johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Amina!Safi sana hili limekaa vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina!Safi sana hili limekaa vizuri.
Yatataifishwa na serikali ya CCM?Kila kitu kwake jamani. hakika vitabomolewa ili usijenge precedence ya rais kupendelea kwake. Vitabomolewa kama majengo yote ya ccm iliyorithi toka chama kimoja enzi za Nyerere yatataifishwa kuwa majengo ya serikali
Something fishy stinks here, probably.Matayarisho ya mkoa mpya
Kila kitu kwake jamani. hakika vitabomolewa ili usijenge precedence ya rais kupendelea kwake. Vitabomolewa kama majengo yote ya ccm iliyorithi toka chama kimoja enzi za Nyerere yatataifishwa kuwa majengo ya serikali
Swali zuri sana!Mnajenga nchi au mnajenga upande mmoja wa nchi,
Nyie ni wajenzi gani.?
Tumieni chadema TV hahahaha na ile helicopter anaimalizia lini pesa muitumie 2020 campaign maana tangu 2007 bado mnalipia tu
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona TV stations ziko nyingi, aka huku wanaonesha bureYaani CCM bwana, kaamua kufanya hivyo ili mkutano wa CHADEMA usionyeshwe. Akili za ajabu hizi johnthebaptist
Sent using Jamii Forums mobile app