John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Huyu naye alikuwa waziri? Kuna mawaziri wajinga sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanasiasa, Charles Kitwanga amesema haoni umuhimu wa Serikali kufanya Sensa nyingine baada ya miaka 10 kwa kuwa kuna njia nyingine za kupata idadi ya watu tofauti na hiyo iliyotumika.
Amesema kwa kuwa idadi ya watu imeshajulikana, Serikali itengeneze utaratibu wa kidigitali wa kuongeza watu wanaozaliwa ili waingizwe kwenye mifumo ya NIDA.
Anasema “Umeshasikia Ulaya au Marekani wanafanya sensa kila baada ya miaka 10? Wanafanya lakini huwa ni ya kitengo maalum na siyo Sensa ya nchi.
Chanzo: Dar24
Hata wangetumia wajumbe wa nyumba kumi wangepata data nzuri kwa gharama nafuu maana anawajua wakazi wa kila nyumba kwenye maeneo yao
Kwahiyo unamanisha kidigital haiwezekani kuchukua taarifa nyingine nje ya idadi yawatuJmn na huyo aliwahi kuwa Waziri nchi hii?? Sensa haichukui only taarifa za idadi ya watu.
Hajui kuna Ofisi inaitwa US Census Bureau ya akina Mack Levin huyu Ref Census.govMwanasiasa, Charles Kitwanga amesema haoni umuhimu wa Serikali kufanya Sensa nyingine baada ya miaka 10 kwa kuwa kuna njia nyingine za kupata idadi ya watu tofauti na hiyo iliyotumika.
Amesema kwa kuwa idadi ya watu imeshajulikana, Serikali itengeneze utaratibu wa kidigitali wa kuongeza watu wanaozaliwa ili waingizwe kwenye mifumo ya NIDA.
Anasema “Umeshasikia Ulaya au Marekani wanafanya sensa kila baada ya miaka 10? Wanafanya lakini huwa ni ya kitengo maalum na siyo Sensa ya nchi.
Chanzo: Dar24
Hata kama inachukua na idadi ya mazao, lkn sensa yetu sio sawa, ni upotevu wa pesa huma pasipo na sababu, hata mwenyekiti wa mtaa au mtendaji anaweza kufanya kazi hiyo kwa gharama ndogo sana.Jmn na huyo aliwahi kuwa Waziri nchi hii?? Sensa haichukui only taarifa za idadi ya watu.
Wewe ni mpumba.vu kaa kimya!!!Huko ulaya amabako teknolojia imezaliwa still Wanafanya sensa.
Hii ng'ombe inaongea kitu gani?Mwanasiasa, Charles Kitwanga amesema haoni umuhimu wa Serikali kufanya Sensa nyingine baada ya miaka 10 kwa kuwa kuna njia nyingine za kupata idadi ya watu tofauti na hiyo iliyotumika.
Amesema kwa kuwa idadi ya watu imeshajulikana, Serikali itengeneze utaratibu wa kidigitali wa kuongeza watu wanaozaliwa ili waingizwe kwenye mifumo ya NIDA.
Anasema “Umeshasikia Ulaya au Marekani wanafanya sensa kila baada ya miaka 10? Wanafanya lakini huwa ni ya kitengo maalum na siyo Sensa ya nchi.
Chanzo: Dar24
Ikoje fafanue mkuu kidogoHajui kuna Ofisi inaitwa US Census Bureau ya akina Mack Levin huyu Ref Census.gov
Walikuwa na sensa 2020 Ref 2020 Census
Mpumbavu mwenyewe, kamkalishe kimyaa mumeo fala weweWewe ni mpumba.vu kaa kimya!!!
Acha uvivu soma hiyo link nimetoaIkoje fafanue mkuu kidogo
Mkuu Rudi shule.... Mambo mengi hamjui ndiyo maana maccm yanafanya Kila uhuni na Bado mnashangilia.Kwa hiyo unadhani huko ulaya wanasibiri sensa ya baada ya miaka 10 ndio wapange maendeleo ya mataifa yao? Hujua maana na faida za kuwa na mifumo (database systems) inayokusanya data mara kwa mara au wakati wote.
Hapo naona kumetokea mgongano wa akili ndogo na kubwa,mwenye exposure na asiye na exposure,kwa nyongeza,mtaalam wa IT anayejua umuhimu wa data base system na asiyekua na exposure na hajui chochote kuhusu data base system.Elimu ni muhimu sana.Huyu naye alikuwa waziri? Kuna mawaziri wajinga sana
Je utaratibu ndio kama huu wenu wa kuuliza kama mna smartphone na kupiga tiki milango ?Hii ng'ombe inaongea kitu gani? View attachment 2358991
Hivi mkiwa na utaratibu mzuri wa kurekodi wageni na watoto wanaozaliwa kuna haja ya sensa ya kila baada ya miaka 10 ?Alafu mtautangazia ulimwengu kwamba mna idadi ya watu wangapi, kwa sensa mliofanya lini?! Lazima kuwe na periodic sensus.. kitwanga pombe zimemharibu kichwa