Kwani kasema analipwa na matajiri au na yanga kama angekuwa analipwa na GSM angesema pale GSM analipwa pesa nyingi?Maybe Yanga Kwa vile m .Wana matajiri wengi wanamlipa in personal
But kwenye payroll hayumo
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Sahihi kabisa.Kimsingi, mleta mada ndiye anayemuita manara kuwa ni mzungu. Yaani kama suala ni kashfa, basi mleta mada ndie anayemkashfu manara. Chasambi anawajibika kwa alichokisema na sio kwa namna alichokisema kinavyotafsiriwa.
Siku nyingine Acha vingine vipite kimyakimya, usichochee. Hapa wewe ndio unasambaza habari kwa ambao hawakuisikia awali iliposemwa na Chasambi (kama ni kweli alisema). Mbaya zaidi wewe umeenda mbele kwa kutoa tafsiri yako kuhusiana na kauli ya Chasambi.
Ila unusu albino ni wa usoni😂🤣Sasa mimi uzungu wangu ni wa moyoni
Mwambie atapotea ...akianza ligiNipo na chasambi tunacheka tu
Yule dg atapotea akianza ligiLabda mtoa nada ni zeruzeru
Sikiliza vzr mkuuSikumsikiliza lkn sikuona ulipoandika kuwa NINAMPA MANARA, bali umeandika kuwa NAMPATIA MZUNGU.
ka
Ila wewe ni CHONGANISHI ANDAMIZI. Muhysika, waalaa hajajali!
Huoni ubaya?
Basi chasambi kakosea, alitakiwa amuite albino au zeruzeru
Mshamba weweIla unusu albino ni wa usoni😂🤣
Una ufala mwingiMshamba wewe
Kwani sio mzungu?KITENDO SI CHA KIUNGWANA
Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na linapaswa kukemewa vile vile.
Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living legend kwenye upande wa Habari Simba, anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba.
Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu
@sanitizerrtz
Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Umejuaje kama alimaanisha mtu mwenye ulemavu wa ngozi?Alimaanisha Albino
Nadhani washauri wa Chasambi wamwambie acheze mpira, aachane na 🎤 🎙️
Anapoteaje kwa mfano?kuna mchezaji anajua kupiga vijembe kama Zlatan Ibrahimovic? je amepotea?Mlimsema Mayele aache mdomo atapotea,vipi naye amepotea?Chasaboy anatakiwa kuachana na media na uchochezi wao. Atapotea kabla ya muda
Manara ni makubwa gani ameifanyia Simba , yeye alikuwa mwajiriwa aliyekuwa analipwa mishahara.KITENDO SI CHA KIUNGWANA
Jana nilisikia Chasambi baada ya Kufunga goli alihojiwa na kusema "Goli hili anampa MZUNGU" akiwa na maana ya kumkashifu Haji Manara jambo si la kiungwana lile na linapaswa kukemewa vile vile.
Haji Manara amefanya makubwa mno Simba SC ameifa ya Club kujulikana ndani na nje ya Tanzania ni Living legend kwenye upande wa Habari Simba, anapaswa kuheshimiwa kama wanavyoheshimiwa viongozi wngine waliowahi kupita Simba.
Ahsanteni - Mtakanyagana kwenye Comment taratibu
@sanitizerrtz
Makolo ebu mwambien huyu dogo chasambi (Mzee wa kujisweka [emoji23]) ajue mchango wa legend manara hapo ukoloni.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Unejuaje alimaanisha hivyo?Alimaanisha Albino
Nadhani washauri wa Chasambi wamwambie acheze mpira, aachane na 🎤 🎙️
Na ilikuwaje akamwita manara mzungu?hata akimuomba msamaha haina maana kwa kuwa tayari ameshamwita hivyo!
na je ni wapi alimaanisha mzungu aliyemtaja ni Manara?