Charles Kitwanga: Sikutaka kujikomba, nililogwa nikapona kimiujiza, nilikuwa na vita na Serikali

Charles Kitwanga: Sikutaka kujikomba, nililogwa nikapona kimiujiza, nilikuwa na vita na Serikali

Nimekuuliza wewe ndio una kipimo cha ego yake?

Matokeo ya wivu ulio nao ndio hayo hayo yalimfanya Jiwe akajihisi inferior na kuwa na harsh reaction kama tuu unavyofanya wewe..

Eti huwezi kuwa na wivu na biological attributes nani kakudanganya?

Hizo hizo biological attributes ndio zina define matokeo na ustawi wa mtu..

Acha ujinga.
Acha upumbavu

Kitwanga ana dharau

Alimdharau Jiwe in a persona level

Jiwe kamuonesha ubabe....he is finished...useless

Mtoto namjua,nilisoma nae..nilimuacha nyuma miaka mitatu....ana dharau and this is a FACT!

Hana chochote cha kumuonea wivu ndugu

His biologicals sina uwezo nazo,mimi ninazo zangu ambazo yeye hana uwezo nazo vile vile......ni kazi ya kuzaliwa ambazo hatuna uwezo nazo

Kila mtu ana ego zake,yeye anazo zake,wewe,mimi na yule tuna ego.....so whats your point here?

Read my lips,Kitwanga hana chochote cha mimi kumuonea wivu...hana hela,hajui siasa,mlevi,nothing for me there....

Na wivu ni feeling,mwenye kua na hiyo feeling ndio anaweza kuprove ana wivu....wewe maiti ambae sio mimi muhusika imejuaje nina hisi wivu maana wewe sio mwili wangu

Umegeuka mganga wa kuagua kujua feelings of other human beings bila wao ku-prove to you what really they are feeling?

Kazi ya uganga waachie waganga

Ni kama mimi niseme una chuki na mimi,how can I really prove that?I cant prove that nonsense..ila unaweza dhania
 
Sizitaki mbichi hizi
Mkuu

Inapofikia mtu akatoa a real observation of someone,unfortunately hiyo observation ikatoa mazuri yake na mabaya yake,then wanatokea wehu kama wewe unataka tusitoe yale mabaya

Unataka kusikia mazuri tu,yale mabaya unaita sizitaki mbichi hizi?

Nimesema ana akili,which is positive..ila ana dharau na nyodo,hutaki tuseme unasema hatuzitaki mbichi hizi...

What the fvck are you smoking mzee?
 
Ili ufanye Kazi na Jiwe unatakiwa kuhamishia akili matakoni ndio maana unaona prof mzima anasema alitolewa jalalani mara mwingine aseme baada ya Mungu anayefuata nai Rais Kwa muktadha ule ni Jiwe nk nk..

Jiwe kiukweli hapana tulipigwa na kuonja radha ya stori za madikteta kama Idd Amini n.k..
Nadhani wewe ndio matako mwemyewe sasa!

Nampongeza jpm kwa kumfukuza uwaziri swahiba wake!

Siyo hizi taktaka zinazolindana sasa hivi
 
Nadhani wewe ndio matako mwemyewe sasa!

Nampongeza jpm kwa kumfukuza uwaziri swahiba wake!

Siyo hizi taktaka zinazolindana sasa hivi
We fala kweli kwani kuna uswahiba kwenye Kazi ? Kazi ni sawa na Biashara hakuna uswahiba ukifanya mzaha..

Kwa hiyo acheni wivu nyie vilaza, uswahiba huwa unakufa kutegemea na scenario ndio maana EL na JK ulikufa pia.
 
Acha upumbavu

Kitwanga ana dharau

Alimdharau Jiwe in a persona level

Jiwe kamuonesha ubabe....he is finished...useless

Mtoto namjua,nilisoma nae..nilimuacha nyuma miaka mitatu....ana dharau and this is a FACT!

Hana chochote cha kumuonea wivu ndugu

His biologicals sina uwezo nazo,mimi ninazo zangu ambazo yeye hana uwezo nazo vile vile......ni kazi ya kuzaliwa ambazo hatuna uwezo nazo

Kila mtu ana ego zake,yeye anazo zake,wewe,mimi na yule tuna ego.....so whats your point here?

Read my lips,Kitwanga hana chochote cha mimi kumuonea wivu...hana hela,hajui siasa,mlevi,nothing for me there....

Na wivu ni feeling,mwenye kua na hiyo feeling ndio anaweza kuprove ana wivu....wewe maiti ambae sio mimi muhusika imejuaje nina hisi wivu maana wewe sio mwili wangu

Umegeuka mganga wa kuagua kujua feelings of other human beings bila wao ku-prove to you what really they are feeling?

Kazi ya uganga waachie waganga

Ni kama mimi niseme una chuki na mimi,how can I really prove that?I cant prove that nonsense..ila unaweza dhania
Fala wewe umeshindwa kujibu swali langu unaropoka tuu hapa..

Ana dharau hiyo ni objective au subjective opinion?

Wewe ndio una kipimo cha dharau za mtu?

Narudia kukwambia ukilaza wenu ndio ulisabababisha mka react aggressively ikizingatiwa Jiwe alikuwa ana ego ya Kujifanya anajua Sana and such blaa blaa..

Vilaza huwa mna shida sana na hapa unajitetea kindezi tuu.
 
We Mayala una tabia ya kujikomba waziwazi
The dividing line between kusifia genuinely na kujikomba is very thin!. Kusifia genuinely ni ku encorage, kupongeza na kutia moyo, lakini siku akikosea, tunakosoa, lakini kujikomba kazi ni moja tuu, kusifu kwa nyimbo za sifa, shangwe na mapambio, ni mwendo wa fagilia tuu ili kupata chochote kitu, hakuna kukosoa chochote!.

Mimi kwenye mazuri napongeza bila kutafuta chochote na kwenye mapungufu nakosoa. Karibu mitaa hii Je, wajua Sio Kila Kumpongeza, ni Kujikomba/Kusaka Teuzi? Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine! Sisaki Teuzi, Sitaki Teuzi, Niko Naye Mbeya, Nitamweza! na hii Kati ya wakosoaji wa Rais Magufuli na Serikali yake, na wasifiaji nani wanamsaidia zaidi? Ijue nafasi ya JamiiForums
P
 
Nyuzi kama hizi zikiendelea na uhasi juu ya Familia ya Watanzania, basi Chato kutakuwa ndio Kaburi kubwa Afrika la wapiganaji.

Mna-jijua, mkome, mlegee
.
 
Dialo alisema jamaa alikuwa mwehu. Kitwanga anasema mwehu alikuwa mchawi na mtu mwenye roho mbaya aisee. Mambo ni bumbum.
 
Nakubaliana na wewe kwenye hii analysis yako

Kuna kitu huyu jamaa kamfanyia Magufuli vibaya ndio maana jamaa ali-react that much...

Yeye anajiekti kana kwamba ni mtakatifu hakumfanyia jamaa lolote vile

In reality this dude ana tuprendia tu hapa,he knows what bad he said to him!

Afterall all these are CCM monkeys,let them kill each other..who cares!
Magufuli alitamani Jimbo lake, hivyo tu. Tamaa ya Jimbo, na nadhan alilioata na akalimpa mpwa wake kipenzi.
 
Mkuu mi namjua huyo mtoto wake....najaribu kuvuta picha kutoka kwa mtoto kwenda kwa baba

Remember mtoto ana 50% ya DNA ya baba,alichonacho mtoto baba anaweza kua nacho mara mbili zaidi

Mtoto alikua na nyodo mzee acha kabisa....na nikicheck huyu jamaa anavyoongea kwenye hii interview,anavyongea kwa mafumbo katika kumdharau Magufuli,directly atakua na nyodo,tena yeye anaweza kua hata worse than mtoto wake.

Another comparison ni akili...huyo binti alikua na akili kama sikosei alikua top student walipokua first year,nadhani UDSM engineering hapakumfaa tena,ghafla next year haonekani,uvumi ukapita alienda mbele South Africa....

Sasa kama mtoto alikua na akili nyingi hivyo,my estimation ni kwamba baba atakua mara mbili ya huyo binti....

Na my estimation ni nearly correct sababu kwenye hii interview jamaa mwenyewe anasema alisoma computing UDSM ambapo ni course ya top students plus kaenda Essex UK,which means huyu jamaa alikua na akili kwenye top 1% percentile!With this interview my theories are just clear and proven!

Sijasema namtwika mtoto vitendo vya baba yake,maana ni watu wawili tofauti...

Najaribu kufanya comparison mzazi na mtoto wake
What if mtoto karithi akili kwa baba na amerithi nyodo kwa mama yake??
 
What if mtoto karithi akili kwa baba na amerithi nyodo kwa mama yake??
As per hii interview,Kitwanga ana dharau....my guess is that alimdharau sana JPM,ndio maana waka fallout!

Pia unachokisema kinawezekana...

Hapa tunafanya tu guess,we really do not know for sure!
 
Magufuli alitamani Jimbo lake, hivyo tu. Tamaa ya Jimbo, na nadhan alilioata na akalimpa mpwa wake kipenzi.
How can you prove this?

Bado tupo kwenye guessing exhibition...una 50% chance za kua right or wrong!

JPM hapendi dharau....
 
By implication Magufuli alikuwa akimfuatilia
https://www.jamiiforums.com/
Sababu za Magufuli kumuwajibisha Kiywanga ziliwekwa.wazi na HNIC hapa JF mwaka 2016.

C & P

Hatimaye Rais Magufuli kumwajibisha waziri Charles Kitwanga​


Breaking Newss!!!

Thanks to JamiiForums.

Tetesi zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa kile kikosi kazi cha kushtukiza cha Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli huenda kikaanza kazi muda wowote kuanzia sasa katika Wizara ya Mambo ya Ndani mara baada ya mkataba mbovu wa LUGUMI kubainika.

Ikumbukwe kuwa Waziri mwenye dhamana ya wizara ya Mambo ya Ndani Waziri Charles Kitwanga ni mmoja wa walionufaika na mkataba huo kupitia kampuni yake ya Infosys. Miezi michache iliyopita Waziri Kitwanga aliwang'oa wote walioshiriki kupitisha mkataba huo mbovu katika operesheni maalum ili isije kubumburuka. Kwa bahati mbaya zaidi hao hao waliong'olewa kiuonevu ndio wametoa hii habari kwenye vyombo vya habari baada ya kuchoka na mabavu yake.

Waziri Kitwanga amekuwa akihusishwa na dosari na kashfa nyingi sana tangia Serikali ya awamu ya tano iingie madarakani. Pia inasemekana huenda report yake iliyotumika kumsafisha na kuchaguliwa kuwa waziri wa Mambo ya Ndani ilitengenezwa na watu walionufaika na nyendo zake mbaya kwa taifa ikiwe huo mkataba wa LUGUMI.

Wiki chache zilizopita,Waziri Kitwanga, alitajwa katika ujumbe uliokuwa ukitembea kwenye mitandao ya kijamii kuwa ni katika genge la watu 6 mashuhuri "UNTOUCHABLES" wanaotaka kuitawala nchi hii kimabavu kwa kutumia nguvu ya pesa (za BOT) na vyeo vyao katika kuwachafua na kuwatoa watendaji wote waliokataa kuwaunga mkono njama zao.

Sambamba na hilo, Waziri Kitwanga, pamoja na ndugu Magori - Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, amehusishwa pia na shutma ya kupanga njama za kumuondoa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF. Ikumbukwe kuwa Kashfa iliyomuondoa madarakani ndugu Donata Mgassa aliyekuwa kiongozi wa kitengo cha manunuzi cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mara tu baada ya Mheshimiwa Rais kuvunja bodi ya Bandari ndio kashfa hiyo hiyo ilitakiwa imwondoe ndugu Crescentius Magori wa NSSF madarakani kwa sababu wote walihusika kwenye kashfa ya bodi ya Bandari na kupeleka kuvunjwa na mheshimiwa Rais.

Inasemekana pia bodi ya NSSF ilitaka kufanya maamuzi kama ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ndipo Waziri Charles Kitwanga akampa maagizo Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi Ndugu Eric Shitindi kuwa avunje bodi ya NSSF haraka kabla haijakaa. Katika utawala bora inategemewa Prof Kayharara afanye maamuzi yaliyofanywa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Mukandala kwani wakati maamuzi hayo yanatoka Profesa Kahyarara alikuwa miongoni mwa walioridhia uamuzi huo kwenye kikao cha manejimenti.

Mbali zaidi, Waziri Kitwanga amehusishwa na kashfa ya kuwa ni mmoja katika wafanyakazi hewa wa BOT. Katika hili na ushahidi ukapatikana ambapo gavana alipelekewa kikosi kazi kumtuliza asitumbue JIPU. Waziri Kitwanga ndio Boss wa vikosi kazi vya Polisi Tanzania.

Haikuishia hapo Waziri Kitwanga amesikika akijisifu yeye ndiye aliyemuweka Rais Magufuli madarakani na yeye ndio mfadhili wake tangia siku ya kwanza Rais wetu mtukufu alipochukua fomu ya kugombea Ubunge. Yeye pekee ndio alidhamini kampeni nzima. Sasa umefika wakati wa kulipwa fadhila zake. Ikumbukwe kuwa kipindi Rais Magufuli alipogombea ubunge kwa mara ya kwanza Waziri Kitwanga alikuwa bado mfanyakazi halali wa BOT, hakuwa HEWA bado.

Taarifa ni kuwa kile kikosi cha kushtukiza cha Mheshimiwa Rais kishampelekea ripoti ya kuhusu ukweli wa Lugumi na wa Israeli waliokuwa wanapewa tenda za jeshi la polisi na baadhi ya vifaa ambavyo vimetoka Israel bado viko kwenye godown la kampuni ya Charles Kitwana iitwayo INFOSYS.
 
Back
Top Bottom