Charles Kitwanga: Sikutaka kujikomba, nililogwa nikapona kimiujiza, nilikuwa na vita na Serikali

Charles Kitwanga: Sikutaka kujikomba, nililogwa nikapona kimiujiza, nilikuwa na vita na Serikali

Katika watu wasiojikomba na wewe umo? Paschal acha unafiki[emoji23].
Mkuu Mac Alpho, kiukweli, mimi nipo sana!. Nilipoamua nagombea EALA,
  1. Namjua sana Samia!, nimefanya nae mahojiano mara 3 akiwa Waziri. Nimekwenda hadi kwao Zanzibar akiwa M/Mwenyekiti Bunge la Katiba, ningemfuata!. Ningemfuata kumloby anipitishe!, I did not.
  2. Namfahamu Kinana in person tangu akiwa Arusha mimi nikisoma Ilboru, ananifahamu fika. Hapa Dar hadi nyumbani kwake nakwenda. Sikumtafuta kumloby!.
  3. Dr. Shein ni mtu wangu sana, tena kuna hata baadhi ya kazi, nilikuwa namtuma na anatekeleza Dkt. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii ningemfuata tuu!. I did not!.
  4. Dr. Husein Mwinyi ni School mate tangu Primary na Sekondari Tambaza namfahamu fika!, ningemtokea tuu, but I did not!.
  5. KM, Chongolo ndio usiseme kabisa!, maana hadi utundu wake tunajuana, sikukwenda kumuona!.
  6. Shaka Hamdu Shaka, ni dogo sana kwangu, ningeweza kumtokea as big brother kumloby, but I didn't
  7. Spika Tulia ni mwalimu wangu ningeweza kumtokea.
  8. Mama Kabaka ni usiseme
  9. Mzee Mndolwa ni Mzee Wangu
  10. Mzee Mpogolo ni Mzee wetu!.
Ukiisha wa lobby wajumbe 10 kati ya 24, si unapitishwa straight?. Mimi sikutaka kumloby mtu yoyote kwasababu nina merrits, najujua naweza na wananijua naweza, hivyo chama kama kinataka watu wazuri, na mimi nimo!, sihitaji kumlobby mtu yoyote!. Ila pia kwa vile wagombea tuko 187, kati yao kuna uwezekano kuna wazuri kunipita mimi, then nakuwa nimekatwa ki haki na kihalali.
P
 
Well said,

But my observation between the two ni kwamba namwona Kitwanga kama yule mtu ambae aliona ni yeye ndie aliestahiki more favours regardless ya uhusiano wao wa huko nyuma kwa kuwa alikuwa kama ulivyosema kwamba alikuwa amwangalia jamaa down ( kwamba yeye Kitwanga ana uwezo zaidi yake) na kutumia muda mwingi "behind the scenes to undermine him".

Ile kwenda Bungeni akiwa drunk ni moja ya efforts za kumprovoke mzee ili achukue hatua ambayo mwishowe itatengeneza uadui wa kudumu.

Hiyo situation ni wazi kuwa it will create defensive mechanism au measure or altogether from chief na akawa atumia njia hizo na state organs kumzima jamaa.
And you totally believe kwamba Kitwanga aliingia Bungeni akiwa amelewa! That was a cooked up scene, kulikuwa na jambo kati yao probably kama ulivyosema tangu zamani and Magu settled a score kumuonyesha kwamba 'I am the President' mambo ya urafiki na kujiona ni bora kuliko mimi it's all over.
 
Kwahiyo hakulewa?
 
Africa bana ( everything has got a cause). Hivi angekaa kimya angeathirika kitu gani. Au katoa sumu [emoji16][emoji16]
 
Huyu alikua na mtoto wa kike mzuri kinoma,ila alikua na nyodo hatari sana.

Alisomaga Coet engineering back in the days,I think pia ni Computer Engineering kama baba yake kwa hizi stori zake hapa...maybe now she is a mother of several piglets

We were ahead of them like 3 years,ila by macho tu she was the hottest than all chicks in her intake,we had the intel and we were looking on her from the far.

In a normal setting,yule demu alikua na nyodo kupita maelezo,by projection,baba would be the same or even worse,ndio maana Magufuli ka-settle scores with him,he will never recover from that assault.

Viewing that chick,by a birds eye view,it seems they are extremely bright kwenye kupata A za madarasani,pia huyu mzee yaelekea ana akili kubwa ya darasani,the problem is nadhani nyodo na dharau,maana mtoto wake huyu I know her,seen her daily at the college for a year I think akaenda SA sababu ya akili nyingi.

Kusoma Essex na sijui BOT and blah blah,na viwanda na blah blah zingine,I see him totally buried,politically and economically....mawaziri mostly ni poor people wakitolewa madarakani.....

For the view of things,yule mtoto wake I doubt alieoa kama he is doing well aisee,that chick is a problem handling up,right up!
Wivu huu
 
Wivu kivipi mzee?

Kitwanga ana nini cha kunifanya niwe na wivu?

Niache kumuonea wivu Mo Dewji kwenye biashara nije kumuonea wivu masikini Kitwanga anaelilia nafasi za kuteuliwa?

Kwenye politics niache kumuonea wivu Mbowe au Tundu Lissu au Makamba kwa highest IQs zao katika medani hiyo nije kumuonea wivu mtu poor kabisa asiejua hata kujieleza kama Kitwanga?

Una matatizo wewe
 
Akili ulizokiri..

Maskini huwa anasema mwenye mali ana kiburi..

Mburula huwa mnasema mwenye akili ana majivuno so ndio wivu wenyewe huu..

Kwani wewe ndio kipimo cha ego ya mtu?
 
Akili ulizokiri..

Maskini huwa anasema mwenye mali ana kiburi..

Mburula huwa mnasema mwenye akili ana majivuno so ndio wivu wenyewe huu..

Kwani wewe ndio kipimo cha ego ya mtu?
Mzee una tatizo

Ana akili ya darasani ndio....hiyo ni biological lottery,ameamka asubuhi anazo

Tuseme kila biological advantage tulizonazo zifanye nione wivu?

Hoja yako hai make any sense!

Yeye ana akili,mimi nina urefu wa futi 6"9....yeye ana hiki mimi nina kile..biologically huwezi onea wivu biological attributes maana we do not have any control over them....

Yeye ana ubongo mkubwa,mimi mrefu...yeye ana m.b.0.0 fupi mimi ninayo ndefu..yeye ana mguu wa kiatu namba 9 mimi nina mguu wa namba 17...yeye mzee wa miaka 62 mimi kijana nusu ya umri wake...etc etc....

Hizo ni biological attributes we cant wivu nazo because we do not have control on them regardless!

Hoja mufilisi sana
 
Mzee una tatizo

Ana akili ya darasani ndio....hiyo ni biological lottery,ameamka asubuhi anazo

Tuseme kila biological advantage tulizonazo zifanye nione wivu?

Hoja yako hai make any sense!

Yeye ana akili,mimi nina urefu wa futi 6"9....yeye ana hiki mimi nina kile..biologically huwezi onea wivu biological attributes maana we do not have any control over them....

Yeye ana ubongo mkubwa,mimi mrefu...yeye ana **** fupi mimi ninayo ndefu..yeye ana mguu wa kiatu namba 9 mimi nina mguu wa namba 17...yeye mzee wa miaka 62 mimi kijana nusu ya umri wake...etc etc....

Hizo ni biological attributes we cant wivu nazo because we do not have control on them regardless!

Hujielewi ndugu
Nimekuuliza wewe ndio una kipimo cha ego yake?

Matokeo ya wivu ulio nao ndio hayo hayo yalimfanya Jiwe akajihisi inferior na kuwa na harsh reaction kama tuu unavyofanya wewe..

Eti huwezi kuwa na wivu na biological attributes nani kakudanganya?

Hizo hizo biological attributes ndio zina define matokeo na ustawi wa mtu..

Acha ujinga.
 
Back
Top Bottom