS per year
Mkuu linda heshima yako kwa kukubaliana na ukweli kuwa hao wafanyakazi wa BOT ni Charles Kitwanga na Dr Kapilimba ambapo Charles Kitwanga alitoka na kuingia kwenye siasa na kwa vile ishu hii inahusiana pia na vitambulisho vya taifa amemvuta partner wake awe mkurugenzi wa NIDA ili kulinda dili lao na pia kupiga madili mengineAli Mufuruki anamiliki Infotech. Nakumbuka kwamba Infosys ni kampuni kongwe ya IT na ilikuwa ikimilikiwa na watumishi fulani hivi wa BOT hapo zamani. Sijui kama ndi yo ilivyo hadi sasa
Kuwepo jina Ajax huko Amsterdam hakuzuii Ajax kuwapo Capetown, hata kama wamiliki ni wawili tofauti.nimeamini watanzania sie ni MBUMBUMBU kweli INfosys ni ya kitwanga?? mnanichekesha kwa hiyo hata
apple ni ya ridhiwani
microsoft ni ya jakaya
klm ni ya pinda
Kitwanga awe anamiliki Infosys angeutaka kijiuwaziri chenu hicho
JF ya watu ambao ni great thinkers iko wapi?? vi thread vya kipuuzi kama hivi vinajadiliwa kweli??
watu ambao ni ma NYUMBU wanajadili bila hata kuthink twice... okaya hata kama hujui kitu jaribuni ku google tatizo letu google tunakazi ya kufungua PORNHUB
infosys ni ya BILIONAIRE NARAYAN MURTHI na makao makuu yake ni Bangalore India na revenue ya $8 BILLIONS per year
%kubwa ya Magazeti hapa Mjini.....yanaandika habari kwakutegemea nani anaandikwamagazeti.nayo yamedanganya mkuu?
Membe alisema MAGU anatumbua ..asiowateua yeye!Mkuu, kwa Dr. Magufuli lazima watachunguza na ukweli utawekwa wazi.
Soma huu uzi tangu mwanzo Uelewe ....usikurupukeHyo kitwanga mbona wanamuandama hivi.... inaonekana ni threat kwa watu fulani