Chating za wadada vs chating za wakaka

Aisee sio wote ukiona sms ninazochati na rafiki zangu kama ulikuwa na mpango wa kuoa unaweza ukaghairi maana sio kwa mitusi ile,kwanza ile unapokea simu tu unakutana na bonge la tusi!!!. Siku nikitengana nao itaniuma sana
 
Hahahahaha you run my day....

Ukweli mtupu,nimekumbuka kuna muhuni wangu dah ebana ee bonge la mwana hatari hatari
 
Ukweli 100%
Msela1: we msenge uko wap njoo hapa tupige maji najua leo umelala tu huna sera

Msela2: Dah we fala kwel, nakuja hapo dk 0 ila sina hela bodaboda

Msela1: hata ukija kwa ndege nakulipia tu we boya

Msela2: poa kichaa wng dk 0 nasomeka hapo
 
Mkuu usa river vip?
 
Natamani ningepost chats za mwamba wangu mmoja sema ngoja nikaushe. Na hii ni kweli asimilia kubwa. Kuna siku mgegefo wangu ulipugiwa simu na rafiki yake wakaongea vizuri kama kwenye hiyo convo hapo. Cha kushangaza simu ilipokatwa akaanza ooh huyu mnafiki walishakosanaga kwa umbeya wake huyo. Daah nikabaki kucheka tu.

Lakini mwisho wote ni wanafiki.
 
Hahahaa kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…