Charles Odero, afungua kesi Katika Mahakama Kuu kupinga tozo za Miamala ya Simu

Wewe umeanzisha harakati zipi za mambo ya msingi ?
 
Hio Avatar jamaa anasura ngumu sana
 
Hahahaah CCM mnatengeneza tatizo then mnataka kupata fursa kwenye hilo tatizo! Wabunge wote 300+ wa CCM walipitisha huu upotolo, then mnataka watu watumie mitandao kukataa tozo! Basi tuvunje bunge tuwe na mijadala tu kwenye mitandao.
Bunge kibogoyo aliwahi kusema Pascal Mayala japo aliitwa na ndungai kwenye kamati ya maadili
 
Kwani huu ujinga umefanywa na nani?.Serikali yako iliyoshindwa ndio iliyotufikisha hapa.unajifanya kumsifia huyo mwanaharakati wakati unajua fika chanzo cha tatizo.
 
Tafuta njia mbadala Mkuu kama kutumia bank n.k. Usikubali hii Serikali haramu ikunyonye nguvu na jasho lako.
 
Huna unalojua.... Hyu Odero ni CHADEMA tokea akiwa bachelors pale SAUT. Kiri basi kuwa CHADEMA ina watu serious maana unayemsifia ni CHADEMA kindaki ndaki tokea CHASO!
 
Hv ile kesi ilofunguliwaga na jamaa mmoja hv (nmesahau jna lake) ilikuwa inahusiana na mitandao ya simu,,,ile kesi iliishia wapi?
Mwanasheria njaa bashiru yakubu?? Hyu aliacha mambo ya msingi akaanza kujaza thread za kumshambulia Lissu tu akapotelea baada ya kukosa teuzi na ubunge!!

Hata The late Anna Mghwira aliandaa sticky thread kuhusu masuala ya mikopo ya Elimu but alipopata RC akautelekeza uzi bila kuufanyia kazi alipopata madaraka.

Tatizo ni watu kutumia shida zetu kutafuta political capital wakishapata titles ndio zinaishia hapo.

Bashiru Ally aliandaa ilani ya CHADEMA inayosema Katiba mpya itaanzishwa mchakato ndani ya siku 100 za kwanza. Ila alipokua katibu mkuu wa CCM akawa anadai upinzani hauna sera mbadala?? Yaani anakana hta ilani aliyoandaa mwenyewe!! Na akadai katiba Mpya haina ulazima!!

TLDR: Usiwaamini wanasiasa wanaosaka teuzi
 
Mtu Yuko ubelgiji anakunywa supu , alaf anakupa maelekezo uliyepo kwenye daladala za gongo la mboto , umebanana na unanuka jasho ...!!! Anyway huyu mwanaharakati nionyesheni accnt yake Twitter nimfollow

Hyu mwanaharakati ni staunch supporter wa huyo unayemkejeli!! Una jingine??
 
Huyo Odero anapinga MAENDELEO?!!!

Hoja ni KUPUNGUZWA KWA hiyo TOZO na si kufutwa kabisa.....

Hatuna wajomba kutoka nje waje kusimamia mambo yetu ya MAENDELEO TUYATAKAYO......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…