Charles Kitwanga: Sioni umuhimu wa Nchi kufanya Sensa kila baada ya miaka 10

Charles Kitwanga: Sioni umuhimu wa Nchi kufanya Sensa kila baada ya miaka 10

Mwanasiasa, Charles Kitwanga amesema haoni umuhimu wa Serikali kufanya Sensa nyingine baada ya miaka 10 kwa kuwa kuna njia nyingine za kupata idadi ya watu tofauti na hiyo iliyotumika.

Amesema kwa kuwa idadi ya watu imeshajulikana, Serikali itengeneze utaratibu wa kidigitali wa kuongeza watu wanaozaliwa ili waingizwe kwenye mifumo ya NIDA.

Anasema “Umeshasikia Ulaya au Marekani wanafanya sensa kila baada ya miaka 10? Wanafanya lakini huwa ni ya kitengo maalum na siyo Sensa ya nchi.

Chanzo: Dar24
Mfumo pia urekodi wanaofariki na wanaohama na kuhamia.Liwe zoezi endelevu tu.
 
Back
Top Bottom