Chato: Katekista wa kanisa Katoliki akamatwa kwa tuhuma za kubaka mtoto wa miaka 8

Chato: Katekista wa kanisa Katoliki akamatwa kwa tuhuma za kubaka mtoto wa miaka 8

Mama Kanisa ndio anatufundisha na kutuongoza na siyo Papa

Ingawa najua hizo ni propaganda
Makubwa... Kwahiyo nyie mnafunzwa na Mama Kanisa.

Sio Maandiko matakatifu .

Msiwe vipofu kiasi kwamba hamuwez kuukabili ukweli

Hivi unajua Rumi, ilikua wakirsto mamilion Kwa mamilion wakati wa Dark Ages??.
 
Hivi unajua maana ya Mama Kanisa
 
Wewe Jibu, mama Kanisa ni nini Kwa mujibu wako Mkatoliki.

Jibu ,acha Maneno Maneno, Jibu, twendee mbeleeee
Kama wasabato hawana akili hivi siwezi jibizana nao, yani hamjui kitu lakini mnabisha. Sasa unabisha vipi ikiwa kitu hukijui, kwanini usiulize ?

Meonesha utahira wa hali ya juu
 
Kuna kiroboto mmoja aliwahi kukudanganya kuwa makatekista hawaoi? Ukatolikini wasiooa ni wenye daraja la upadre ambao baadae hupanda vyeo na kuwa maaskofu, makadinali na Papa....

Au unataka nikufundishe katekista ni nani?
Mimi siongelei hao angalia nime mquote nani usidandie tu komenti bila kufikiria wazee wengine bhana
 
Nadhani mama angu umeshindwa kunielewa nime reply komenti ya huyo anayetoa statistics za watoto wanaolawitiwa na maa skofu , cardinal
Kuoa sio sababu

Case zao ni ngapi compare na wale walioa na wanafanya haya.

Wapo wengi wameoa, tena wengine zaidi ya mmoja lakini wanafanya haya
 
Kama wasabato hawana akili hivi siwezi jibizana nao, yani hamjui kitu lakini mnabisha. Sasa unabisha vipi ikiwa kitu hukijui, kwanini usiulize ?

Meonesha utahira wa hali ya juu

Kwa Vichwa panzi kama wewe, CCM kama hii ya Sasa itaendelea kuongoza tu.

Nmekuambia, eleza maana ya Kanisa mama .

Alafu Tuendelee , mbona Mimi najibu Maswali yenu najibu
 
Hizi nyingine ni imani za kishirikina.

Sidhani kama mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya ujinga kama huu.
 
Back
Top Bottom