Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe


Unaoongea utoto gani dogo, siasa gani unajua ww, yenye maajabu gani kwanza, ambayo imejificha mpaka ww tu ndio uijue? Nasema hivi ww lazima ni mzee, au kama ni kijana basi una mawazo ya kizee, ndio maana unakuja na mikwara kibao eti siasa ni somo pana. Sidhani kama unazungumzia siasa, labda hizi siasa za kutekana hizo ndio za kujificha.
 
Maandishi ya
Ya gwajima haya
 
Sawa.
 
Ganja bana! huoni maendeleo ya chato!! ebo! si Lissu alitaka kwenda airport kutembelea!!
Amekaa ubunge miaka 20 hana lolote... leo amekuwa rais anasema wengine hawajafanya lolote.

Yeye alifanya nn?
 
Machadema mlikuwa wapi kujibu mapigo? Mko wengi mwambieni aingize watu barabarani.
Kwanini msirushe wakati wa mkutano mnavizia lissu kasepa ndio mnapiga gari la media. Mngerusha mawe akiwa jukwaani alafu ndio mngepima upepo Lissu angefanyeje.

Btw polisi waliona kila kitu hawakujibu mapigo na walisubiri CHADEMA nao waanze vurugu ungeshangaa ndio wangepigwa na kutiwa ndani. Na vichwa vya habari ingekua ''Lissu afanya vurugu nyumbani kwa Magufuli''. Kiufupi hilo mlifeli na uzuri lissu alifanya mkutano uliojaza na kavunja ule mwiko mlitabiri humu kuwa hatoweza fika chato.

Poleni sana
 
kwani CHATO sio eneo linalitakiwa kufanyiwa kampeni ? kama maeneo mengine ndani ya nchi?
 
Watu wanataka uwanja unakwenda kuwaambia kuwa uwanja hauna faida wacha wakuchape kichapo cha mwizi
Kupenda noma, mtu anachongo wewe unasema Ana makengeza. Mungu anaona akijatoa hukumu tutabaki tunaraumiana.
 
Kwa mujibu wa clip zinazotembea Lissu mwenyewe amekiri vurugu zilianza wakati wa mkutano wake , vijana walikuwa wanamzomea hilo halina ubishi.

Baada ya msafara kuanza kuondoka vijana walimpopoa kwa mawe kutokana na kauli zake za udharirishaji dhidi ya Mh Magufuli.

Pia wengi walikuwa kwenye mkutano huo wamekiri kuwa siyo wakazi wa CHATO, wengi wao wamesombwa kutoka Katoro.
 
Clip gani mbona video za mkutano zipo youtube wanaozomea hata hawasikiki. Labda kma walikua 10 tu, nilichoona ni maelfu ya watu wakishangilia kila kauli aliyotoa.
 
Baadhi wanaakili na walijaribu kumshauri vizuri ila Lissu hashauriki! niliiona clip yao kuna mmoja alimwambia wasifunge barabara akawa mkali kweli! Kifupi wanahangaika na kichaa mwenye kuvaa vizuri
Hapana kuna wakati unatakiwa kuwa aggressive otherwise utaonewa hii nchi. Sasa gari lako limepigwa mawe then polisi hawasaidii lolote afu bado gari limezuiliwa.
Ulitaka Lissu aonyeshe udhaifu? Aisee nampongeza sana kwa ule ujasiri. Tungekua na upinzani wa namna hii miaka mingi tu CCM ingeshatoka madarakani.
 
..Hotuba ya Tundu Lissu hii hapa.

..sasa niambieni kama alichokisema hapo kinahalalisha kushambuliwa kwa mawe.[/USER]
Hata kama angesema, sheria za nchi hazitoi haki kwa kundi moja la jamii kuhukumu kundi jingine.
Mwenye idhini ya kutoa hukumu ni mahakama tu, hivyo kitendo hicho ni cha kulaaniwa na wenye akili

Jambo la kushangaza kabisa ni kama vile itendo hicho kina baraka
1. Msajili wa vyama kimyaaa!
2. Tume ya uchaguzi kimyaaa
3. Jeshi la Polisi halijui lifanye nini watu wakiumizwa mbele yao
4. Serikali ya CCM kimyaaa

Haya yanafanyika kwa Wapinzani msidhani yataishia huko. Ipo siku uvumilivu utaisha, si ninyi wala wao atakayekuwa salama. Hili ni jambo la hatari sana kwa mustakabali wa Taifa na hali inatisha.

Ni wenye akili tu wanaoiona hatari, wapumbavu hawataiona hadi itakapofika.

Kuna wanaouliza kwanini CCM, Wagombea wao na Serikali yao inachukiwa ! kwa hili hmjapata majibu?
 
Ikitoka wewe utapata nini?
Nitapata serikali ambayo imejifunza kwa makosa ya kisera ya CCM kwa miaka 60 hivyo obvious watakuja na sera mbadala ili kubadilisha mifumo ya nchi. Hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi unaoakisiwa na maendeleo ya watu (Human capital).
 
Nani kakwambia nasubiri pesa CHADEMA? Kwanza sisi ndio tunachanga kuanzia kuwatoa gerezani mpaka kampeni kivp tena tutegemee kupata pesa kutoka kwao? CHADEMA ni kujitolea tu hakunaga malipo na wote tunajua hilo.

2.Haina sera eeh? Hiyo ya Elimu bure hadi chuo? Bima ya afya kwa wote? Soko huria (Private sector-driven economy) humsikii Lissu akisimama kila siku na kuongelea watu wafanye biashara kwa UHURU? Au hujui soko huria ni nini?

3.Network ipo ndio maana kuna ofisi za kanda ambaso zina regulate mambo yote ya eneo hilo. Pia kuna CHADEMA ni msingi'' inayohusisha na kupeleka chama ngazi ya grassroots kabisa. Unadhani hiyo initiative haikipeleki chama kwa wananchi? Na kuunda network?

4. Chama hakina ofisi una maana gani? Hilo jengo ni mali ya CHADEMA hawajapangisha sasa unaposema hawana ofisi unaongelea ofisi ipi hasa?

5. Ww na ukoo wenu wote hamjawahi kuwa na Elite kma Lissu. Roho inauma sana ukimuona anavyopokelewa na umati mkubwa kila anapokanyaga. Whateva matokeo yatakavokuwa ila Lissu ame defy odds na kuleta challenge kwa Magufuli ambayo hakuna aliyetegemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…