Huyu alikua na mtoto wa kike mzuri kinoma,ila alikua na nyodo hatari sana....
Sema watakua na madharau sana hawa watu....Alikuwepo mzee mmoja aleitwa profesa John Machunda RIP.
Tabia ya Charles Kitwanga na yule profesa John Machunda hazitofautiani.
Ulevi na orodha yaendelea..
Magu hakuna na ushikaji kwenye serikali aisee.Pia JPM amezidi kuonesha tulipompa madaraka alikwepa influence za marafiki
Subiri yakukuteKuna wasomi wanaamini kulogwa!
Well said,Sema watakua na madharau sana hawa watu....
What I can see,hao akina Kitwanga wana akili sana of which ni god given you cant buy,and it seems Kitwanga shule alipata A zote na Magufuli alikua akipata D,plus na dharau zake,finally Magufuli nailed him...
Kuna watu wanajifanya Kuna vitu vya kiafrika hawa vijui kabisaNenda lindi ndo utaelewa kuna zaidi ya shule, scenario ya Iringa Meko na science yake alikubali kuna mafundi kweri kweri [emoji38] [emoji38]
Mlipa kodi mwaminifu kupitia ulajiKITWANGA MUNGU NI MWEMA ATAKULINDA. ADUI AMESHAKUFA AMEOZA PALE CHATO!
ALIKUITA MLEVI ILA YEYE ALIKUWA BONGE LA MZINZI HADI KUHONGA NYUMBA ZA SERIKALI + KUMZALISHA SHEMELA!
asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga Kitwanga mawe!
Lini uv..cc..m amewahi kuwa timamu?Baada ya Tozo kuwakalia kooni
Waneamua watafute mambo ya kutunga ili kutuhamisha akili zetu.
Hii ni tabia ya makabila mengi ya kanda ya kabisa sio tu wasukuma.This is typical Sukuma man!. Hatujikombi!.
Big up sana kwa Charles Kitwanga.
P
Tuna deal na mzazi, mwacheni mtoto!seen her daily
Umeongea kwa he kimasikini sana, kuleta personal issues kwenye issues ambazo ni unrelated haileti sense yoyote.Tuna deal na mzazi, mwacheni mtoto!
Si maamuzi rahisi kufunga vioo kwa washkaji wa karibu kiasi hiki. Hata Kitwanga anaposema hakutaka kujikomba sio kweli... kuna mazingira mtu anaweka kama akili zipo unajiongeza tu!Magu hakuna na ushikaji kwenye serikali aisee.
Huu ni ushahidi.
kumbe kuna mengi kwenye siasa,hatari sana.Mwanasiasa ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga amezungumza mambo mengi katika mahojiano maalum na Dar24 na kufunguka mambo mengi ikiwemo sakata lake la kuvuliwa Uwaziri kwa kile kilichoelezwa aliingia Bungeni akiwa amelewa.
KITWAGA: NILILOGWA, NITATENGENEZEWA ZENGWE NIKAPONA KIMIUJIZA
Mwanasiasa Charles Kitwanga amesema huwa anacheka akikumbuka stori ya kuvuliwa nafasi ya Uwaziri wa Mambo ya Ndani mwaka 2016 kwa madai alilewa kwa kuwa siku ya tukio alikuwa anaumwa na alikunywa dawa.
Amesema hayo ni mambo hutokea katika Siasa ambapo pia unaweza kutengenezewa zengwe, skendo, kulongwa au kutafutwa ili umalizwe, ambapo yeye yote yalimkuta.
Kuhusu kurogwa anasema “Nilipata kiharusi, nikalazwa Muhimbili nikaenda kupona India, nadhani nilipona kimiujiza kwa kuwa namuamini Mungu.”
Kuhusu kuvuliwa Uwaziri amesema “Huwa inaniumiza nikikumbuka, kwani nilijua, ninajua na wenyewe wanajua walichofanya.”
KITWANGA: NILIWEKEWA ULINZI NA KUFUATILIWA KILA HATUA
Charles Kitwanga amedai wakati akiwania Ubunge 2020 alikuwa akifuatiliwa na anaoamini ni walinzi, karibu na nyumbani kwake ambapo walimfuatilia kila anakokwenda.
Amesema “Kulikuwa na magari matatu kwa siku 10, ndani ya magari hayo kulikuwa na vijana wa PCCB, Usalama wa Taifa na Askari, ni kama ilikuwa mashindano ya Kitwanga na Serikali.”
Kuhusu ukaribu wake na hayari John Magufuli anasema “Alikuwa rafiki yangu lakini tangu alipokuwa Rais hatukuwahi kukutana wawili zaidi ya kukutana katika shughuli za kikazi, sikuwahi kufika nyumbani wala ofisini kwake, huwa sijikombi na sitafanya hivyo.”
Haya ndio matatizo yetu waafrika tunapenda sana kuleta mazoea kwenye kazi.Si maamuzi rahisi kufunga vioo kwa washkaji wa karibu kiasi hiki. Hata Kitwanga anaposema hakutaka kujikomba sio kweli... kuna mazingira mtu anaweka kama akili zipo unajiongeza tu!
Nakubaliana na wewe kwenye hii analysis yakoWell said,
But my observation between the two ni kwamba namwona Kitwanga kama yule mtu ambae aliona ni yeye ndie aliestahiki more favours regardless ya uhusiano wao wa huko nyuma kwa kuwa alikuwa kama ulivyosema kwamba alikuwa amwangalia jamaa down ( kwamba yeye Kitwanga ana uwezo zaidi yake) na kutumia muda mwingi "behind the scenes to undermine him".
Ile kwenda Bungeni akiwa drunk ni moja ya efforts za kumprovoke mzee ili achukue hatua ambayo mwishowe itatengeneza uadui wa kudumu.
Hiyo situation ni wazi kuwa it will create defensive mechanism au measure or altogether from chief na akawa atumia njia hizo na state organs kumzima jamaa.
Marehemu hasemwi vibayaKITWANGA MUNGU NI MWEMA ATAKULINDA. ADUI AMESHAKUFA AMEOZA PALE CHATO!
ALIKUITA MLEVI ILA YEYE ALIKUWA BONGE LA MZINZI HADI KUHONGA NYUMBA ZA SERIKALI + KUMZALISHA SHEMELA!
asiye na dhambi awe wa kwanza kumpiga Kitwanga mawe!