Chato: Katekista wa kanisa Katoliki akamatwa kwa tuhuma za kubaka mtoto wa miaka 8

Chato: Katekista wa kanisa Katoliki akamatwa kwa tuhuma za kubaka mtoto wa miaka 8

Tulia dada mbona hivyo?
Shemeji hajaacha kodi ya meza?
Issue ya ubakaji/ulawiti ni issue ya mtu binafsi sio kanisa na waamini wake wote?
Hebu nikuulize hapo ulipo hakuna mkatoliki kama yupo mbona wewe hujalawitiwa?
Ubakaji ni issue ya mtu binafsi sio dini,kabila wala rangi wala taifa wala jamii.
Bora umuambie ukweli asichukulie mambo juujuu hii ni issue ya mtu binafsi haijalishi ni dini gani.
 
Siyo kudemka, labda cijui tofaut ya padri na katekista.
 
Acha kuhusisha swala la dini kwenye ubakaji , hamna dini au dhehebu linafundisha hvyo.
Inategemea dini husika ina definition gani ya ubakaji

Muhammad alimuingilia Aisha mtoto wa miaka 9 je kwa waislamu unaweza kwenda kuwaambia huo ni ubakaji?
 
Si angekuja kwangu jamani ningempea ushirikiano 💯
 
Huko Chato mkoa wa Geita katekista wa kanisa katoliki amekamatwa akibaka mtoto wa 8.

=====

Jeshi la polisi mkoani Geita, linamshikilia Athanas Rugambwa (62) mkazi wa Muganza wilayani Chato mkoani Geita kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka nane mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Katema.

Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo Alhamis Septemba 15, 2022 Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Henry Mwaibambe amesema mtuhumiwa ni katekista na alikua akimfundisha mtoto huyo masomo ya dini.

Mwaibambe amesema mtuhumiwa huyo alimvizia mtoto akiwa kwenye mafundisho ya dini kanisani na kumuita ofisini kwake kisha kumbaka.

Mwananchi
...Miaka 62 Kwa Miaka 8 !! Hivi inasimama je na Inaingiaje? 'Kijaluba' Cha Miaka 8 SI Kidogo Sana, Ndugu Zanguni??
 
Vitendo hivi vimeshamiri karibu Dunia nzima!
Sijui watoto wetu watakulia wapi?
 
Back
Top Bottom