Kabla Helena hajazaliwa, wengine wote kabla yake lazima wataenda motoni maana hawakuitukuza sabato?
Jambo ambalo hulifaham , Si tu kabla ya Hellen kuzaliwa, au baada ya Hellen kuzaliwa .
Hellen G White, hakuanzisha Suala la utanzaji wa Sabato.
Hellen G White, aliuanzisha IMANI YA KISABATO..Sasa Hapa Kuna mambo mengi sanaaa Ndani yake.
Sabato ilikuwapo Hata kabla ya kuumbwa Kwa Dunia, na itakuwepo siku zote Kwa sababu ni SIKU YA MUNGU MWENYEWE aliyoileta Duniani kwaajili ya wanadamu kwa mambo mawili
1) Wamkumbuke Mungu kama Muumbaji wa Mbingu na Ardhi na vyooooooote viijazavyo Dunia,siku hiii waitumie zaidi kuwasiliana na Mungu ,Uponyaji, Furaha n.k
2/Wanadam wapumzishe miili Yao na akili zao baada ya mchakachaka wa siku 6 za kazi na mahangaiko ya Dunia..
YESU alipokuja Duniani, aliikuta Sabato, na wayahudi waliiheshim Sabato , ndio Sababu alipoponyesha watu siku ya Sabato, wayahudi walimsema kafanya "Kufuru Kwa Mungu aliye juu".
Kwa hiyo Sabato ipo Toka enziii na enzi .
Kwahiyo, kabla au baada ya Hellen G , hakubadili Hatima ya mwisho wa mwanadam ambaye HAENDANI NA KINYUME NA MATAKWA YA MUNGU MWENYEWE., Na Moja ya takwa ya Mungu Kwa wanadam, ni kuzishika Amri zake 10.. na kwenye hizo Amri 10 ,Kuna Amri Sasa
Usiwe na miungu mingine, Usijifanyie sanamu, Usilitaje Bure jina langu, Ikumbuke siku ya Sabato, waheshim baba na Mama yako , usiue,usizini,usiibe, usishuhudie jirani yako uongo , usitaman nyumba ya jiran yako, Mke ,n.k...
Yaan Kwa ufupi nikwamba, Hizo ndo Amri za Mungu, Ni Vichwa vigumu tu vya wanadam.