Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna haja ya kuchunguza hili kwasasa, sababu Hawa watu wameambiwa wale kwa urefu wa kamba zao.Nimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!!
Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka.
Kamati yaundwa kuchunguza.
Ndio hivyo!
Zilikuwa ni mbio za sakafuniNimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!!
Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka.
Kamati yaundwa kuchunguza.
Ndio hivyo!
Mwendazake alikuwa hana akili kabisa.Hata mimi nilishangaa eti Chato inakusanya bil.kadhaa kutoka wapi?Yule jamaa kama Putin. Aliteka dagaa na samaki wanaovuliwa visiwa vya wilaya ya Muleba wauziwe wilaya ya Chato na kulipa ushuru Chato. Lango la kuingia mbuga za Burigi badala kuliweka Muleba au Biharamulo yeye kaliweka Chato yaani ni kama umetoka Moro kwenda Dar badala ya kupitiliza chalinze we unaenda Segera kwanza unapima uzito ndo urudi kuendelea kwenda Dar.
Yule jambazi alikuwa anahalalisha uhamishaji au tuseme wizi wa fedha kutoka serikali kuu kupeleka Chato! Kile kijiji hakina uwezo wa kukusanya mabilioni!Mwendazake alikuwa hana akili kabisa.Hata mimi nilishangaa eti Chato inakusanya bil.kadhaa kutoka wapi?
Yule jamaa kama Putin. Aliteka dagaa na samaki wanaovuliwa visiwa vya wilaya ya Muleba wauziwe wilaya ya Chato na kulipa ushuru Chato. Lango la kuingia mbuga za Burigi badala kuliweka Muleba au Biharamulo yeye kaliweka Chato yaani ni kama umetoka Moro kwenda Dar badala ya kupitiliza chalinze we unaenda Segera kwanza unapima uzito ndo urudi kuendelea kwenda Dar.
Meko alikua anawaambia watamke hivyo ila kiuhalisia pale hamna kituNimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!!
Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka.
Kamati yaundwa kuchunguza.
Ndio hivyo!
Kabisa, Chato iliwekewa taa za barabarani wakati Ina umasikini mkubwa, pale traffic lights Kuna matela ya punda yanasubiri taa ziwake yapite, Chato imejaziwa lami Kila Kona, lakini wapi, ATM ya jengo kubwa la crdb haitumiki mpaka inajaa buibui, jengo la tra kubwa kabisa Lina mteja mmoja au wawili kwa sikuTulilishwa matango pori sana aisee.
Mama kaja na ukweli ukweli mtupu..
Ccm wame laaniwa toka mbinguni
Enzi hizo na sasa ni tofauti mzee.
Wewe kweli ni mnduku baba yako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe tatizo unasoma wala uelewi ,mambo yalikuwa yanakwenda + sasa huyu mpumbavu sa100 na serikali yake ufisadi umeruhusiwa watu wanakula kwa kamba walizo jipimia ,ukweli ni kwamba mapato yameporomoka kwenye kila kitu nchi nzima sasa bila ya mikopo atuwezi tena kuendesha nchi hata miezi 3Ndo mlitaka uwe mkoa huu...histori za madikteta katika sehemu wanapotokea zinafanana mfano Mobutu alitumia nguvu kubwa kupaendeleza kwao madhara yake alipotoka madarakani pakawa kichaka tu
Chato ni kama tu duka la MangiNimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!!
Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka.
Kamati yaundwa kuchunguza.
Ndio hivyo!
Sasa mbona wamesema vyanzo vimeongezeka au uo ni upishi nyinyi wapuuzi wafanyakazi wa serikali mnadhani kodi zetu ni mali yenusio data zilikuwa zinapikwa awamu iliyopita?
80% bado ni masikini? Sorry i doupt this. Maana latest goverment statistics si asilimia 80%.Usijichekeshe kama shoga.
Maisha ya watanzania ni yale yale, 80% bado wanasumbuliwa na umasikini, 80% bado wanategemea kilimo kama uti wa mgongo, 80% bado wanaishi mashambani ama vijijini.
Sasa hapo ni nini kimebadilika toka kipindi cha Nyerere na sasa? Ni muda tu umebadilika na watu kuongezeka ila changamoto ni zile zile.
kuna baadhi ya chawa wengine waliapishwa huko huko.Mapato lazima yapungue sababu JPM alikuwa anafanya ziara za mara kwa mara Chato na anaweza kukaa zaidi ya wiki ikiwemo na misafara yake ikijumuisha na vikao.