Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

Tetesi: Chato kuwa mkoa mpya na jina la mkoa kutangazwa soon na Chato kuwa makao makuu ya mkoa mpya

Kuna watu humu wanachangia kana kwamba hawapendi hili litokee ila ukiangalia ni chuki zao binafsi kwa rais. Kuna mambo mengi yanafanywa na serikali mikoa mingine ila hakuna anaesema, mfano mradi mkubwa wa maji Arusha juzi nadhan ingekuwa ni chato jf ingejaa nyuzi kulaani huo mradi. Ifike wakati tuache wivu wa kijinga chato haiwezi kuizidi miji kama arusha au moshi hata ikipendelewa vipi
 
Mzee ya Chunya Dhahabu bado ipo ya kutosha?
Ipo mingi sana kama huna macho matatu utachimba shimo la choo usipate kitu mwenzio shimo la kuchomea kiazi tu fasta anatoka na mamilion yake [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Wilaya ya Kibondo inaachwa?
Habari za chini kwa chini zinasema kuwa soon, wilaya ya chattl itakuwa mkoa kamili ikiundwa na wilaya zifuatazo
1. Biharamulo
2. Chato
3. Nyakanazi
4. Muleba
5. Runzewe

Pia hata ukiangalia majego yanayojengwa huko yamekaa mkoa mkoa.... Majengo ya TRA ni mazuri kweli hata hayapo bukoba ya namna hiyo

Police station ni ya ghorofa

Traffic light barabarani

Wanja wa ndege wa kimaifa.

And Chato university collage of Chemical Engineering.

Soon tutaongeza Jiji jipya la chattle.
 
Ni kweli nasikia sehemu ya kagera biharamulo,ngara na parts za muleba ,chato itatengeneza mkoa wa rubondo na game reserve za biharamulo zimekuwa national parks kisa hicho
hapo kwenye parts of muleba itakua kwa ajili tu ya hifadhi iwe ndani ya mkoa mmoja
 
Kuna watu humu wanachangia kana kwamba hawapendi hili litokee ila ukiangalia ni chuki zao binafsi kwa rais. Kuna mambo mengi yanafanywa na serikali mikoa mingine ila hakuna anaesema, mfano mradi mkubwa wa maji Arusha juzi nadhan ingekuwa ni chato jf ingejaa nyuzi kulaani huo mradi. Ifike wakati tuache wivu wa kijinga chato haiwezi kuizidi miji kama arusha au moshi hata ikipendelewa vipi
Hamna chuki chief... hizi n discussion za kawaida tu.
 
Ipo mingi sana kama huna macho matatu utachimba shimo la choo usipate kitu mwenzio shimo la kuchomea kiazi tu fasta anatoka na mamilion yake [emoji2][emoji2][emoji2]

Dhahabu mnayo lakini mji hauendelei, punguzeni kulogana.
 
Biharamulo na Muleba hata wakizitoa mkoani Kagera leo hii nikiingia madarakani 2045 hatua ya kwanza itakuwa kuzirejesha Kagera, kisha naanza kuuboresha mkoa wetu mzima uliotengwa siku nyingi. Baada ya hapo ndo mengine yatafuata.
 
Back
Top Bottom