Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hee imekuwaje Tena nyumbani kwa hayati?polen,tatizo nn lakin?Bodaboda Amepigwa Na Polisi Na Kumsababishia Kifo Ndipo Wananchi Wameandamana Na Kuvunja Kituo Cha Polisi Watu Wawili Wamesha Poteza Maisha Kutokana Na Ufyatuaji Wa Risasi Na Mabomu Ya Machozi
Npo Kwenye Tukio Nitaendelea Kuwapa Taarifa
Kijiji Cha mlimani,dah Hilo jina rubambangwa limenikumbusha mbali niliwahi fanya project ya ulipaj fidia Hapo back in the days🙏Chettle Rubambangwa Kwa Mzilankende
Watu wa Chato ikataeni CCM inamdharau Magufuli? Unganisheni hapo hapo maandamano ya kudai katiba mpya huo ndio mwanzo wa mabadiliko.Bodaboda Amepigwa Na Polisi Na Kumsababishia Kifo Ndipo Wananchi Wameandamana Na Kuvunja Kituo Cha Polisi inadaiwa Watu Wawili Wamesha Poteza Maisha Kutokana Na Ufyatuaji Wa Risasi Na Mabomu Ya Machozi
Npo Kwenye Tukio Nitaendelea Kuwapa Taarifa
--
View attachment 2571126
Una propaganda za kitoto sana hao chadema lini walimuheshimu MagufuliWatu wa Chato ikataeni CCM inamdharau Magufuli? Unganisheni hapo hapo maandamano ya kudai katiba mpya huo ndio mwanzo wa mabadiliko.
Nyuma Ya AgendaWatu wa Chato ikataeni CCM inamdharau Magufuli? Unganisheni hapo hapo maandamano ya kudai katiba mpya huo ndio mwanzo wa mabadiliko.
Hujui kwamba maadui wakubwa wa CCM ni vikundi ndani ya CCM na sio CHADEMA?Una propaganda za kitoto sana hao chadema lini walimuheshimu Magufuli
USSR
Pumbavu mbwaChettle Rubambangwa Kwa Mzilankende
Bwanga ndio pamekaa strategically kuliko katoroNje ya mada, kambi ya ffu ilipaswa kuwekwa katoro ktk ya mkoa ili kutoa huduma kwa wepesi maeneo megi.