Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mnafiki tu wewe.Endelea kuipongeza CCM na serikali yake kwa kutuletea hii kodi na mauzauza mengine.Hata mimi naweza kuwa shahidi wake kwenye hili kesi na haya ndiyo mambo ya msingi kuipigia kelele.
Tumekuwa na taifa la wapumbavu hadi inatia huruma; wewe kila kitu Chadema tu unaona kama Mumgu wako watu hawajui mipaka ya siasa, watu hawajui mipaka ya vyama vya siasa na nchi.Mnafiki tu wewe.Endelea kuipongeza CCM na serikali yake kwa kutuletea hii kodi na mauzauza mengine.
Wangepinga CHADEMA,, usisengesema hayo unayosema.
Huyo Odero mwenyewe ni mwanachadema sasa unasemaje CHADEMA hakifanyi harakati za maana ?Mimi siyo mwanaharakati mimi muuza kahawa na kashata mtaani kwangu. Wewe najua mateka wa Mbowe seme unaogopa maandamano harakati zako unazifanyia JF na Tecno yako.
Yani MaCCM zaidi ya 300 mmepika ugoro wenu huko bungeni alafu leo hii nyie wenyewe tena mnataka wanaharakati wajekusaidia kupinga hayo maamumuzi ya tozo mahakamani.Wanaukumbi.
Mwanaharakati wa Masuala ya Haki za Binadamu, Charles Odero, amefungua kesi Katika Mahakama Kuu, Dar es Salaam dhidi ya Waziri wa Fedha na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupinga tozo za Miamala ya Simu iliyoanza Julai Mosi. Kesi hiyo itaanza Alhamisi,Agosti 12.
Hawa ndiyo wanaharakati wanaotakiwa wapo kwa ajilii ya maslahi ya taifa.
Alaa Salah, shangazi mwenye umri ya miaka 22 aliongoza wananchi Sudan kusimamia Haki;
Alaa Salah, alikuwa mstari wa mbele kupinga utawala wa kidikteta wa Omar Al-Bashir hadi ulipoanguka.
Tanzania tunanogeshana kwa Space huku wamekaa.kwenye sofa majumbani wanakunywa wisk tu karanga.
View attachment 1885631
😂😂😂Yani MaCCM zaidi ya 300 mmepika ugoro wenu huko bungeni alafu leo hii nyie wenyewe tena mnataka wanaharakati wajekusaidia kupinga hayo maamumuzi ya tozo mahakamani.
Hakika kuitetea CCM inabidi uwe na akili ya maiti.
Takbiiir.
Tutakatwa tena makato makubwa (joke)Tumchangie gharama za kesi.
Aliyeleta tozo ni hovyo kabisa
Yeah ni huyo huyo yakoub. BTW wasomi njaa n tatzo sana kwa nchi hiiMwanasheria njaa bashiru yakubu?? Hyu aliacha mambo ya msingi akaanza kujaza thread za kumshambulia Lissu tu akapotelea baada ya kukosa teuzi na ubunge!!
Hata The late Anna Mghwira aliandaa sticky thread kuhusu masuala ya mikopo ya Elimu but alipopata RC akautelekeza uzi bila kuufanyia kazi alipopata madaraka.
Tatizo ni watu kutumia shida zetu kutafuta political capital wakishapata titles ndio zinaishia hapo.
Bashiru Ally aliandaa ilani ya CHADEMA inayosema Katiba mpya itaanzishwa mchakato ndani ya siku 100 za kwanza. Ila alipokua katibu mkuu wa CCM akawa anadai upinzani hauna sera mbadala?? Yaani anakana hta ilani aliyoandaa mwenyewe!! Na akadai katiba Mpya haina ulazima!!
TLDR: Usiwaamini wanasiasa wanaosaka teuzi
Usinipangie wa kumsifia mbona wewe mateka wa Mbowe akili zako kakushikia yaani mnataka kila kitu kianzishwe na Chadema, halafu lini nilikuambia mimi ni CCM yaani mtu akitofautiana fikra na Chadema basi anakuwa CCM usiwe punguani kila kitu anafikiria kwa mizani ya vyama.Kwani huu ujinga umefanywa na nani?.Serikali yako iliyoshindwa ndio iliyotufikisha hapa.unajifanya kumsifia huyo mwanaharakati wakati unajua fika chanzo cha tatizo.
Ritz unasalimiwa na ndugu yako masopakyindiHata mimi naweza kuwa shahidi wake kwenye hili kesi na haya ndiyo mambo ya msingi kuipigia kelele.
Hawa ndiyo Pro-Chadema wanataka katiba mpya.
Akili za maiti nadhani wanazo baba yako na Mama yako mpaka wamekupata wewe.Yani MaCCM zaidi ya 300 mmepika ugoro wenu huko bungeni alafu leo hii nyie wenyewe tena mnataka wanaharakati wajekusaidia kupinga hayo maamumuzi ya tozo mahakamani.
Hakika kuitetea CCM inabidi uwe na akili ya maiti.
Takbiiir.
Kabisa uko sahihiHawa ndio watu tunaowahitaji kwenye kuongoza mapambano...hii safi na huu ndio utetezi kwa wananchi.