jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Tamaa za ngono hizi...changamoto.
#MaendeleoHayanaChama
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kwa faida yako; Katekista ni mwalimu wa dini/wasaidizi wa Mapadre kwenye liturjia ndani ya Kanisa Katoliki. Anaweza kuwa wa jinsia yoyote ile (ke au me). Na anaruhusiwa kuoa/kuolewa.Hawa watu wangeruhusiwa waoe tu
Maana huko parokiani wanapeleka moto kwa kujificha
Huna hoja ya msingi. Na ulichoandika hapa ni upotoshaji na muendelezo tu wa zile chuki zenu za kitoto dhidi ya Kanisa Katoliki.Hawa warumi , ni wabakaji sana, kuanzia Maaskofu mpaka kushuka huku chini ni wabakaji tu
Kila kukicha ni kesi kesi kesi.
HUWEZI KUTA, KUONGOZI WA KISABATO, ANA KESI KAMA HIII !!.
Bora hata usingenikot , unanikot ,alafu unaandika tope.Huna hoja ya msingi. Na ulichoandika hapa ni upotoshaji na muendelezo tu wa zile chuki zenu za kitoto dhidi ya Kanisa Katoliki.
Ni lini Kiongozi wenu alipinga USHOGA WAZIWAZI???. uliniambia ni lini.Huna hoja ya msingi. Na ulichoandika hapa ni upotoshaji na muendelezo tu wa zile chuki zenu za kitoto dhidi ya Kanisa Katoliki.
Wafuasi wa Ellen White mna shida kubwa sana na Kanisa Katoliki.Ni lini Kiongozi wenu alipinga USHOGA WAZIWAZI???. uliniambia ni lini.
Mimi nitakuletea hapa Mahojioni yake Kwa nyakati tofauti akiunga mkono USHOGA.
Kubishana na Msabato ni kupoteza tu muda kwa upande wangu. Maana mnajiona nyinyi ni watakatifu! kumbe ni bure tu.Bora hata usingenikot , unanikot ,alafu unaandika tope.
Kwan ni Mara ya kwanza Kwa Kanisa hili la Rumi kua na visa kama hivi hapa Tanzania ??.
Toka nje ya Tanzaniaa, nenda huko Dunian kuanzia Ufaransa, Ujeruman, Uingereza Uhisppania, Ureno mpaka Amerika yenyewe .
Ni visa vya KANISA ama kulawiti watoto, au kulana wenyewe Kwa wenyewe yaaan Wanaume kula wanaume wenzao, na Wanaume kula Wanawake, Usagaji Wanawake Kwa wanawake .
Mambo yapo wazi, yapo viganjani, Dunia nzima inayafahamu
Sasa Cha kukufanya uje na makasiriko nini??
Kwamba wewe ndo Mara yako ya kwanza kuyasikia ??
Eboooooo you are not supposed to be so blind with your religion that you can't face the reality.
WRONG IS WRONG !!
Kanisa la Roman, Lina tuhuma nyingi mnooo za UFIRAUNI.
Swala la kanisa au msikitini kuhusika sio dini husika ni watu ...kwa sababu binadamu tunatamaa ndo tulivyoumbwaBora hata usingenikot , unanikot ,alafu unaandika tope.
Kwan ni Mara ya kwanza Kwa Kanisa hili la Rumi kua na visa kama hivi hapa Tanzania ??.
Toka nje ya Tanzaniaa, nenda huko Dunian kuanzia Ufaransa, Ujeruman, Uingereza Uhisppania, Ureno mpaka Amerika yenyewe .
Ni visa vya KANISA ama kulawiti watoto, au kulana wenyewe Kwa wenyewe yaaan Wanaume kula wanaume wenzao, na Wanaume kula Wanawake, Usagaji Wanawake Kwa wanawake .
Mambo yapo wazi, yapo viganjani, Dunia nzima inayafahamu
Sasa Cha kukufanya uje na makasiriko nini??
Kwamba wewe ndo Mara yako ya kwanza kuyasikia ??
Eboooooo you are not supposed to be so blind with your religion that you can't face the reality.
WRONG IS WRONG !!
Kanisa la Roman, Lina tuhuma nyingi mnooo za UFIRAUNI.
Mfuasi wa Ellen White huyo! Kamwe hawezi kukuelewa. Zaidi utaishia tu kutukanwa. Maana ndivyo wanavyo fundishwa.Swala la kanisa au msikitini kuhusika sio dini husika ni watu ...kwa sababu binadamu tunatamaa ndo tulivyoumbwa
Sehemu za ibada ni ile kuamini imani fulani ila sio watu wake maana watu ni tamaa ukifuatilia matendo ya watu utakuja kuona hamna dini inayofanyaa ila tambua hao wanafanya huo ushenzi hakuna dini imeamrisha ila ni ujinga wao tu....kiufupi hao sio watu wa dini wanajifanya watu wa dini na Dini zipo hazina tatizo ni mamluki wachache ndo wanatamaa za kidunia..
Mkuu ifike Mahali muwe mnakaa na Makao makuu ya Vichwa vyenu, mnadigest vitu wenyewe, mnafatilia wenyewe na hatimaye mnakuja na Hitimisho Lilo HuruWafuasi wa Ellen White mna shida kubwa sana na Kanisa Katoliki.
Na taarifa hii ya kusikitisha imfikeHuko Chato mkoa wa Geita katekista wa kanisa katoliki amekamatwa akibaka mtoto wa 8.
=====
Jeshi la polisi mkoani Geita, linamshikilia Athanas Rugambwa (62) mkazi wa Muganza wilayani Chato mkoani Geita kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka nane mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Katema.
Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo Alhamis Septemba 15, 2022 Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Henry Mwaibambe amesema mtuhumiwa ni katekista na alikua akimfundisha mtoto huyo masomo ya dini.
Mwaibambe amesema mtuhumiwa huyo alimvizia mtoto akiwa kwenye mafundisho ya dini kanisani na kumuita ofisini kwake kisha kumbaka.
Mwananchi
Kuna kiroboto mmoja aliwahi kukudanganya kuwa makatekista hawaoi? Ukatolikini wasiooa ni wenye daraja la upadre ambao baadae hupanda vyeo na kuwa maaskofu, makadinali na Papa....Hawa watu wangeruhusiwa waoe tu
Maana huko parokiani wanapeleka moto kwa kujificha
Wafuasi wa yule mama wa Jumamosi mna tabu sana....Mkuu ifike Mahali muwe mnakaa na Makao makuu ya Vichwa vyenu, mnadigest vitu wenyewe, mnafatilia wenyewe na hatimaye mnakuja na Hitimisho Lilo Huru
Shida yenu na kinachowasumbua nyie Waumini wa Rumi.
1-Kanisa haliwapi uhuru wa kusoma Maandiko wenyewe, Wala haliwachochei Yaan mnapenda Jpl, basi Somo la JPl Ndo Dunia nzima mnalofunzwa .
2-Mrumi, huwez kumkuta anasoma Biblia, Never never, yeye JPL somo analopewa limemtosha .
3-Mrumi ni rahisi kwenda Kanisan na Kijizuu Cha hadithi lkn haendi Biblia .
4-Mrumi nyumban akiwa na Biblia Wala haangaiki kuisoma.
5-Mrumi Ndio Mkristo mwenye Biblia yake pekeeake yenye nyongeza ya vitabu vyake pekeake.
Poleni sana !!!.
Wafuasi wa yule mama wa Jumamosi mna tabu sana....
Hawa watu wanaiheshimu Jumamosi kuliko wanavyomheshimu Mungu
Na yule mama ni Msabato....YESU mwenye ni Msabato, na aliitunza Sabato, hakufanya kazi siku ya Saba ambayo ni JUMAMOS.
Kumuheshimu Mungu ni jambo la binadam mwenyewe , yaan tunatenda dhambi huku tukijua tunamkosea Mungu.
Na Moja ya sehem ambayo Mwanadam anamkosea Mungu ni Kuvunja Amri yake ya Nne, inayosema Ikumbuke siku ya Sabato na uitakase.