The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,773
- 1,660
Ipo mingi sana kama huna macho matatu utachimba shimo la choo usipate kitu mwenzio shimo la kuchomea kiazi tu fasta anatoka na mamilion yake [emoji2][emoji2][emoji2]Mzee ya Chunya Dhahabu bado ipo ya kutosha?
Wapeleke hizo biharamulo,ngara nk sio muleba, bukoba,misenyi,karagwe
Habari za chini kwa chini zinasema kuwa soon, wilaya ya chattl itakuwa mkoa kamili ikiundwa na wilaya zifuatazo
1. Biharamulo
2. Chato
3. Nyakanazi
4. Muleba
5. Runzewe
Pia hata ukiangalia majego yanayojengwa huko yamekaa mkoa mkoa.... Majengo ya TRA ni mazuri kweli hata hayapo bukoba ya namna hiyo
Police station ni ya ghorofa
Traffic light barabarani
Wanja wa ndege wa kimaifa.
And Chato university collage of Chemical Engineering.
Soon tutaongeza Jiji jipya la chattle.
hapo kwenye parts of muleba itakua kwa ajili tu ya hifadhi iwe ndani ya mkoa mmojaNi kweli nasikia sehemu ya kagera biharamulo,ngara na parts za muleba ,chato itatengeneza mkoa wa rubondo na game reserve za biharamulo zimekuwa national parks kisa hicho
hapo kwenye parts of muleba itakua kwa ajili tu ya hifadhi iwe ndani ya mkoa mmoja
Hamna chuki chief... hizi n discussion za kawaida tu.Kuna watu humu wanachangia kana kwamba hawapendi hili litokee ila ukiangalia ni chuki zao binafsi kwa rais. Kuna mambo mengi yanafanywa na serikali mikoa mingine ila hakuna anaesema, mfano mradi mkubwa wa maji Arusha juzi nadhan ingekuwa ni chato jf ingejaa nyuzi kulaani huo mradi. Ifike wakati tuache wivu wa kijinga chato haiwezi kuizidi miji kama arusha au moshi hata ikipendelewa vipi
Hamna chuki chief... hizi n discussion za kawaida tu.
Ipo mingi sana kama huna macho matatu utachimba shimo la choo usipate kitu mwenzio shimo la kuchomea kiazi tu fasta anatoka na mamilion yake [emoji2][emoji2][emoji2]
Sehemu yoyote duniani inakotoka dhahabu hakuna maendeleo kuna nguvu za asili mahali hapo kuziondoa sio rahisi hata kidogo!Dhahabu mnayo lakini mji hauendelei, punguzeni kulogana.
Hadi leo ni mikoa tofautiKwani inashindikana.... acha kukalili bro, mbona kutoka katoro to buseresere ilikuwa ni mita chache ila ilikuwa mikoa tofauti hapo zamani??
Biharamulo waipeleke wapi?Wapeleke hizo biharamulo,ngara nk sio muleba, bukoba,misenyi,karagwe
Hapana! Biharamulo hakuna kuhamishwaNadhan ngara na biharamulo zinafaa sana