Kwamba sijui hiyo chatgpt venye inawork au sijui nini cha kuihusu?... Trump ni nani sasa? Hajui chochote kuhusu technology so lazima ashangae hayo mambo.
Again hayo ni maarifa basic sana na hayawezi kutufanya twende huko unakosema wewe.
Nenda kasome tena biblia yako na mara hii kaisome kwa jicho la kuelewa huku ukiwa umeondoa neno kufuru akili mwako, utagundua matukio yote makuu kama vile gharika chanzo chake ni uwingi wa maarifa ya ajabu ambayo yalikua yanamchallenge Mungu akona ili awe salama basi akiondoe kile kizazi.
Tukio la pili ni lile la sodoma na gomola nalo pia chanzo chake ni wingi wa maarifa ambayo yalikua yanamchallenge moja kwa moja na ili ajiweke salama akaona Bora akiondoe kile kizazi.
Tukio lingine ni pale kwenye mnara wa babel, hili halikua tukio kubwa sana kwa maana lilitokea si kwasababu ya akili ya mtu mmoja mmoja ila ni kutokana na mjumuiko wa akili za watu wengi ila kimtu mmoja mmoja hawakuwa na maarifa ya kuogofya.
Kwahiyo hiyo AI unayoisemea Haina madhara yoyote kwenye mamlaka kwasababu haichallenge chochote kile, zaidi ya kwenda kuuliza maswali au kusaidiwa kufanyiwa kazi ambayo wewe ulikua unapata tabu kuifanya na kadhalika.
Inshort ni kwamba Mungu anataka wewe uendelee kubaki binadamu na yeye aendelee kubaki kuwa Mungu, once ukijaribu kufanya mambo ya kimungu ambayo yanatishia usalama wake lazima ukione cha moto😅😅😅.