Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ExactlyTotaly true....
Wanawake kupendana ni sawa na kuitafuta demokrasia Africa.
It is possible, it begins with youSijui tufanyeje ili tuache hii tabia ya kunafkiana.
Mkuu usa river vip?Ukweli 100%
Msela1: we ****** uko wap njoo hapa tupige maji najua leo umelala tu huna sera
Msela2: Dah we fala kwel, nakuja hapo dk 0 ila sina hela bodaboda
Msela1: hata ukija kwa ndege nakulipia tu we boya
Msela2: poa kichaa wng dk 0 nasomeka hapo
Poa asee nambieMkuu usa river vip?
Poa kabisa.Daa hii ID yako ya Usa River umenikumbusha mbaali an mkuu.Poa asee nambie
Hapana mkuumzee baba we sio wa morogoro kweli? [emoji119]
Hahahaa kweli kabisaWASICHANA WAKICHAT
MDADA1; Mambo kipenzi, nimekumiss dear
MDADA2; poa lov, nimekumiss pia
Niliiona pc ulopost fb its so cute
MDADA1; Asante dear namii nimeona umempost upo na shem, u look so cute 2gther, weekend hii upo home nikutembelee
MDADA2; Whaoo asante my love. Weekend nipo njoo ntakuandalia pancakes km kawaida yangu
MDADA1; thats my girl, nikiwa nakuja ntakucall my
MDADA2; Waiting for u. Bye love
BAADA YA CHATTING
MDADA1; huyu mwehu anajichetua sikuizi, tangu nimsifie anajua kupika pancakes basi ndo anaringishiaaa (msonyoooo)
MDADA2; hee huyu shogaangu mroho balaa kwanza anamdomo simpend kama nini. Naomba hata asije
CHATING ZA WAKAKA
KAKA1; We choko upoo, umepotea sana hewani ulivyo fala najua ushahonga simu
KAKA2; Achana na mimi we bwege, nani ahonge simu we fala nini
KAKA1; Naona hupatikani hewani nikajua huyu mjinga kashaingizwa mjini,
Sasa weekend wapi
KAKA2; Simu ilizingua af maza alikuwa anaumwa mzeya
KAKA1; Basi mimi nipo hapa samakisamaki njoo na tumbo lako tu nina kreti 2 full
KAKA2; Poa mzee ngoja nijiandae hapa najua we bwege mkeka ushatick
BAADA YA CHATING
MKAKA1; This guy is so cool, yani tukipiga stori naonaga nipo na bonge la genious
MKAKA2; Yani huyu rafiki angu ndo best friend ninayemtegemea ana roho nzuri sana.
Moral of the story;
Wadada wengi ni wanafiki wanachat kama marafiki kweli kumbe moyoni wanachukiana.
Wakaka wengi wanachat kama hawapendani lakini mioyoni ndo wanapendana na kusapotiana
Sijui tufanyeje ili tuache hii tabia ya kunafkiana.