JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
HojaMwanasiasa, Charles Kitwanga amesema haoni umuhimu wa Serikali kufanya Sensa nyingine baada ya miaka 10 kwa kuwa kuna njia nyingine za kupata idadi ya watu tofauti na hiyo iliyotumika.
Amesema kwa kuwa idadi ya watu imeshajulikana, Serikali itengeneze utaratibu wa kidigitali wa kuongeza watu wanaozaliwa ili waingizwe kwenye mifumo ya NIDA.
Anasema “Umeshasikia Ulaya au Marekani wanafanya sensa kila baada ya miaka 10? Wanafanya lakini huwa ni ya kitengo maalum na siyo Sensa ya nchi.
Chanzo: Dar24
Sensa mara nyingi ni idadi ya watu , jinsi , umri , kwenye hii Sensa serikali iliunganisha vitu vingi kwa wakat mmoja , ambayo hayahusiani na Sensa , taarifa zingine zilitakiwa zifanywe na wizara husika,Jmn na huyo aliwahi kuwa Waziri nchi hii?? Sensa haichukui only taarifa za idadi ya watu.
Wizara Gani husika,,Sensa mara nyingi ni idadi ya watu , jinsi , umri , kwenye hii Sensa serikali iliunganisha vitu vingi kwa wakat mmoja , ambayo hayahusiani na Sensa , taarifa zingine zilitakiwa zifanywe na wizara husika,
Kitwanga yupo sahihi kabisa. Katika karne hii ya sayansi na technolojia hii njia ya kufanya sensa manually ni kusumbua tu watu na kupoteza mamilioni ya fedha. Hayo mabilioni yanayotumika kwenye sensa yanaweza kabisa kuziwezesha wizari husika na NBS kuwa na mifumo ya ukusanyaji taarifa muda wote badala ya kusubiri ipite miaka kumi ndio yujue taifa Lina watu wangapi, mifugo mingapi n.k.Mwanasiasa, Charles Kitwanga amesema haoni umuhimu wa Serikali kufanya Sensa nyingine baada ya miaka 10 kwa kuwa kuna njia nyingine za kupata idadi ya watu tofauti na hiyo iliyotumika.
Amesema kwa kuwa idadi ya watu imeshajulikana, Serikali itengeneze utaratibu wa kidigitali wa kuongeza watu wanaozaliwa ili waingizwe kwenye mifumo ya NIDA.
Anasema “Umeshasikia Ulaya au Marekani wanafanya sensa kila baada ya miaka 10? Wanafanya lakini huwa ni ya kitengo maalum na siyo Sensa ya nchi.
Chanzo: Dar24
Hata kama inachukuwa mpaka idadi ya nywele vichwani. Jamaa ana point. Dunia ya sasa ya kiditali, ukiwa na viongozi wa nchi wenye maono, wanaojua umuhimu wa database ya raia, sensa siyo muhimu. Viongozi wenye maono na wachapakazi lakini, siyo mburura kama kina Mwingulu.Jmn na huyo aliwahi kuwa Waziri nchi hii?? Sensa haichukui only taarifa za idadi ya watu.
Sema tena na tena. Wapeleka hawa wajinga shule. Sensa ni jambo lililopitwa na wakati mno. Tukiwekeza kwenye database ya raia hakuna haja ya sensa.Kitwanga yupo sahihi kabisa. Katika karne hii ya sayansi na technolojia hii njia ya kufanya sensa manually ni kusumbua tu watu na kupoteza mamilioni ya fedha. Hayo mabilioni yanayotumika kwenye sensa yanaweza kabisa kuziwezesha wizari husika na NBS kuwa na mifumo ya ukusanyaji taarifa muda wote badala ya kusubiri ipite miaka kumi ndio yujue taifa Lina watu wangapi, mifugo mingapi n.k.
Kimsingi hizi data zinatakiwa kuwepo muda wote zinafahamika. Siyo jambo rahisi kwa nchi zetu hzi za kiagrika lakini linawezekana kabisa kufanyika.
Ana akili kubwa sana wewe huwezi kumuelewa, hizo taarifa si ndio anasema ziwe zinaingizwa NIDA kupitia kwa msajili wa vizazi na vifoJmn na huyo aliwahi kuwa Waziri nchi hii?? Sensa haichukui only taarifa za idadi ya watu.
Bado hujamuelewa mpaka ufikirie vizuriHahahahah, taarifa zinazohitajika Kwa zoezi la sensa ni zaidi ya hizo anazojua. Kumuibia tu Siri taarifa za kidemografia ndiyo wengi wetu tunazijua zinachukuliwa lakini kumbe Kuna taarifa za hali ya uchumi, huduma za jamii na mambo kadhaa ya takwimu za kielimu na hali ya umiliki wa ardhi ambayo lazima serikali iyafahamu ili iweze kupanga mipango ya maendelao. Na kingine suala la sensa siyo takwa la kitaifa pekee Bali ni takwa la kimataifa. Hata hao Marekani na nchi zilizoendelea hufanya sensa tena ndani ya miaka mitano ama chini ya hapo. Madharani Marekani hufanya Sensa Kila baada ya miaka 10. Sensa ni muhimili mhimu wa maendelao na takwimu sahihi za sensa zinaweza kuongeza Pato la taifa Kwa asilimia sita .6%
Una uhakika data zipo na Kama zipo zipo wapi? Unajua maana data na umuhimu wa data. Wewe baget yako ya miaka 10 nyuma ni sawa na leo Kama siyo ulitumia mbinu Gani kuKitwanga yupo sahihi kabisa. Katika karne hii ya sayansi na technolojia hii njia ya kufanya sensa manually ni kusumbua tu watu na kupoteza mamilioni ya fedha. Hayo mabilioni yanayotumika kwenye sensa yanaweza kabisa kuziwezesha wizari husika na NBS kuwa na mifumo ya ukusanyaji taarifa muda wote badala ya kusubiri ipite miaka kumi ndio yujue taifa Lina watu wangapi, mifugo mingapi n.k.
Kimsingi hizi data zinatakiwa kuwepo muda wote zinafahamika. Siyo jambo rahisi kwa nchi zetu hzi za kiagrika lakini linawezekana kabisa kufanyika.
Sina huo muda wa kumfikiria mtu mlevi.Bado hujamuelewa mpaka ufikirie vizuri
Kwani kwenye hiyo sensa inayofanyika data zinatoka wapi?Wewe
Una uhakika data zipo na Kama zipo zipo wapi? Unajua maana data na umuhimu wa data. Wewe baget yako ya miaka 10 nyuma ni sawa na leo Kama siyo ulitumia mbinu Gani ku
Sina huo muda wa kumfikiria mtu mlevi.
Huko ulaya amabako teknolojia imezaliwa still Wanafanya sensa.Kwani kwenye hiyo sensa inayofanyika data zinatoka wapi?
Ndugu siku zote data zipo tunachoongelea hapa ni mifumo ya ukusanyaji wa hizo data iwekwe ili muda wote au mara kwa mara data mpya ziwe zinakusanywa na zilizopo kuwa updated.
Kwa mfano tunayo taasisi ya RITA (vizazi na vifo) je kuna mfumo wa nchi ambao unakusanya hzi taarifa kuanzia vijijini hadi mijini? Au mpaka mwananchi akaombe yeye mwenyewe cheti Cha kuzaliwa akiwa mtu mzima? Je vifo vyote vinavyotokea katika nchi hii kuna mfumo wa uhakika wa kuvirecord?
Mambo ni mengi sana ya kuzingumza ila itoshe tu kusema bado afrika tunasuasua sana kwenye maduala ya takeimu na utafiti. Bila kuwekeza kwenye mifumo na technolojia tutabaji tu manual sensa.
Na hao ndio policy makers. Nchi hii watu wengi wanaofanya maamuzi huko juu in viazi, v8laza wakybwa na kibaya zaidi maamuzi yao siyo shirikishi.Jmn na huyo aliwahi kuwa Waziri nchi hii?? Sensa haichukui only taarifa za idadi ya watu.
Kwa hiyo unadhani huko ulaya wanasibiri sensa ya baada ya miaka 10 ndio wapange maendeleo ya mataifa yao? Hujua maana na faida za kuwa na mifumo (database systems) inayokusanya data mara kwa mara au wakati wote.Huko ulaya amabako teknolojia imezaliwa still Wanafanya sensa.
Ikiwa hamna sensa ulaji utapoteaMwanasiasa, Charles Kitwanga amesema haoni umuhimu wa Serikali kufanya Sensa nyingine baada ya miaka 10 kwa kuwa kuna njia nyingine za kupata idadi ya watu tofauti na hiyo iliyotumika.
Amesema kwa kuwa idadi ya watu imeshajulikana, Serikali itengeneze utaratibu wa kidigitali wa kuongeza watu wanaozaliwa ili waingizwe kwenye mifumo ya NIDA.
Anasema “Umeshasikia Ulaya au Marekani wanafanya sensa kila baada ya miaka 10? Wanafanya lakini huwa ni ya kitengo maalum na siyo Sensa ya nchi.
Naunga mkono hoja.Mwanasiasa, Charles Kitwanga amesema haoni umuhimu wa Serikali kufanya Sensa nyingine baada ya miaka 10 kwa kuwa kuna njia nyingine za kupata idadi ya watu tofauti na hiyo iliyotumika.
Amesema kwa kuwa idadi ya watu imeshajulikana, Serikali itengeneze utaratibu wa kidigitali wa kuongeza watu wanaozaliwa ili waingizwe kwenye mifumo ya NIDA.
Anasema “Umeshasikia Ulaya au Marekani wanafanya sensa kila baada ya miaka 10? Wanafanya lakini huwa ni ya kitengo maalum na siyo Sensa ya nchi.
Chanzo: Dar24