The Great Haya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,773
- 1,660
Kuna watu humu wanachangia kana kwamba hawapendi hili litokee ila ukiangalia ni chuki zao binafsi kwa rais. Kuna mambo mengi yanafanywa na serikali mikoa mingine ila hakuna anaesema, mfano mradi mkubwa wa maji Arusha juzi nadhan ingekuwa ni chato jf ingejaa nyuzi kulaani huo mradi. Ifike wakati tuache wivu wa kijinga chato haiwezi kuizidi miji kama arusha au moshi hata ikipendelewa vipi