Chato: Mapato yashuka kutoka Tsh mil 77 hadi mil 10 kwa mwezi

Chato: Mapato yashuka kutoka Tsh mil 77 hadi mil 10 kwa mwezi

Mapato lazima yapungue sababu JPM alikuwa anafanya ziara za mara kwa mara Chato na anaweza kukaa zaidi ya wiki ikiwemo na misafara yake ikijumuisha na vikao.
 
Nimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!!

Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka.

Kamati yaundwa kuchunguza.

Ndio hivyo!
Hakuna haja ya kuchunguza hili kwasasa, sababu Hawa watu wameambiwa wale kwa urefu wa kamba zao.
 
Leo nimecheka nimemkuta KiBAJAJI Lusinde Mbunge wa mtera anahitubia KIJIJI kipo jirani na bwawa la mtera anasema Uchumi wa buluu mtera tutapaa
 
Nimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!!

Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka.

Kamati yaundwa kuchunguza.

Ndio hivyo!
Zilikuwa ni mbio za sakafuni
 
Yule jamaa kama Putin. Aliteka dagaa na samaki wanaovuliwa visiwa vya wilaya ya Muleba wauziwe wilaya ya Chato na kulipa ushuru Chato. Lango la kuingia mbuga za Burigi badala kuliweka Muleba au Biharamulo yeye kaliweka Chato yaani ni kama umetoka Moro kwenda Dar badala ya kupitiliza chalinze we unaenda Segera kwanza unapima uzito ndo urudi kuendelea kwenda Dar.
Mwendazake alikuwa hana akili kabisa.Hata mimi nilishangaa eti Chato inakusanya bil.kadhaa kutoka wapi?
 
Loh vichaa wako wengi
Yule jamaa kama Putin. Aliteka dagaa na samaki wanaovuliwa visiwa vya wilaya ya Muleba wauziwe wilaya ya Chato na kulipa ushuru Chato. Lango la kuingia mbuga za Burigi badala kuliweka Muleba au Biharamulo yeye kaliweka Chato yaani ni kama umetoka Moro kwenda Dar badala ya kupitiliza chalinze we unaenda Segera kwanza unapima uzito ndo urudi kuendelea kwenda Dar.
 
Nimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!!

Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka.

Kamati yaundwa kuchunguza.

Ndio hivyo!
Meko alikua anawaambia watamke hivyo ila kiuhalisia pale hamna kitu
 
Tulilishwa matango pori sana aisee.
Mama kaja na ukweli ukweli mtupu..
Kabisa, Chato iliwekewa taa za barabarani wakati Ina umasikini mkubwa, pale traffic lights Kuna matela ya punda yanasubiri taa ziwake yapite, Chato imejaziwa lami Kila Kona, lakini wapi, ATM ya jengo kubwa la crdb haitumiki mpaka inajaa buibui, jengo la tra kubwa kabisa Lina mteja mmoja au wawili kwa siku
 
Enzi hizo na sasa ni tofauti mzee.

Rasilimali za nchi zilitumika vibaya na hakukuwa na mtu hata mmoja aliyekuwa na ubavu wa kusimama na kumkemea JIwe; ili hali alikuwa Rais wa ccm ,na wazee wa chama walikuwepo!!! Hii inaonesha unafiki wa hali ya juu sana kwa uongozi wa ccm!
 
Ndo mlitaka uwe mkoa huu...histori za madikteta katika sehemu wanapotokea zinafanana mfano Mobutu alitumia nguvu kubwa kupaendeleza kwao madhara yake alipotoka madarakani pakawa kichaka tu
Wewe kweli ni mnduku baba yako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe tatizo unasoma wala uelewi ,mambo yalikuwa yanakwenda + sasa huyu mpumbavu sa100 na serikali yake ufisadi umeruhusiwa watu wanakula kwa kamba walizo jipimia ,ukweli ni kwamba mapato yameporomoka kwenye kila kitu nchi nzima sasa bila ya mikopo atuwezi tena kuendesha nchi hata miezi 3
 
Nimeona hilo kupitia star TV usiku huu wa saa mbili. Tatizo ni nini?!!!

Mwenyekiti anashangaa kuwa vyanzo ndiyo kwanza vimezidi lakini mapato ndio yamashita kama hivyo yanashuka.

Kamati yaundwa kuchunguza.

Ndio hivyo!
Chato ni kama tu duka la Mangi
 
sio data zilikuwa zinapikwa awamu iliyopita?
Sasa mbona wamesema vyanzo vimeongezeka au uo ni upishi nyinyi wapuuzi wafanyakazi wa serikali mnadhani kodi zetu ni mali yenu
 
Usijichekeshe kama shoga.

Maisha ya watanzania ni yale yale, 80% bado wanasumbuliwa na umasikini, 80% bado wanategemea kilimo kama uti wa mgongo, 80% bado wanaishi mashambani ama vijijini.

Sasa hapo ni nini kimebadilika toka kipindi cha Nyerere na sasa? Ni muda tu umebadilika na watu kuongezeka ila changamoto ni zile zile.
80% bado ni masikini? Sorry i doupt this. Maana latest goverment statistics si asilimia 80%.
 
Mapato lazima yapungue sababu JPM alikuwa anafanya ziara za mara kwa mara Chato na anaweza kukaa zaidi ya wiki ikiwemo na misafara yake ikijumuisha na vikao.
kuna baadhi ya chawa wengine waliapishwa huko huko.
 
The one who was cooking information is daid in Russia-Ukraine war in Mogadishu Dar es salam dew to hat attack khadith lghashia.
 
Back
Top Bottom