Katumbasongwe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,017
- 1,138
Si mpaka usikie,huko Musoma wanazini mnaishia kuwatenga makanisani,au kwasababu hayaendi hewani?Lini umesikia Kiongozi wa KISABATO Kabaka?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mpaka usikie,huko Musoma wanazini mnaishia kuwatenga makanisani,au kwasababu hayaendi hewani?Lini umesikia Kiongozi wa KISABATO Kabaka?.
"Pope Francis indicates support for same-sex civil unions - BBC News" Pope indicates support for same-sex civil unions - BBC NewsKanisa Wala halijamtuma.
Usitazame dhambi za watu ndani ya Kanisa bali imani ya kanisa
"Pope Francis indicates support for same-sex civil unions - BBC News" Pope indicates support for same-sex civil unions - BBC NewsSi mpaka usikie,huko Musoma wanazini mnaishia kuwatenga makanisani,au kwasababu hayaendi hewani?
Si mpaka usikie,huko Musoma wanazini mnaishia kuwatenga makanisani,au kwasababu hayaendi hewani?
Ona ulivyo kilaza"Support your children if they are gay, pope tells parents | Reuters" Support your children if they are gay, pope tells parents
Kilaza mkubwaa .🤣🤣Ona ulivyo kilaza
Kwahiyo hii link ndio Papa kasema Maketikista wabake ?
Makubwa... Kwahiyo nyie mnafunzwa na Mama Kanisa.Mama Kanisa ndio anatufundisha na kutuongoza na siyo Papa
Ingawa najua hizo ni propaganda
Hivi unajua maana ya Mama KanisaMakubwa... Kwahiyo nyie mnafunzwa na Mama Kanisa.
Sio Maandiko matakatifu .
Msiwe vipofu kiasi kwamba hamuwez kuukabili ukweli
Hivi unajua Rumi, ilikua wakirsto mamilion Kwa mamilion wakati wa Dark Ages??.
Hivi unajua maana ya Mama Kanisa
Sasa ulikuwa unajibu kitu ambacho hukijuiNdo uniambie hapa Sasa, mama Kanisa nini maana yake?.
Kwahyo unasema sio akili yake amerogwa ?Kateksta siyo mtawa,anachaguliwa miongoni mwa waumin wa kanisa,is just a normal member,hii siyo ROHO ya kawaida,lazima kuna Ushirikina ndani yake [emoji24]
Wewe Jibu, mama Kanisa ni nini Kwa mujibu wako Mkatoliki.Sasa ulikuwa unajibu kitu ambacho hukijui
🤣🤣🤣🤣 Atakua karogwaKwahyo unasema sio akili yake amerogwa ?
Kama wasabato hawana akili hivi siwezi jibizana nao, yani hamjui kitu lakini mnabisha. Sasa unabisha vipi ikiwa kitu hukijui, kwanini usiulize ?Wewe Jibu, mama Kanisa ni nini Kwa mujibu wako Mkatoliki.
Jibu ,acha Maneno Maneno, Jibu, twendee mbeleeee
Mimi siongelei hao angalia nime mquote nani usidandie tu komenti bila kufikiria wazee wengine bhanaKuna kiroboto mmoja aliwahi kukudanganya kuwa makatekista hawaoi? Ukatolikini wasiooa ni wenye daraja la upadre ambao baadae hupanda vyeo na kuwa maaskofu, makadinali na Papa....
Au unataka nikufundishe katekista ni nani?
Kuoa sio sababuNadhani mama angu umeshindwa kunielewa nime reply komenti ya huyo anayetoa statistics za watoto wanaolawitiwa na maa skofu , cardinal
Uliquote vibaya inaoneka ume reply kwa mtoa mada wa uzi huuMimi siongelei hao angalia nime mquote nani usidandie tu komenti bila kufikiria wazee wengine bhana
Kama wasabato hawana akili hivi siwezi jibizana nao, yani hamjui kitu lakini mnabisha. Sasa unabisha vipi ikiwa kitu hukijui, kwanini usiulize ?
Meonesha utahira wa hali ya juu