Chasambi amuombe msamaha Manara kwa kumuita mzungu

Yeye mwenyewe hajiheshimu nani sasa amuheshimu?
 
Ila Kwa mujibu wake yeye mwenyewe anasema analipwa kuliko mtu yoyote Sasa tumsikilize shabiki mpiga vuvuzela ambaye hata ofisi za yanga hajawahi fika au manara anayeshinda ofisi za yanga kila siku?
Unajuaje.....labda m ni part ya management

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Labda mtoa nada ni zeruzeru
 
Manara ni shabiki sio mchezaji
Yeye atashabia tu
Chasambi Bado kijana yeye acheze mpira, ajibu watu Kwa kazi yake.
Kutumia ulemavu wa mtu kumkejeli sio jambo zuri
Kwa mtazamo wako shabiki ana haki ya kumprovoke mchezaji na maisha yakaenda tu? Kwa wenzatu ulaya hata shabiki anawajibishwa tu kama kawaida. Lengo la Manara lilikuwa ni kumharibia Chasambi ili ionekane kwamba alifanya makusudi kuimiza simba ili kuisaidia Yanga.
 
Sikumsikiliza lkn sikuona ulipoandika kuwa NINAMPA MANARA, bali umeandika kuwa NAMPATIA MZUNGU. ka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…