Charles Kitwanga: Sikutaka kujikomba, nililogwa nikapona kimiujiza, nilikuwa na vita na Serikali

Charles Kitwanga: Sikutaka kujikomba, nililogwa nikapona kimiujiza, nilikuwa na vita na Serikali

Alikuwepo mzee mmoja aleitwa profesa John Machunda RIP.

Tabia ya Charles Kitwanga na yule profesa John Machunda hazitofautiani.

Ulevi na orodha yaendelea..
Sema watakua na madharau sana hawa watu....

What I can see,hao akina Kitwanga wana akili sana of which ni god given you cant buy,and it seems Kitwanga shule alipata A zote na Magufuli alikua akipata D,plus na dharau zake,finally Magufuli nailed him....

What Magufuli had ni hardwork na grit of which Kitwanga dont have....thats why he was the minister for longer and finally president ahead of him.....Kitwanga is a talking down character,and he got whats right for him.

Nadhani cha kujifunza hapa ni kwamba,respect people and know your lane,dont talk down on motherfvckers,they will bury you alive...

As you can see,huyu mzee is well dead,na infact anaonesha anafurahia kabisa kifo cha jamaa,anachoshindwa kuelewa na yeye ni finished.....desperate failure trying to come back with these lame interviews and tozo kindergarten strategies

My analysis says These two had a lifetime beef tangu wakiwa wanasoma ,na instigator I can predict ni Kitwanga 100%....
 
Sema watakua na madharau sana hawa watu....

What I can see,hao akina Kitwanga wana akili sana of which ni god given you cant buy,and it seems Kitwanga shule alipata A zote na Magufuli alikua akipata D,plus na dharau zake,finally Magufuli nailed him...
Well said,

But my observation between the two ni kwamba namwona Kitwanga kama yule mtu ambae aliona ni yeye ndie aliestahiki more favours regardless ya uhusiano wao wa huko nyuma kwa kuwa alikuwa kama ulivyosema kwamba alikuwa amwangalia jamaa down ( kwamba yeye Kitwanga ana uwezo zaidi yake) na kutumia muda mwingi "behind the scenes to undermine him".

Ile kwenda Bungeni akiwa drunk ni moja ya efforts za kumprovoke mzee ili achukue hatua ambayo mwishowe itatengeneza uadui wa kudumu.

Hiyo situation ni wazi kuwa it will create defensive mechanism au measure or altogether from chief na akawa atumia njia hizo na state organs kumzima jamaa.
 
Jamaa kama ambavyo amejitetea ya kwamba ijapokuwa alionekana emelewa lakini hali hiyo ilimtokea baada ya kutumia dawa za hospitali. Lakini wabaya wake walililkuza jambo ikaonekana ni ulevi utokanao na pombe.

Anatujuza zaidi ya kuwa, alijua, anajua na hata wao wanatambua ukweli juu ya jambo hilo.
 
KITWANGA MUNGU NI MWEMA ATAKULINDA. ADUI AMESHAKUFA AMEOZA PALE CHATO!

ALIKUITA MLEVI ILA YEYE ALIKUWA BONGE LA MZINZI HADI KUHONGA NYUMBA ZA SERIKALI + KUMZALISHA SHEMELA!

asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga Kitwanga mawe!
Mlipa kodi mwaminifu kupitia ulaji
 
Magu hakuna na ushikaji kwenye serikali aisee.

Huu ni ushahidi.
Si maamuzi rahisi kufunga vioo kwa washkaji wa karibu kiasi hiki. Hata Kitwanga anaposema hakutaka kujikomba sio kweli... kuna mazingira mtu anaweka kama akili zipo unajiongeza tu!
 
Mwanasiasa ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga amezungumza mambo mengi katika mahojiano maalum na Dar24 na kufunguka mambo mengi ikiwemo sakata lake la kuvuliwa Uwaziri kwa kile kilichoelezwa aliingia Bungeni akiwa amelewa.

KITWAGA: NILILOGWA, NITATENGENEZEWA ZENGWE NIKAPONA KIMIUJIZA
Mwanasiasa Charles Kitwanga amesema huwa anacheka akikumbuka stori ya kuvuliwa nafasi ya Uwaziri wa Mambo ya Ndani mwaka 2016 kwa madai alilewa kwa kuwa siku ya tukio alikuwa anaumwa na alikunywa dawa.

Amesema hayo ni mambo hutokea katika Siasa ambapo pia unaweza kutengenezewa zengwe, skendo, kulongwa au kutafutwa ili umalizwe, ambapo yeye yote yalimkuta.

Kuhusu kurogwa anasema “Nilipata kiharusi, nikalazwa Muhimbili nikaenda kupona India, nadhani nilipona kimiujiza kwa kuwa namuamini Mungu.”

Kuhusu kuvuliwa Uwaziri amesema “Huwa inaniumiza nikikumbuka, kwani nilijua, ninajua na wenyewe wanajua walichofanya.”

KITWANGA: NILIWEKEWA ULINZI NA KUFUATILIWA KILA HATUA
Charles Kitwanga amedai wakati akiwania Ubunge 2020 alikuwa akifuatiliwa na anaoamini ni walinzi, karibu na nyumbani kwake ambapo walimfuatilia kila anakokwenda.

Amesema “Kulikuwa na magari matatu kwa siku 10, ndani ya magari hayo kulikuwa na vijana wa PCCB, Usalama wa Taifa na Askari, ni kama ilikuwa mashindano ya Kitwanga na Serikali.”

Kuhusu ukaribu wake na hayari John Magufuli anasema “Alikuwa rafiki yangu lakini tangu alipokuwa Rais hatukuwahi kukutana wawili zaidi ya kukutana katika shughuli za kikazi, sikuwahi kufika nyumbani wala ofisini kwake, huwa sijikombi na sitafanya hivyo.”

kumbe kuna mengi kwenye siasa,hatari sana.
 
Si maamuzi rahisi kufunga vioo kwa washkaji wa karibu kiasi hiki. Hata Kitwanga anaposema hakutaka kujikomba sio kweli... kuna mazingira mtu anaweka kama akili zipo unajiongeza tu!
Haya ndio matatizo yetu waafrika tunapenda sana kuleta mazoea kwenye kazi.

Kisa mshkaji basi ndio utake kuleta ushkaji kwenye kazi umuharibie mtu??

Hio tabia ni ya kiswahili mno inabidi kuwa discouraged at any cost.
 
Well said,

But my observation between the two ni kwamba namwona Kitwanga kama yule mtu ambae aliona ni yeye ndie aliestahiki more favours regardless ya uhusiano wao wa huko nyuma kwa kuwa alikuwa kama ulivyosema kwamba alikuwa amwangalia jamaa down ( kwamba yeye Kitwanga ana uwezo zaidi yake) na kutumia muda mwingi "behind the scenes to undermine him".

Ile kwenda Bungeni akiwa drunk ni moja ya efforts za kumprovoke mzee ili achukue hatua ambayo mwishowe itatengeneza uadui wa kudumu.

Hiyo situation ni wazi kuwa it will create defensive mechanism au measure or altogether from chief na akawa atumia njia hizo na state organs kumzima jamaa.
Nakubaliana na wewe kwenye hii analysis yako

Kuna kitu huyu jamaa kamfanyia Magufuli vibaya ndio maana jamaa ali-react that much...

Yeye anajiekti kana kwamba ni mtakatifu hakumfanyia jamaa lolote vile

In reality this dude ana tuprendia tu hapa,he knows what bad he said to him!

Afterall all these are CCM monkeys,let them kill each other..who cares!
 
KITWANGA MUNGU NI MWEMA ATAKULINDA. ADUI AMESHAKUFA AMEOZA PALE CHATO!

ALIKUITA MLEVI ILA YEYE ALIKUWA BONGE LA MZINZI HADI KUHONGA NYUMBA ZA SERIKALI + KUMZALISHA SHEMELA!

asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga Kitwanga mawe!
Marehemu hasemwi vibaya
 
Back
Top Bottom